Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

Siri ya Siasa za Kenya hii hapa

Watu wengi hatujui ni kwa nini siasa za Kenya zinaendeshwa kikabila hasa ukifika wakati wa uchaguzi mkuu, huwezi kupata jibu bila ya kujua kiini cha vita ya MAUMAU. Vita hii ilipiganwa nchini Kenya miaka ya 1950's. Waliopigana vita hii kumtokomeza mkoloni Mwingeleza walikuwa ni Wakikuyu na makabila mengine madogo madogo. nature na Wakikuyu ni wafanyabiashara mashuhuri ukanda huu wa afrika Mashariki, pia ni wathubutu, si waoga na hawanaga kujipendekeza pendekeza kwa namna yoyote ile.

Wakati Wakikuyu wakipigana vita hii, Wajaluo wao ndio walikuwa maofisini wamefunga tai, Wajaluo by nature ni watanashati, hawataki shida shida na ni wasomi wabobezi. Walitumia usomi wao kuwachongea wakikuyu - walitoa siri za vita ili Wakikuyu washindwe.

Sasa leo, ati Wakikuyu wawakabidhi dola yao kwa Wajaluo ni ndoto, hilo halipo kabisa - wameapa kwa ncha ya upanga. kwa hiyo yanayoendelea Kenya ni muendelezo tu wa hii tamthiliya kwamba Wajaluo hawawezi kupewa nchi kwani kwani wakati wa vita MAUMAU wao walikuwa ofisini wakati Wakikuyu wakipukutika kama kuku vitani. Pole Mh. Raira - Historia imekukataa kuingia State Hse.

Kwa walio soma Kenya wataungana na mimi kwamba huwezi kumkuta kijana wa Kijaluo ana date Mkikuyu na kama ikitokea basi ni kwa nadra sana. Nilipata shida sana kuchagua marafiki by the time, hata nikienda lunch ilikuwa ngumu sana kwenda na rafiki zangu wa Kijaluo na Kikuyu at the same time - ni lazima nichague leo ntatoka na rafiki wa kabila lipi. Nikitoka na Mkikuyu kwa mfano ni lazima ataniambia siri mbaya za ndani za kabila lla Wajaluo, vivyo hivyo kwa Wajaluo watatoa siri za ndani za Wakikuyu. Hata hotel's na Bar zipo za Wakikuyu na Wajaluo, na ukienda Bar za wakikuyu kwa mo utakuta wanapiga nyimbo za kwao tu.

Pole Raila, mfumo wa siasa za kwenu zimekuondoa wewe kuingia IKULU, sababu kuu ni kwamba kabila lako halikushiriki wakati wa vita ya MAUMAU.

db825a75edbc2e0bc54e2e9a1b0e28f2.jpg
Unajua baba yake Odinga alikua apewe nchi na waingereza akagoma na Kusema mpaka Jomo Kenyata aliyekua jela aachiwe. ..dn baada ya Kenyata kushka madaraka akamsaliti mzee Jaramog Oginga Odinga. ..kasome tena historia ya Kenya umeandka kwa mahaba zaidi
 
Siasa za chuki kwa sasa hazisaidii mkikuyu au mjaluo.Bali zinaongeza machafuko katika nchi ya Kenya.
 
Watu wengi hatujui ni kwa nini siasa za Kenya zinaendeshwa kikabila hasa ukifika wakati wa uchaguzi mkuu, huwezi kupata jibu bila ya kujua kiini cha vita ya MAUMAU. Vita hii ilipiganwa nchini Kenya miaka ya 1950's. Waliopigana vita hii kumtokomeza mkoloni Mwingeleza walikuwa ni Wakikuyu na makabila mengine madogo madogo. nature na Wakikuyu ni wafanyabiashara mashuhuri ukanda huu wa afrika Mashariki, pia ni wathubutu, si waoga na hawanaga kujipendekeza pendekeza kwa namna yoyote ile.

Hapa kuna ukweli fulani lakini siyo justification!! Tukienda hivi hivi itabidi tuwape watu wa pwani Nchi kwa sababu ndio waliopigania uhuru na kuwa karibu na Nyerere kuliko wengine wote

Wakati Wakikuyu wakipigana vita hii, Wajaluo wao ndio walikuwa maofisini wamefunga tai, Wajaluo by nature ni watanashati, hawataki shida shida na ni wasomi wabobezi. Walitumia usomi wao kuwachongea wakikuyu - walitoa siri za vita ili Wakikuyu washindwe.

Generalisation! traitors are everywhere! Unakumbuka Jaramogi Odinga ndiye aliyemkabidhi Jomo kenyata Nchi?

Sasa leo, ati Wakikuyu wawakabidhi dola yao kwa Wajaluo ni ndoto, hilo halipo kabisa - wameapa kwa ncha ya upanga. kwa hiyo yanayoendelea Kenya ni muendelezo tu wa hii tamthiliya kwamba Wajaluo hawawezi kupewa nchi kwani kwani wakati wa vita MAUMAU wao walikuwa ofisini wakati Wakikuyu wakipukutika kama kuku vitani. Pole Mh. Raira - Historia imekukataa kuingia State Hse.

Pathetic!!
Kwa walio soma Kenya wataungana na mimi kwamba huwezi kumkuta kijana wa Kijaluo ana date Mkikuyu na kama ikitokea basi ni kwa nadra sana. Nilipata shida sana kuchagua marafiki by the time, hata nikienda lunch ilikuwa ngumu sana kwenda na rafiki zangu wa Kijaluo na Kikuyu at the same time - ni lazima nichague leo ntatoka na rafiki wa kabila lipi. Nikitoka na Mkikuyu kwa mfano ni lazima ataniambia siri mbaya za ndani za kabila lla Wajaluo, vivyo hivyo kwa Wajaluo watatoa siri za ndani za Wakikuyu. Hata hotel's na Bar zipo za Wakikuyu na Wajaluo, na ukienda Bar za wakikuyu kwa mo utakuta wanapiga nyimbo za kwao tu.

No ninafanya kazi huku Kenya naishi Kabete (kwa wakikuyu). Wakikuyu wanajulikana kwa ulevi uliokithiri! hawawezi hata kuoa. Wasichana wa kikuyu wakimpata mjaluo mwenye afya wanashukuru na wengi wameolewa huko. Huku kikuyuni ukioa ukiweza kuzaa unapewa 5000Ksh kama pole kwa sababu wengi wamejichokea!!

Pole Raila, mfumo wa siasa za kwenu zimekuondoa wewe kuingia IKULU, sababu kuu ni kwamba kabila lako halikushiriki wakati wa vita ya MAUMAU.

db825a75edbc2e0bc54e2e9a1b0e28f2.jpg
 
Mambo ya wahenga yanaendelezwa mpaka kwenye dot com. Huenda ni safi. Au labda muda utaamua
 
Ungetuwekea na mchango wa Oginga Odinga kwenye Uhuru wa Kenya ungekuwa umebalance story yako walau kwa uchache. Yaani umeonesha as if waluo hawakuwa na mchango wowote katika kupigania Uhuru wa Kenya.
Na kama ni hivyo Jomo Kenyatta asinge fanya nae kazi.
 
Kuna watu wanashangilia uhuru anachofanya kisa tu EL alienda kusuport nasubir 2020 niwaskie wakilia apa...EL is bussness man as we know rafiki yake Rostam yupo karibu na Uhuru zaidi so pia karata ya EL inatumika ili kumshika Uhuru ila washangiliaji wao wanafata mkumbo tu...yetu macho msrudi apa kulia lia 2020 au 2025
 
Kuna watu wanashangilia uhuru anachofanya kisa tu EL alienda kusuport nasubir 2020 niwaskie wakilia apa...EL is bussness man as we know rafiki yake Rostam yupo karibu na Odinga zaidi so pia karata ya EL inatumika ili kumshika Uhuru ila washangiliaji wao wanafata mkumbo tu...yetu macho msrudi apa kulia lia 2020 au 2025

Kenya kura na huo mtambo wachakachuaji wakubwa ni watanzania wawili rostam Aziz na Lowasa. Mradi ulioshindwa Tanzania wamewapelekea wakenya maruhuni wakubwa.

Wakenya hujifanya wajuaji na wamarekani lakini wakenya na wamarekani walitakiwa waje kuomba ushauri WA watanzania huo ushenzi uliotokea marekani na kenya ulishindikana Tanzania.

Odinga hiyo mitambo Ya kura itupilie mbali Hakuna kura zihesabiwe na kurekodiwa manually na fomu zijazwe manually zipelekwe tume manually achana na ujinga wa wamarekani na wazungu wa voting management system ni utapeli mtupu.

Wakenya kiingereza kisiwababaishe hesabuni manually na kura rekodini manually na mzipeleke manually Bomas zinakojumulishwa
 
Kuna watu wanashangilia uhuru anachofanya kisa tu EL alienda kusuport nasubir 2020 niwaskie wakilia apa...EL is bussness man as we know rafiki yake Rostam yupo karibu na Odinga zaidi so pia karata ya EL inatumika ili kumshika Uhuru ila washangiliaji wao wanafata mkumbo tu...yetu macho msrudi apa kulia lia 2020 au 2025

Sio kweli kuwa rostam yuko karibu na odinga uwongo kapewa tenda kibao na serikali ya Kenyatta msitake ku divert Mambo baada ya kuona limebunguruka kenya. Rostam ndie Alikuwa kinara wa kuchakachua kwa kufunga mtambo wa kuchakachua kura za Tanzania nchi ya khazakistan aliogundulika na mpango kupigwa chini akaenda kenya kuwalaghai wakenya na lowasa akajifanya yuko na Kenyatta kwenye kampeni kumbe wapiga pesa wameenda kuwaliza akina Kenyatta na mitambo yao ya uchakachuaji kura. Raila komaa kura ni form za matokeo ya vituoni tu hilo pepo la voting management system mwachie trump na akina lowasa rostam Aziz Kenyatta
 
Mkuu naungana na wewe kwamba huenda ikawa chanzo.. Maumau uprising.. Kikuyu vs wakoloni.. Kumbe wajaluo walikuwa upande wa wakoloni eh! Bs wapambane na hali zao wasije kuuza nchi bure,

Plz: naomba msilinganishe hstoria ya Tanzania na vitu vya kijinga
 
UKAWA ni muungano wa makabila mawili ambayo hayakupigania uhuru ya wachaga na wapemba waarabu.Na ulianzishwa haswa na waliotake leading role wafanyabiashara wa makabila hayo mawili.Ukiwa na lengo la kushika siasa za nchi baada ya kuona wamefanikiwa kushika biashara kama ujuavyo wapemba na wachaga ndio wafanyabiashara wakuu Tanzania.Wakaona biashara haitoshi sasa washike na siasa!!!!!! Ili siasa na njia zote za uchumi zimilikiwe na wao!!!!.Hawakuridhika na faida tu ya biashara.

mmmmhhh?
 
Tunachojifunza upande wa Zanzibar ni kuwa wakati waswahili ngozi nyeusi wakibeba mapanga na mashoka kumtimua sultan wapemba weupe akina self walikuwa walinywa urojo na kutafuna tambuu sebuleni kwa sultan. Na kwa upande wa bara wakati Nyerere na makabila mengine walikuwa wakidai uhuru Mangi wa wachaga alienda kupinga kuwa watu wake hawataki. Vita Ya kuikomboa Tanganyika Na Zanzibar wapemba na wachaga mchango wao ulikuwa hakunaWakati wengine wanahangaika kudai uhuru wao walikuwa wakiongea kiingereza na watoto wa malkia wa uingereza .Leo ndio vinara wa kutaka dola!!!!!!!!!!

Mbere
umeoga kwenye matope au vumbi kama kuku. Kwa upande wa znz waliobeba mapanga si waswahili wa kizanzibari bali ni wakuja kutoka mashamba ya mkonge tanga na maeneo mengine ya bara ( songea) na wamakonde. Usiwahusishe wapemba. Mimi sio mpemba natoka Unguja lakn kwa hili unawaonea bure ndugu zangu wa pemba.They are innocent na hawakuhusika kabisa kwa kuwa mapinduzi kwa kiasi kikubwa yalifanyika Unguja na sio Pemba.

Unaposema kuwa maalim seif na waarabu wenzake kuwa walikuwa wakinywa kahawa na haluwa humtendei haki. Waliotoka mashamba ya mikonge tanga na kwengineko Hawa ndio waliouwa waznzibari wasio na hatia ( Ref: soma kitabu cha Dr Harith Ghasani : Kwa heri Ukoloni, Kwa heri Uhuru). Maalim seif nafikri bado alikuwa mwanafunzi hapo shule ya King George the six memorial school ( sasa ni Lulumba sekondari niliyosoma mimi).

Wakuja hawa walishirikiana na waswahili wachache akina Ramadhani Haji Faki mtu wa kaskazini ya Unguja kijiji cha Kidombo Mkwajuni alikotoka salmin Amour juma. Lakini pia waliofanya mapinduzi kuna waarabu pia kwa mfano marehemu Abdulrahman Mohamed Babu, Salim Ahmed salim, Salim Rashid ( huyu aliyetokea hivi karibuni kwenye video ktk jamii forum anayeleza haki ya wazanzibar itapatikana. Wengine ni Akina Badawi Kulateni, Ali Mahfoudh,Hashil Seif Hashil ,Hemed Hilal.

Wote hao ni waarabu kwa damu baba na mama. Sasa unapoandika uwe na ushahidi usiandike kwa mihemko ya upande wa kisiasa.. Angalia kamati ya watu 14 walioratibu mapinduzi na kufanya mauwaji ya halaiki, ni asilimia 98 ni kutoka kuumeni kwa mkoloni( seif bakari, Edighton Kisasi, ali mwinyi gogo, saidi washoto, yusuf himid et al). Kwa hili tanganyika ina mkono na inahusika kwa kiasi kikubwa kuuwa wazanzibari waliokuwa hwana hatia yoyote kwa kisingizio cha mapinduzi.

Rest in peace ( Inna lillahi wainna illaihi Rajiuuna )wote walipooteza roho zao na muungu awalipe wanachostahili hao waliofanya mapinduzi.

Tunajenga znz mpya na jumuishi ambayo inayachukulia makabila yote ya znz kuwa kama ni kitu kimoja chini ya utaifa ambao ndo tunaupigania kwa kudai mamlaka kamili.

Jioni njema.
 
Mbere
umeoga kwenye matope au vumbi kama kuku. Kwa upande wa znz waliobeba mapanga si waswahili wa kizanzibari bali ni wakuja kutoka mashamba ya mkonge tanga na maeneo mengine ya bara ( songea) na wamakonde. Usiwahusishe wapemba. Mimi sio mpemba natoka Unguja lakn kwa hili unawaonea bure ndugu zangu wa pemba.They are innocent na hawakuhusika kabisa kwa kuwa mapinduzi kwa kiasi kikubwa yalifanyika Unguja na sio Pemba. Unaposema kuwa maalim seif na waarabu wenzake kuwa walikuwa wakinywa kahawa na haluwa humtendei haki. Waliotoka mashamba ya mikonge tanga na kwengineko Hawa ndio waliouwa waznzibari wasio na hatia ( Ref: soma kitabu cha Dr Harith Ghasani : Kwa heri Ukoloni, Kwa heri Uhuru). Maalim seif nafikri bado alikuwa mwanafunzi hapo shule ya King George the six memorial school ( sasa ni Lulumba sekondari niliyosoma mimi). Wakuja hawa walishirikiana na waswahili wachache akina Ramadhani Haji Faki mtu wa kaskazini ya Unguja kijiji cha Kidombo Mkwajuni alikotoka salmin Amour juma. Lakini pia waliofanya mapinduzi kuna waarabu pia kwa mfano marehemu Abdulrahman Mohamed Babu, Salim Ahmed salim, Salim Rashid ( huyu aliyetokea hivi karibuni kwenye video ktk jamii forum anayeleza haki ya wazanzibar itapatikana. Wengine ni Akina Badawi Kulateni, Ali Mahfoudh,Hashil Seif Hashil ,Hemed Hilal. Wote hao ni waarabu kwa damu baba na mama. Sasa unapoandika uwe na ushahidi usiandike kwa mihemko ya upande wa kisiasa.. Angalia kamati ya watu 14 walioratibu mapinduzi na kufanya mauwaji ya halaiki, ni asilimia 98 ni kutoka kuumeni kwa mkoloni( seif bakari, Edighton Kisasi, ali mwinyi gogo, saidi washoto, yusuf himid et al). Kwa hili tanganyika ina mkono na inahusika kwa kiasi kikubwa kuuwa wazanzibari waliokuwa hwana hatia yoyote kwa kisingizio cha mapinduzi.

Rest in peace ( Inna lillahi wainna illaihi Rajiuuna )wote walipooteza roho zao na muungu awalipe wanachostahili hao waliofanya mapinduzi.

Tunajenga znz mpya na jumuishi ambayo inayachukulia makabila yote ya znz kuwa kama ni kitu kimoja chini ya utaifa ambao ndo tunaupigania kwa kudai mamlaka kamili.

Jioni njema.
Afrika Na Zanzibar ni Ya wa afrika ngozi nyeusi m se nge Mkubwa we we seif aende uarabuni
 
Too low! It's time, let their law/constitution take its course! Those notions have no room in the current world! Aliyeshinda apewe ushindi!
 
Watu wengi hatujui ni kwa nini siasa za Kenya zinaendeshwa kikabila hasa ukifika wakati wa uchaguzi mkuu, huwezi kupata jibu bila ya kujua kiini cha vita ya MAUMAU. Vita hii ilipiganwa nchini Kenya miaka ya 1950's. Waliopigana vita hii kumtokomeza mkoloni Mwingeleza walikuwa ni Wakikuyu na makabila mengine madogo madogo. nature na Wakikuyu ni wafanyabiashara mashuhuri ukanda huu wa afrika Mashariki, pia ni wathubutu, si waoga na hawanaga kujipendekeza pendekeza kwa namna yoyote ile.

Wakati Wakikuyu wakipigana vita hii, Wajaluo wao ndio walikuwa maofisini wamefunga tai, Wajaluo by nature ni watanashati, hawataki shida shida na ni wasomi wabobezi. Walitumia usomi wao kuwachongea wakikuyu - walitoa siri za vita ili Wakikuyu washindwe.

Sasa leo, ati Wakikuyu wawakabidhi dola yao kwa Wajaluo ni ndoto, hilo halipo kabisa - wameapa kwa ncha ya upanga. kwa hiyo yanayoendelea Kenya ni muendelezo tu wa hii tamthiliya kwamba Wajaluo hawawezi kupewa nchi kwani kwani wakati wa vita MAUMAU wao walikuwa ofisini wakati Wakikuyu wakipukutika kama kuku vitani. Pole Mh. Raira - Historia imekukataa kuingia State Hse.

Kwa walio soma Kenya wataungana na mimi kwamba huwezi kumkuta kijana wa Kijaluo ana date Mkikuyu na kama ikitokea basi ni kwa nadra sana. Nilipata shida sana kuchagua marafiki by the time, hata nikienda lunch ilikuwa ngumu sana kwenda na rafiki zangu wa Kijaluo na Kikuyu at the same time - ni lazima nichague leo ntatoka na rafiki wa kabila lipi. Nikitoka na Mkikuyu kwa mfano ni lazima ataniambia siri mbaya za ndani za kabila lla Wajaluo, vivyo hivyo kwa Wajaluo watatoa siri za ndani za Wakikuyu. Hata hotel's na Bar zipo za Wakikuyu na Wajaluo, na ukienda Bar za wakikuyu kwa mo utakuta wanapiga nyimbo za kwao tu.

Pole Raila, mfumo wa siasa za kwenu zimekuondoa wewe kuingia IKULU, sababu kuu ni kwamba kabila lako halikushiriki wakati wa vita ya MAUMAU.

db825a75edbc2e0bc54e2e9a1b0e28f2.jpg

Hii ni uongo kwa asilimia kubwa. Wajaluo walipigania uhuru Kenya pamoja na wananchi wengine. Baba yake Raila akiitwa Mzee Jaramogi Oginga Odinga alikuwa miongoni mwa mashujaa walioongoza harakati za uhuru wa Kenya, na uhuru ulipopatikana Mzee Kenyatta akawa Rais na Mzee Oginga Odinga akawa Makamu wa Rais.

Ukabila waliuendeleza baada ya hapo kwa kumfukuza Odinga umakamu na kuamua kuanzisha ushirika na Moi wa kabila la Kalenjin ambalo halikuwa na wasomi (kwa kuogopa ushindani wa wajaluo).

Moi aliyekuwa kiongozi wa chama kilichoitwa KADU, kwanza alipewa uwaziri wa mambo ya ndani (aliwatesa sana wapinzani wa Kenyatta including wakikuyu wenzake kama Ngugi wa Thiong'o) na baadaye akawa makamu wa rais hadi 1978 Mzee Kenyatta alipofariki.

Moi akaendeleza siasa zenye nia ya kurudisha fadhila kwa familia ya Mzee Kenyatta, hadi leo.
 
Nimeishi Kenya pia kwa muda mrefu lakini kwa kweli wakikuyu wamekuwa watu wazuri kwangu sijawahi kubaguliwa na mkikuyu kama ambavyo nilibaguliwa na Kalenje, wasomali na wakamba....

Wakukuyu wa aina zote wanakuwa na roho nzuri hasa kwa wageni ..........

Wakikuyu nawapenda sana hobie yao ya kutafuta pesa usiku na mchana...

Ingawa uhasana wa kikabila kwa kweli ni mkubwa sana nchini Kenya....

Uhuru I hope atakuwa rais tena na Kenya itaendelea kuwepo lakini wanatakiwa kutafuta dawa ya kuondoa ukabila.......
 
Waisome 'UKAWA' yaani wachaga na wapemba !

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe usiletee bangi zao tanganyika ilipiganiwa na waislam wakiristo walikuwa wakila ugali na kuku leo waislamu wamepigwa panga wakiristo wanapeta
i hope sio kijana wa ufipa maana vivyo hivo tutasema ile chama yenu isikanyage ikulu maana haina muhuri wa kupigania uhuru. maana umeandika kama unaona ni sawa raila kuibiwa kura na wajaluo kutengwa kuongoza kenya kama vile kila mjaluo alikua kibaraka amefunga tai ofisi ya mkoloni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachojifunza upande wa Zanzibar ni kuwa wakati waswahili ngozi nyeusi wakibeba mapanga na mashoka kumtimua sultan wapemba weupe akina self walikuwa walinywa urojo na kutafuna tambuu sebuleni kwa sultan. Na kwa upande wa bara wakati Nyerere na makabila mengine walikuwa wakidai uhuru Mangi wa wachaga alienda kupinga kuwa watu wake hawataki. Vita Ya kuikomboa Tanganyika Na Zanzibar wapemba na wachaga mchango wao ulikuwa hakunaWakati wengine wanahangaika kudai uhuru wao walikuwa wakiongea kiingereza na watoto wa malkia wa uingereza .Leo ndio vinara wa kutaka dola!!!!!!!!!!
WAPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ZA USOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom