Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

Mkuu Hilo ndio la msingi kabisaa
 
jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba

Aisee! hiyo NIDA kiboko, yaani ofisi nzima wafanyakazi wana mimba? Waume kwa wake? Watumbuliwe tu, hawana adabu kabsaaa.
 
democrasia ni gharama elewa hivyo :
mwambia mbuge wako arudishe kwanza hizo fedha maana walikuwa waote maccm na machadema
 
jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
HahahAaaaaaaa kwa mtaji huu watazalia jela
 
Hawa wameshaisoma bado wengine wanakuja wataisoma wengi tu.
 
Hajakaa kimya bwana, kaanza na bil 8.5 za lake oil.
 
...hahahahaha...Maimu kimemnukia aseee..MRC pale alinunua nyumba kadhaa
..yeye mwenyewe akajenga jumba zuri tu regent
..sasa akaimbe na bendi yake ya UTALII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…