The Proudly African
Senior Member
- Jun 22, 2017
- 139
- 169
Haiwezi kua habari ya kuaminika ikiwa chanzo ni mwanahalisi au tanzania daima..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo chako kiongozi kinatia shaka,mwanahalisi!si ni ile ya S. Kubenea? Hapana tunahitaji taarifa nyingine ili tuamini.Taarifa za uhakika ni kwamba majina ya wabunge wapya wa cuf walioteuliwa kushika nafasi za wale ambao ' wamefukuzwa ' na Msaliti Lipumba , kumbe ni majina ya mfuko wa suruali ya Lipumba .
Ule utaratibu wa kisheria wa Tume ya uchaguzi wa kuteua wabunge wa viti maalum kutokana na orodha iliyowasilishwa kwake na chama husika , tena kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika UMEPUUZWA .
Chanzo MwanaHalisi .
Mytake - Kwanini Tume ya uchaguzi imeamua kujidhalilisha kiasi hiki ? Maana hata kama wabunge hawa wangefukuzwa kihalali , bado NEC ilitakiwa kuteua wengine walio kwenye orodha iliyowasilishwa na CUF kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 .
Watu wachache wanafedhehesha Nchi kwa gharama ya vyeo vya kupita tu .
Kwa nini isiwe Mwananchi, angalau?MwanaHalisi imeweka kila kitu , natumia Tecno ya tochi nashindwa kukuwekea hapa
Ingekuwa vema kama ungekanusha kilichoandikwa kuliko kutilia shaka MwanaHalisiChanzo chako kiongozi kinatia shaka,mwanahalisi!si ni ile ya S. Kubenea? Hapana tunahitaji taarifa nyingine ili tuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Tanzania kipeperushi ni kimoja tu uhuru na mzalendo
In God we trust
Hapa Tanzania kipeperushi ni kimoja tu uhuru na mzalendo
In God we trust