Siri ya supu ya pweza !

Hongerani kwa ku-boost maana najua hamfanyi hivyo kwa nia mbaya ila kwa ajili ya kudumisha ndoa zenu. mkumbuke wakati wa kula matikiti maji mtafune na zile tumba zake nazo ni tiba mbadala inayokwenda sambamba na pweza.Tanga kuna kijana mmoja wa kimanga anaitwa Hafidhi yuko barabara ya nane makoko road ni fundi sana wa kutengeneza pweza. Kila ikifika jioni lazima wazee wapack magari yao wapate tiba. kumbuka hakuna dereva aliye wahi kutoboa bati la gari kwa kukanyaga ex-leta.
 
Kwa huko tuendako hata vijana wa umri wa miaka 25 watakuwa hoi ibn taaban. Amini usiamini, watu hawanywi hizo supu na viagra kwa nia ya kumkomoa mtu bali miili imekuwa mibovu au kufa kabisa, dudu za watu hazistahimili hata pigo la kwanza tu! Wake zetu wamekuwa dada! Na mpango wa Mungu haukuwa hivyo, alituumba tuweze kuhimili vema dhana ya upendo ndani ya vyumba vyetu.
Kama hizo Pweza zingekuwa zainatibu for-all ingefaa sn.
 
PJ unafikiri nini sababu ya hii kitu Mkuu wangu? na solution yake tafadhali kuokoa hichi kizazi na kizazi kijacho?
 
madhara yake nguvu kwisha mapema, be natural na acha nguvu zipatikane kwa natural food ambazo sio kazi kupata. Hapo ukizoea lazima uzimue ndo uendelee na mambo mengine.
 
PJ unafikiri nini sababu ya hii kitu Mkuu wangu? na solution yake tafadhali kuokoa hichi kizazi na kizazi kijacho?

LIFE STYLE, aina ya mlo (chipsi + kuku) na ubora wa chakula chenyewe ni tofauti na miaka ya 70's & 80's, hakuna mazoezi (zamani from primary school kila asubuhi mnakimbia kabla ya class, siku hizi kwenda shule 5 km kwa basi, etc.
 
Unaijua supu ya pweza wewe ? Ile kitu balaa. Ni kama viagra ya asili. Mimi binafsi nikinywa ile kitu napiga mpaka bao saba ! Yaani noma, we acha tu !
Mashine chakavu utazijua tu, mpaka zibustiwe. Tehetehetehetehetehe.
 
mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera

Hahaha love this! Mama mkwe kajua nguvu ya mamba iko kumayi! Mkuu, u made my day!
 
Hongerani kwa ku-boost maana najua hamfanyi hivyo kwa nia mbaya ila kwa ajili ya kudumisha ndoa zenu. mkumbuke wakati wa kula matikiti maji mtafune na zile tumba zake nazo ni tiba mbadala inayokwenda sambamba na pweza.Tanga kuna kijana mmoja wa kimanga anaitwa Hafidhi yuko barabara ya nane makoko road ni fundi sana wa kutengeneza pweza. Kila ikifika jioni lazima wazee wapack magari yao wapate tiba. kumbuka hakuna dereva aliye wahi kutoboa bati la gari kwa kukanyaga ex-leta.

Mkuu Lushoto hakuna pweza wao hula kitu inaitwa 'ubombo',ipo km kiazi na inachimbwa ardhini. Sio tu inaongeza nguvu pia inakuza maeneo.
 
aisee huku kwetu hakuna hiyo kitu, na tunadumisha kwa kula NATURAL FOODS! Acheni kula nafaka zilizokobolewa, michipsi, nyama nyekundu, n.k. Mtakuwa kama mimi,
 
Unaijua supu ya pweza wewe ? Ile kitu balaa. Ni kama viagra ya asili. Mimi binafsi nikinywa ile kitu napiga mpaka bao saba ! Yaani noma, we acha tu !
Sasa mbona mpaka sasa hujaisema hiyo siri ya pweza?, Siri ya pweza ku-boost watu ipo katika CHUMVI. Pweza ni moja ya vyakula vya baharini (seafoods) wenye chumvi nyingi zaidi mwilini mwake. Ukweli ni kuwa unapomchemsha pweza mara ya kwanza hutakiwi kuongeza chumvi kwani tayari utakuwa umezidisha, kama unataka kufanya salad ya pweza kwa mfano, unamchemsha tu na kumtenganisha na maji uliyomchemshia ndo unamkatakata kama utaona chumvi imepungua ndo unaweza kuongeza nyingine muda huo.

Sasa wengi wenu hamtumii chumvi! mnaiogopa sana kwakuwa mmeambiwa chumvi husabababisha BP tangu mlivyodanganywa miaka hiyo. Mbaya zaidi mnatumia chumvi ya dukani ya unga ambayo kusema ukweli si lolote zaidi ya takataka na sumu tu mwilini. Tumieni chumvi ya mawe ambayo haijapita kiwandani (unrefined sea salt) ndiyo nzuri sababu ya madini madini mengine (trace minerals) zaidi ya 80 ndani yake!, utahitaji tu kuongeza madini ya iodine au kula vyakula vingi vya baharini

Hiyo ndiyo siri ya pweza so far.
 
hata mimi huwa napendelea kunywa sana ila mbona sijisikii chochote.

Ukija Arusha nitafute nikupeleke pale Forest pub. Nikufundishe kunya kama hujataka kwenye gari kabla hata hujafika home. sio unakunya tu kuna namna yake ya kunywa na kuna kitu inachanganyiwa. maana siku hizi nasiki hata kina mama wanalala doro
 
yalah mama mkwe tena ila kabila lake pia lilikuwa linamruhusu maana ila hakuwa akinivutia kwa lolote hata angetanga asingepata. labda watoto wa mke wangu ambao ndio walisababisha ndoa yetu ikavunjika
Hapo red ufafanuzi tafadhali. Watoto wa mke wako wanavunjaje ndoa yenu? Au kilikuwa chuma chakavu?
 
Ukija Arusha nitafute nikupeleke pale Forest pub. Nikufundishe kunya kama hujataka kwenye gari kabla hata hujafika home. sio unakunya tu kuna namna yake ya kunywa na kuna kitu inachanganyiwa. maana siku hizi nasiki hata kina mama wanalala doro
Hahahaha!!!!!!!!!!!Kitalolo usinifanye nije hata kesho.
 
Hahahaha!!!!!!!!!!!Kitalolo usinifanye nije hata kesho.

umeonahee??? njoo tumalize hilo tatizo la kitaifa mradi ukirudi huko usije ukaanza kumwona jamaa hafai ukaanza kumnunia. Mara baada ya mwezi unasiki hoo mimi hali ya hewa ya Dar joto sana napata mizio mie nitaenda kukaa Arusha hata kama sina kazi kaajili ya hali ya hewa, kumbe unafwata supu ya pweza. Niliwahi kuwapa wakinadada wawili ilifika mahali nilijuta maana wanataka kila siku mbaya zaidi mmoja kila tukiwasilia ananilalamikia kuhusu jamaa yake kibaya zaidi ni mke wa mtu nimemwambia siku moja aje na mume wake niwafundishe wote hataki sasa naogopa kusaidi wengine labda wewe utakuwa wa mwisho ili uje kutoa ushuuda humu jamvini tuokoe hichi kizazi maan ataifa linaweza kuangamia halafu tukijakustuka tunaanza kampeni kunywa supu ya pweza kama vile tunavyotumia gharama kubwa kukabiliana na janga la UKIMWI kumbe tunaweza kutumia gharama kidogo kuzuia watu wasilale doro
 
Teh teh! bao saba? Mmmh! na kesho tena?
sio lazima saba mamaaa unaweza piga mawili lakini afadhali aliyepiga saba.

Utasikia tu mtu analia Oooh my ssup (anza kusoma kwa kinyume) is hot and wet.
nakulalamika taa taa taa taa taa unaulizwa nini taa imefanyaje? unabaki tuu taa taa taa taa.

unaulizwa tena nizime unabakii tuu taa taa taa mara inazimwa unabaki tuu taa taa taa jamaa anawasha unaendelea tu taa taa taa. mwisho kabisa ndio unaweza kumalizia maneno kwa kusema taaaaaaa mu

halafu unalala huwezi hata inua mkono tena wala kiungo chochote cha mwili hata ukliambiwa uende raundi ya tatu huwezi sasa saba utafika mamaaa?

ACHANA NA SUPU YA PWEZA NA HIYO NA KESHO YAKE UKIKUMBUKIA UNATAKA TENA.

MI HUWA NAISHIA KUCHEKA TUU MAANA UNAKUTA MTU ANALIA MPAKA UNAMWONEA HURUMA SASA KAMA ANAUMIA MBONA KESHO YAKE YEYE NDIO WA KWANZA KUOMBA MUENDE KUNYWA SUPU YA PWEZA ILI UMCHANGANYIE NA DAWA KIDOGO.

TAADHARI KWA WANAUME UKINYWA SUPU YA PWEZA USINYWE POMBE NYINGI UTAISHIA KULALA TU KWA UCHOVU WA POMBE PIGA KAMA KA KANYAGI KADOGO NUSU CHUPA, BAKIZA NUSU CHUPU WEKA CHINI YA KITANDA INGIA UANZANI CHEZA GEMU ZAKO MBILI AU TATU BAADA YA HAPO LALA SAA KUMI AU KUMI NA MOJA ALFAJIRI AMKA KABLA KITU CHOCHOTE PIGA KALE KA NUSU KONYAGI KALICHOBAKIA MWAMSHE SHEMEGI YETU HALAFU UJE ULETE RIPOTI NI NINI KILICHOTOKEA.

PIA MSIASAHAU KULA VYAKULA KAMA UGALI AMBAO HAUJAKOBOLEWA MWANAUME USIENDE HOTELINI ETI UNAAGIZA CHIPS HIVYO NI VYAKULA VYA WATOTO WA SHULE ZA KATA MWANUME UNATAKIWA ULE MLO UNAOELEWEKA.
PIA KUNA KIAZI KULE KWETU TANAATIA VIAZI VIKUU UTAFUTE UMPE MAMA AKUCHOMEE KWENYE MKAA ULE KIKIWA KIMECHOMWA. UHAKIKISHE WALAU UNAPATA ILE MARA MOJA KWA MWEZI MAANA NIKIKUAMBIA KWA WIKI ITAKUGHARIMU SANA.
MSISAHAU KULA NGANO: CHUKUA NGANO UNAIPIKA KAMA MAKANDE YAANI UNAIPIKA NA MAHARAGWE HII INASAIDI SANA HATA KWA WATOTO KUWAJENGA MIILI NA AKILI.
MATUNDA KAMA TITIKI MAJI.

HAKIKISHA UNACHEKI AFYA YAKO USIRUHUSU HALI YA KISUKARI YA KUSHUKA NA KUPANDA KWENYE MWILI I-CONTROL KAMA UNATATIZO LA SUKARI INACHANGIA SANA UNAWEZA KUNYWA SUPU YA PWEZA NA USIONE UFANISI WAKE PIA KAMA UNAWEZA PATA ASALI NA MDALASINI TUMIA NI NZURI SANA.

IKO DAWA MOJA YA MITI SHAMBA NDIO HUWA TUNAIWEKA KWENYE SUPU HASWA HIYO SUPU YA PWEZA AU KWENYE CHAI YA RANGI NA PIA KWENYE POMBE HIIYO MAMA MAJI ATAYAITA MMA.

HIVYO VYAKULA VYA KISASA VINACHANGIA SANA KUSHUSHA UFANISI PIA JITAHIDI USIWE UNAPATA MA STRESS.
HALAFU USIFANYE MAPENZI NA WANAWAKE WENGI KUMWA NA MMENZI MMOJA WENGINE SIKU HIZI NI WANGA UNAFANYA MAPENZI NA MWANAMKE UNASHANGAA NGUVU ZAKO ZOTE KWISHNEY UNABAKI KUTOA POVU TU.

PIA MSISAHAU KUFANYA MAZOEZI YA MWILI KUUWEKA MWILI FITI
 
Back
Top Bottom