Siri za Lipumba, NEC zafichuka

Siri za Lipumba, NEC zafichuka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,553
Reaction score
272,296
Taarifa za uhakika ni kwamba majina ya wabunge wapya wa cuf walioteuliwa kushika nafasi za wale ambao ' wamefukuzwa ' na Msaliti Lipumba , kumbe ni majina ya mfuko wa suruali ya Lipumba .

Ule utaratibu wa kisheria wa Tume ya uchaguzi wa kuteua wabunge wa viti maalum kutokana na orodha iliyowasilishwa kwake na chama husika , tena kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika UMEPUUZWA .

Chanzo MwanaHalisi .

Mytake - Kwanini Tume ya uchaguzi imeamua kujidhalilisha kiasi hiki ? Maana hata kama wabunge hawa wangefukuzwa kihalali , bado NEC ilitakiwa kuteua wengine walio kwenye orodha iliyowasilishwa na CUF kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 .

Watu wachache wanafedhehesha Nchi kwa gharama ya vyeo vya kupita tu .
 
Mtani sasa kama ya mfukoni mwake kwann awafukuze?
Si hasa.... Siasa
 
Kipeperushi chenu kinazusha tu habari
 
Mtani sasa kama ya mfukoni mwake kwann awafukuze?
Si hasa.... Siasa
Hujaelewa , yaani haya majina mapya yaliyotangazwa kumbe ni majina ya kuokota tu , hayahusiani na yale yaliyopelekwa na cuf tume mwaka 2015 kabla ya uchaguzi .
 
Kipeperushi chenu kinazusha tu habari
Jiongeze basi wewe! Kasome sheria ya uchaguzi ya 1991 na mabadiliko yake ili umwelewe mleta hoja.

Majaji wa nchi hii, mbona mnakubali kuidhalilisha heshima na taaluma zenu kwa gharama ya peremende?

Mshaurini Mutungi jamaa na rafiki japo kanisahau alipopaishwa na kuwekwa hapo juu kuwa Kivuitu wa Kenya alikufa na kuzikwa kwa aibu kwasababu mtu fulani tena mwanasiasa anakuelekeza cha kufanya na likiharibika mnaanza kupewa majina kama wapumbavu n.k tena jukwaani.

NEC ijitafakari sana kwani haitakwepa lawama za kuiingiza jamii kwenye vurugu kwa ujinga wa mtu mmoja. Jaji John aliyekuwepo hapo kabla was very smaet kwani alikuwa anawaita na kuwaambia atakifuta chama. Wewe unakilea cha nini? Vuta tuelewe moja!
 
Sasa MWANAHALISI kinatofauti gani na MAKENE????....atleast habari hii ingekuwa na mASHIKO ingeletwa na magazeti mengine lakini si hawa MAZUZU.....maana inawezekana habari hii isiwe na tofauti na zile habari walizokuwa WANAMUNDIKA mr white hair kipindi kile,,,,,,
Kanusha na utoe ukweli basi wewe!!!
 
Source :Mwanahalisi

Mmiliki: Kubenea

Hivi karibuni: kubenea atangaza vita ya kumg'oa Lipumba ofisi za Buguruni

Onyo:Ni aibu kwa great thinkers kujadili uzushi kutoka kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale.
 
hatuna NEC si ndio maana walimtangaza Magufuli hata kabla ya kutatua pingamizi toka kwa Lowassa sasa tujielewe tunaingia kwenye uchaguzi na tume ya kihuni kama hii
 
Hv Cdm Na Cuf Ruzuku Wanapeleka Wapi?Wameshndwa Kuwaiga Wenzao Kenya Wanavyofanya Kazi Mpaka Wanaheshimiana,mtalialia Hdi Lini
 
Yaani ni hatari sana upepo ukibadirila wewe unashindana nao wakati hizo ni nguvu za asili.
Haya tuone.
 
Back
Top Bottom