Siri yafichuka viungo vya Albino

Siri yafichuka viungo vya Albino

Katibu wa Chama chakavu huvaa hirizi kubwa kiunoni inabidi kujua kama hiyo haina viungo vya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi
 
Na ndio mana wamenyamaza kimya. Hawana la kusema mana wanaNchi watasema mbona mbunge wao ni mganga wa kienyeji. Jirani yangu ambae nae ni kiongozi wa ccm alishaniambia siasa haiwezekani bila uchawi vinginevyo utapigwa juju hadi udondoke jukwaani.
 
Utatoaji kibanzi kilichoko kwenye jicho la mwenzako hali umeshindwa kuona boriti lililoko kwenye jicho lako mwenyewe. Ccm hawaoni boriti zao wataonaje kibanzi za wengine? Wamtoe kwanza huyo mganga wao wa kienyeji ndipo wawafuate wengine.
 
kama alivyo ndesapesa na mwenyekiti wa pipoz!
acha shutuma za hovyo! kila kitu kwenu siasa
yule ndessa pesa ana miliki pesa za halali siyo kama viongozi wa ccm biashara wanazofanya hazijulikani lakini ni mabilionea sasa kwa nini mauaji ya allbino yanaongezeka sana na uchaguzi mkuu viongozi wa ccm wanahusika kwa asimilia 100
 
Polisi wa TZ wapo kwaajili ya kupambana na upinzani huko kwingine hakuwahusu
 
mkuu huu utafiti umefanyika wapi mfupa wowote wa binadamu ukiuweka kwenye radio inazima au ni albino tuu.

Wewe tena unataka kuibua janga jingine...wauwawe weusi tutest siyo?
 
Wewe tena unataka kuibua janga jingine...wauwawe weusi tutest siyo?
ndo maana nimemuuliza muhusika ili nami nkafanye utafiti kidogo kugundua ukweli lakini utafiti sitakusudia kuuawa .
 
Polisi wa TZ wapo kwaajili ya kupambana na upinzani huko kwingine hakuwahusu
nguvu za polisi zipo kwa ajili ya kupambana na CHADEMA NA CUF tuu hawa wale majambazi ya mapango ya Angoni walishindwa kuwakamata .
 
Sasa zinafanywaje baada ya kujua ubora wa ivo viungo?

Wanampelekea Prof. Maji Marefu na Yule Mwakilishi wa Waganga kwenye Bungee la Katiba Bw. Kingunge N. M. ili kwa pamoja waweze kuangalia namna ya kuikoa CCM mwezi October, maana hali ni tete!
 
Wanampelekea Prof. Maji Marefu na Yule Mwakilishi wa Waganga kwenye Bungee la Katiba Bw. Kingunge N. M. ili kwa pamoja waweze kuangalia namna ya kuikoa CCM mwezi October, maana hali ni tete!

dah kazi kwelikweli! Binadamu kama hao hovyo tu, mungu awasamehe bure
 
Dawa ya hao wauaji wa albino ilishasemwa na Pinda siku nyingi sijui tunashindwa wapi kuitekeleza.

Labda wakijichanganya wawe kwenye maandamano ya ukawa, vinginevyo tutasubiri sana.
 
Wanampelekea Prof. Maji Marefu na Yule Mwakilishi wa Waganga kwenye Bungee la Katiba Bw. Kingunge N. M. ili kwa pamoja waweze kuangalia namna ya kuikoa CCM mwezi October, maana hali ni tete!
Mbavu zangu kamanda
 
Wanasiasa inawahusu wengi hii kesi maana wanaamini ushirikina....siyo wote lakini wengi wao
 
kama alivyo ndesapesa na mwenyekiti wa pipoz!
acha shutuma za hovyo! kila kitu kwenu siasa

We hebu nisaidie jibu kwanini serikali inayoongozwa na chama chako ccm ipo kimya? Kwanini haiwatumii watuhumiwa na waliohukumiwa baada ya kuthibitika kuua albino kuyapata masoko na wateja wa viungo vya Albino? Hii tu inatosha kuamini wanahusika vinginevyo waonyeshe kwa vitendo kuharibu masoko na kukamata wateja wa viungo
 
Wanampelekea Prof. Maji Marefu na Yule Mwakilishi wa Waganga kwenye Bungee la Katiba Bw. Kingunge N. M. ili kwa pamoja waweze kuangalia namna ya kuikoa CCM mwezi October, maana hali ni tete!

Nasikia huko ccm wanamuogopa sana mchawi maji marefu(prof)

Hugo mwakilishi wa Wachawi BMK ndousiseme alalipowaambia kuwa mkipitisha katiba yenye serikali 3 ndo mwisho wa ccm wote mpaka mfalme wao wakanywea wakaanza gafla kupinga hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom