Siri ya 'upole' wa Rais Magufuli BOT

Well said , hausiki Moja Kwa Moja lakini Jahazi likizama yeye ndiye responsible Mkuu , Ndio maana ya Kuwa leader , inabidi ambane Banzi mambo yaende
 
Kaka hapa Tatizo sio wafanyakazi , Tatizo ni vitendea kazi yakiwemo majengo !Mahakama ni Moja ya mihimili ambayo haina staff wa kutosha na pia Mkuu sidhani Kama kuna sehemu kuna huo uwiano wa 30:30 na wakulaumiwa ni utumishi Labda maana wao Ndio wanatoa vibali
 
Well said , hausiki Moja Kwa Moja lakini Jahazi likizama yeye ndiye responsible Mkuu , Ndio maana ya Kuwa leader , inabidi ambane Banzi mambo yaende
Binafsi nadhani its time serikari parted company na Benno Ndullu kwa sababu zingine kabisa za majukumu yake ya kusimamia uchumi.

Lakini kutokana na majukumu yake na structure yao kuna watu wenye mamlaka ya usimamizi huu na Benno Ndullu sidhani kama atakuwa anahusika moja kwa moja kuna wakufukuzwa wengi lakini Ndullu sio mmoja wao kwa uwepo wa wafanyakazi hewa unless na yeye anashiriki kupokea mishahara.
 
Duuuuuuu hii nchi ya kishenz kweli... Kwa iyo ukiwa kwenye mfumo hauguswi!!!!!!
 

Naona unaleta ushabiki na majungu.

Habari ya wafanyakazi hewa wa BOT wewe hulikuwa huyajui, ni kama umedandia treni kwa mbele. Kwa hiyo kuendelea kupiga kampeni kujifanya unajua hakuna aliyewajibishwa sijui Team Lowassa, sijui nani...huu ni upuzi! Wewe hakuna lolote unalolijua pale BOT, funga kopo lako acha serikali ifanye kazi yake!
 

Naona unaleta ushabiki na majungu.

Habari ya wafanyakazi hewa wa BOT wewe hulikuwa huyajui, ni kama umedandia treni kwa mbele. Kwa hiyo kuendelea kupiga kampeni kujifanya unajua hakuna aliyewajibishwa sijui Team Lowassa, sijui nani...huu ni upuzi! Wewe hakuna lolote unalolijua pale BOT, funga kopo lako acha serikali ifanye kazi yake!
 

Naona unaleta ushabiki na majungu. Habari ya wafanyakazi hewa wa BOT wewe hulikuwa huyajui, ni kama umedandia treni kwa mbele. Kwa hiyo kuendelea kupiga kampeni kujifanya unajua hakuna aliyewajibishwa sijui Team Lowassa, sijui nani...huu ni upuzi! Wewe hakuna lolote unalolijua pale BOT, funga kopo lako acha serikali ifanye kazi yake!
 

Eti yule wa 91 ambaye JPM alikuwa na CV yake ni Mheshimiwa wa Awamu ya nne.
 
Acha upumbavu wewe mnafiki. Jifunze kuweka akiba ya maneno. Na siku akija kutumbuliwa utakuja na stori gani humu Kama kawaida yako!!??? Unafikiri watu hawajui wewe ni kada wa upande gani!!??? Eti Lumumba!!! Kuwa makini.
 
Post hii imemtia hasira zizani kama ndulu ana uhai mrefu pale B.o.t
 
Mbona alikuwa mpole siku zote yeye mwenyewe alisema 'yeye ni mpole kwelikweli' kama mtakumbuka.Lakini ni mpole kwa watu fulani fulani. Mfano hajawahi kumzungumzia wala kumchukulia hatua zinazostahili yule fisadi namba moja Tanzania aliyeisababishia hasara nchi kwa muda mrefu kuanzia enzi za rada, epa escrow yeye yumo tu !!!!!!!!!!na bado wale aliowasaidia kuwapa mikataba ya kuwanufaisha hadi leo wanamlipa mapesa kibao. au yule jamaa aliyeishinda hata tume ya maadili ya umma. Nasikia eti ni kabila lake. sijui ni kweli?
 
Tangu nimejiunga jf hakuna mtu namdharau kama vuta nikuvute.
 

Profesa kapewa kamba ndefu ajinyonge mwenyewe, Magu ni scientist; ana mbinu nyingi kwenye ghala lake!
 
Sisi wengine tulishtukia double standards toka pale tulipogundua kuwa majipu yakitumbuliwa wale wenzetu wanarudishwa kimya kimya na kuanza kuwaandama wanoko wao wakati wale ambao sio wenzetu wanaachwa kusota na kusaga meno. Mwisho wa siku hadi leo miezi minne hatujui na kachunguzwa na majibu ya uchunguzi yakoje...
 
Nashukuru mzee Tupatupa umeliona hili.Sikuwa na hakika ya sababu za upole ule wa kupindukia ambao ulikuwa wazi.Hata hivyo wananchi hatukubali "double standards" hivi,ni lazima Ndullu achukuliwe hatua.Tunajua pia kwamba BoT kumejaa watoto wa vigogo na wakati wa campaign Rais aliahidi kwamba hatalifumbia hili macho.Tunataka kuona watoto wa walala hoi BoT.Nchi hii ni yetu sote.Watoto wa walalahoi wasote Nguruka Kigoma kwenye ualimu na watoto wa vigogo wale kiyoyozi Dar.BoT,hii haikubaliki.
 
Unataka awe mkali kama Simba ndo ujue ni mkali
 
Ila wakuu kwanini ikatokea Kuwa watoto wa vigogo tu wanapata fursa BOT halafu tunawatukuza hao viongozi wakati kulikuwa na watanzania wengi pia wenye sifa kama zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…