Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,637
- 272,440
- Thread starter
- #41
Ubarikiwe sana mkuu .
Ubarikiwe sana mkuu .
Nje ya mada .
Enzi zile mnafiki kama huyu akienda hijja lazima ayeyuke , sijui siku hizi imekuaje ?hijja alienda kutalii!!?
wanafik ni wale 2007 walisema lowasa ni fisadi,2015 wakasema si fisadiEnzi zile mnafiki kama huyu akienda hijja lazima ayeyuke , sijui siku hizi imekuaje ?
Hujui kitu .wanafik ni wale 2007 walisema lowasa ni fisadi,2015 wakasema si fisadi
Naona uwlewa kwako ni mgumu sanaMtani sasa kama ya mfukoni mwake kwann awafukuze?
Si hasa.... Siasa
Ni kawaida sana mtu akiamua kupigania tumbo tu basi ujue neno aibu hanaTaarifa za uhakika ni kwamba majina ya wabunge wapya wa cuf walioteuliwa kushika nafasi za wale ambao ' wamefukuzwa ' na Msaliti Lipumba , kumbe ni majina ya mfuko wa suruali ya Lipumba .
Ule utaratibu wa kisheria wa Tume ya uchaguzi wa kuteua wabunge wa viti maalum kutokana na orodha iliyowasilishwa kwake na chama husika , tena kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika UMEPUUZWA .
Chanzo MwanaHalisi .
Mytake - Kwanini Tume ya uchaguzi imeamua kujidhalilisha kiasi hiki ? Maana hata kama wabunge hawa wangefukuzwa kihalali , bado NEC ilitakiwa kuteua wengine walio kwenye orodha iliyowasilishwa na CUF kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 .
Watu wachache wanafedhehesha Nchi kwa gharama ya vyeo vya kupita tu .
najua..sema tukutane wapi nije kukutia vidole masikioniHujui kitu .
Kaaa wewe jamaa ni geniusNEC ni ccm C baada ya Act Wazalendo, Police, NEC.
Hapa Tanzania kipeperushi ni kimoja tu uhuru na mzalendoKipeperushi chenu kinazusha tu habari
Kwa taarifa hii kuna uwezekano wa wabunge hawa wa lipumba wakapingwa kwani hawapo kisheriaHujaelewa , yaani haya majina mapya yaliyotangazwa kumbe ni majina ya kuokota tu , hayahusiani na yale yaliyopelekwa na cuf tume mwaka 2015 kabla ya uchaguzi .
Hilo gazeti ndio gazeti pendwa na mamioni ya watanzaniakesho utasikia, mwanahalisi iwaombe radhi NEC.
habari za mwanahalisi zinahitaji uvumilivu na sio kuzikimbilia bila taadhari.
Mkuu kamwe njaa haijawahi kumwacha mtu salamaJiongeze basi wewe! Kasome sheria ya uchaguzi ya 1991 na mabadiliko yake ili umwelewe mleta hoja.
Majaji wa nchi hii, mbona mnakubali kuidhalilisha heshima na taaluma zenu kwa gharama ya peremende?
Mshaurini Mutungi jamaa na rafiki japo kanisahau alipopaishwa na kuwekwa hapo juu kuwa Kivuitu wa Kenya alikufa na kuzikwa kwa aibu kwasababu mtu fulani tena mwanasiasa anakuelekeza cha kufanya na likiharibika mnaanza kupewa majina kama wapumbavu n.k tena jukwaani.
NEC ijitafakari sana kwani haitakwepa lawama za kuiingiza jamii kwenye vurugu kwa ujinga wa mtu mmoja. Jaji John aliyekuwepo hapo kabla was very smaet kwani alikuwa anawaita na kuwaambia atakifuta chama. Wewe unakilea cha nini? Vuta tuelewe moja!
Source :Mwanahalisi
Mmiliki: Kubenea
Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni
Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
Wanataka hata katiba ya nchi inukuliwe TBC tu .Kwa Hiyo Hii Habar Ilitakiwa Itoke Tbc Na Gazet La Uhuru
Hivyo vyombo ndio uwaga vinatumiwa na wana lumumbaKwa Hiyo Hii Habar Ilitakiwa Itoke Tbc Na Gazet La Uhuru
Lipumba amtishia kubenea adai apangwe ulingoni amtoa nock out yeye na refa wao maalim seif halafu unategemea mini.......tutoleeni vipeperushi. Team baby travel to KIASource :Mwanahalisi
Mmiliki: Kubenea
Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni
Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
...Kila siku mnasema ana elimu ya hapa na pale but yet ameweza kuendesha magazeti yake very successfully. Wewe msomi umeshawahi hata kuandika kipeperushi na kupata followers?Source :Mwanahalisi
Mmiliki: Kubenea
Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni
Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
Point...Kila siku mnasema ana elimu ya hapa na pale but yet ameweza kuendesha magazeti yake very successfully. Wewe msomi umeshawahi hata kuandika kipeperushi na kupata followers?
Sent using Jamii Forums mobile app