Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

Sio kweli kuwa rostam yuko karibu na odinga uwongo kapewa tenda kibao na serikali ya Kenyatta msitake ku divert Mambo baada ya kuona limebunguruka kenya. Rostam ndie Alikuwa kinara wa kuchakachua kwa kufunga mtambo wa kuchakachua kura za Tanzania nchi ya khazakistan aliogundulika na mpango kupigwa chini akaenda kenya kuwalaghai wakenya na lowasa akajifanya yuko na Kenyatta kwenye kampeni kumbe wapiga pesa wameenda kuwaliza akina Kenyatta na mitambo yao ya uchakachuaji kura. Raila komaa kura ni form za matokeo ya vituoni tu hilo pepo la voting management system mwachie trump na akina lowasa rostam Aziz Kenyatta
Sor yupo karbu na uhuru
 
UKAWA ni muungano wa makabila mawili ambayo hayakupigania uhuru ya wachaga na wapemba waarabu.Na ulianzishwa haswa na waliotake leading role wafanyabiashara wa makabila hayo mawili.Ukiwa na lengo la kushika siasa za nchi baada ya kuona wamefanikiwa kushika biashara kama ujuavyo wapemba na wachaga ndio wafanyabiashara wakuu Tanzania.Wakaona biashara haitoshi sasa washike na siasa!!!!!! Ili siasa na njia zote za uchumi zimilikiwe na wao!!!!.Hawakuridhika na faida tu ya biashara.

Kumbe tunakaririshwa kuwa hakuna ukabila Tz sasa naona kuna wachaga na wapemba waarabu wakiisha itakuja wapemba weusi , wasukuma na wengineo. Tuache ubaguzi hauna tija kwetu. Nchi yetu waTz kwa kabila zetu, rangi zetu na dini zetu. Utaifa hauna chama
 
Afrika Na Zanzibar ni Ya wa afrika ngozi nyeusi m se nge Mkubwa we we seif aende uarabuni

Matusi ni dalili za kushindwa hoja. Ukienda UK kuna waingereza weusi wanajinasibu wao ni waingereza. Ukienda US kuna wamarekani weusi wanajinasibisha wao ni wamarekani and they are right. Acha kuwabagua watu weupe wa Tz wenzetu. Unless ni chuki binafsi na roho mbaya. Mchango wa watu weupe ni mkubwa sana, sisemi waarabu maana hakuna mwarabu mtanzania wala muhindi mtanzania hao wamepata rangi tu .
 
Wasukuma akina RUPIA ndio walimchangia nauli Nyerere.Revise your notes
Waliomchangia Nyerere pesa ili aende UN ni Mbowe na Rupia. Na Mbowe akasema hatambatiza mtoto wake mlama Tanganyika iwe huru. Tanganyika siku ilipopata uhuru, mzee Mbowe alimbatiza mtoto wake FREEMAN.

Lakini pia TANU katika harakati zake ilifadhiliwa sana na wazee wa Pwani, kama familia za akina Sykes na wengineo. Mwalimu alijua bila ya kuungwa mkono na Watanzania walio wengi asingefanikiwa.
 
Mjaluo na mkikuyu kinachowatengenisha ni mila mbali na siasa.
 
Hizi ni siasa za majitaka, USA waliweka jaluo na ilikuwa poa.
 
Kenya is a divided country.Nilisoma na Wakenya na ilikuwa dhahiri kuona mgawanyiko wao wa kikabila.Lakini mgawanyiko wao ulikuwa based between WALUO na WAKIKUYU-I think ni chuki binafsi au historical vendetta.Makabila mengine yana form alliance kuanzia kwayo mawili.
 
Back
Top Bottom