Siri yafichuka viungo vya Albino

Siri yafichuka viungo vya Albino

Watu kama hao kuwaweka mahakamani ni kuongeza msongamano na jam ya kesi tu.
wananchi tuchukue hatua

Inaelekea ni biashara nzuri sana na inalipa, ndiyo maana haikomi! Pamoja na kuwa watuhumiwa wanakamatwa live na vidhibiti wakipelekwa mahakamani eti inatakikana vidhibiti hivyo vipelekwe kwa mkemia mkuu wa Serikali akathibitishe, akishathibitisha achakachue ripoti na washtakiwa huachiwa huru kwa siri! Ushahidi wa mazingira unaonesha kuwa wahusika wakuu wa mauaji haya ni wanasiasa wanaosaka madaraka na hasa wenye chama kinachomiliki dola, mahakimu pamoja na watendaji wa serikali wanaomiliki chama chetu kwa minajili ya kusaka vyeo! Vita hii haiwezi kukoma kwakuwa wauaji wanafahamika ila wamebatizwa jina wanaitwa "WATU WASIOJULIKANA" lakini kiukweli wanajulikana
 
Ingekuwa Vizuri pia Wangetujuza kama Hicho kiungo kama ni dili kinatenegeza Dawa Gani na ya nini???
 
Hao ni binadamu wenzetu kwa namna yoyote ile hata kule kufikiria tu kuwaua HAIFAI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom