Ila watu habari wameichukua tofauti kwa sababu wamekwisha-conclude tayari!Yeah may be kuna Watu ambao hawapo na wanalipwa pesa huo ni upigaji na kuna Watu pia madeni yao yalikuwa ya Magumashi Sasa Kwa hali hii Magumashi zitapungua
kuwepo sio tatizo iwapo wana sifa na wameingia kwa utaratibuIla kuna list humu watoto wa sumeye na lowasa pia wamo pale BOT...
Kwa mtazamo wako na hulka za binadamu wa kitanzania watakua wameingia kwa utaratibu kama mimi na wewe tunavyofanya utaratibu tunapotafuta kazi mahali....yaani kaona tangazo kwenye gazeti katuma maombi akaitwa usaili akapita...not in tanzania..sahaukuwepo sio tatizo iwapo wana sifa na wameingia kwa utaratibu
Husali pamoja Jumuiya
huo utawala ulisha expire. sasa hivi hapa ni kazi tu ukizingua huchekewi mara 2. ukicheka na nyani utavuna.......................Mi sidhani kama ni lazima kufukuza kila mara . Mambo mengine ni kurekebishana. Hata hivyo bado mapema kwani siyo lazima uamuzi utolewe hapo hapo. Wakati mwingine subira ki kitu cha kimkakati inapolazimika.
Kumbe wao si watumishi wa umma?Mukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu.
Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Pengine anabadili gear...!pengine anabadili mbinu...pengine anabadili mkakati AU pengine ni hilo ulilosemaJana,Rais alikuwa mpole alipotembelea na kujionea madudu BOT. Kikubwa ni wafanyakazi hewa. Zilipofanyika ziara za kushtukiza TRA,Bandarini na Muhimbili wapo waliokwenda na maji. Waliwajibishwa. Gavana Ndulu amepewa nafasi aondoe madudu yake BOT.
Jana,hakuna hata mmoja aliyewajibishwa BOT kwa madudu ya pale. Unajua kwanini? Gavana wa BOT,Prof. Benno Ndulu,kama alivyo Rais,ni 'watoto wa kisiasa' wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa. Ni wamoja. Ni ndugu. Hawana muda wala sababu ya kuumbuana au kutumbuana.
Ana heri Prof. Ndulu ambaye si TeamLowassa. Angekiona cha mtemakuni jana! Akachinje kuku,tena wa kienyeji.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
mabuahuo utawala ulisha expire. sasa hivi hapa ni kazi tu ukizingua huchekewi mara 2. ukicheka na nyani utavuna.......................
Hii system ipo hata vyuo vikuu.. especially university of dsm. Unakuta idara ina staff 60 ila wanaoonekana kazini ni 30 tu.. unakuta mtu amekua appointed ukatibu mkuu wizara over the past five years ago ila bado anatambulika staff wa udsm.. nafhani hili lapaswa kuangaliwa upyaMukubwa sitetei, lakini nimeambiwa wafanyakazi wengi wa BOT wamekuwa seconded sehemu mbalimbali wakiretain uajiri wao endapo watarudi baada ya kutumikia hizo sehemu nyingine. Ni utaratibu wa Central banks specificaly kama ilivyo "sabbatical leave" kwa vyuo vikuu.
Mfanyakazi huyo anaweza kuondolewa jina lake endapo ataamua yeye kuopt kuhamia moja kwa moja kwenye hiyo institution nyingine.
Utaratibu huu ni tofauti na taratibu za Utumishi wa Umma tunazozifahamu na mishahara yao inabaki kama ilivyo kwa ajili ya mafao ya kustaafu na siyo kwamba wanapewa hiyo mishahara kila mwezi ilhali huko walipo nako wanalipwa, au kuna wafanyakazi hewa kama inavotafsiriwa sasa mitaani. Ingekuwa hivyo ni kesi ya jinai na Rais asingesita kutumbua jipu.
Kwa kuzingatia hayo, ninachoona ni kwamba mkuu anataka utaratibu huo ubadilike kwani Benki Kuu yetu siyo "closed shop" au too special kuwa na taratibu tofauti kabisa na utumishi wa umma.
Kama kawaida yetu mswahili heading tu then baada ya hapo balaaaaIla watu habari wameichukua tofauti kwa sababu wamekwisha-conclude tayari!
Kweli kabisa hili linapaswa kuangaliwa upya na Kwa umakini zaidiHii system ipo hata vyuo vikuu.. especially university of dsm. Unakuta idara ina staff 60 ila wanaoonekana kazini ni 30 tu.. unakuta mtu amekua appointed ukatibu mkuu wizara over the past five years ago ila bado anatambulika staff wa udsm.. nafhani hili lapaswa kuangaliwa upya