Habari za mchana ndugu zangu, kuna jambo ambalo nimekuwa nikilisikia sana na ninyi pia naamini mmekuwa mkiliskia sana hasa kwa taasisi zetu za kijeshi na baadhi ya mila na tamaduni zetu za kiafrika (hasa wakati wa kuoa au kuolewa) kuwa binadamu ambao miguu yao ina uvungu (kwenye unyayo) kuwa ni...