KUNA mkakati unaoratibiwa na bwana jussa huko pemba kwenye jimbo la uchaguzi kuwa endapo mgombea wa ccm bwana RAZZA akiwekewa pingamizi basi wanaccm wote wahamasishwe kuipinga CHADEMA na kumuunga mgombea wa CUF,kulingana na fukuto la pingamizi liliwekwa na mgombea wa CDM, lakini pia wamekubaliana kuwa endapo mgombea wa ccm akikubaliwa kuendelea na kampeni basi pia CUF watakuwepo pale physically lakini yote kwa yote waipinge CHADEMA wanayoituhumu kuwa haijaenda kwenye kampeni bali kuhesabu idadi ya wakazi wa bara walioko UZINI pamoja na wakristo hivi jamani sisi wanaCUF tunaenda wapi?
vikao vya ndani leo eneo la kijiji cha dagaa
Red: Inamaana hawa CUF wamekubali kufunga "pinga" za maisha na sisiem? CUF kama chama hakijiamini kuwa kinaweza fanya kampeni na kubeba jimbo hilo? Si inasemekama ngome kubwa ya CUF iko visiwani? CUF kwa hilo mnapaswa kubadilika na kutojiita chama cha upinzani!!!
Hizo taarifa kama ni kweli basi CUF ni sisiem B. Poleni kwa kukosa mtizamo wa kusimama kama wapinzani!!!!!!!