SIRI YAKOO USIMWAMBIE MTU::;;,,

SIRI YAKOO USIMWAMBIE MTU::;;,,

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
kama ulikuwa hujui

moja ya kipengele cha simba kumchukua souwah

wakikutanaaaa na Yanga

haruhusiwi hata kukaa bench

siriyakoooo.....

d ur hmwk
 
kama ulikuwa hujui

moja ya kipengele cha simba kumchukua souwah

wakikutanaaaa na Yanga

haruhusiwi hata kukaa bench

siriyakoooo.....

d ur hmwk
Tafuta mtoto mmoja wa mjomba wako awe anakusaidia kuandika
 
Mimi Bado sijakuelewa.. unajua ngoja nikwambie ndugu....... Unapoandika jambo Fulani hakikisha linaeleweka na linawafikia vema wasomaji...hata kama lipo kwenye fumbo..... Usiandike Kwa kufikirika as if sisi tuko tumboni mwako kiasi kwamba tunakiona kile unachofikiria na kukiandika hapa..
 
Waliweka na kipengele cha goli 5-0 nacho kile 🤣🤣🤣
Interesting
 
Back
Top Bottom