Watu wengi hatujui ni kwa nini siasa za Kenya zinaendeshwa kikabila hasa ukifika wakati wa uchaguzi mkuu, huwezi kupata jibu bila ya kujua kiini cha vita ya MAUMAU. Vita hii ilipiganwa nchini Kenya miaka ya 1950's. Waliopigana vita hii kumtokomeza mkoloni Mwingeleza walikuwa ni Wakikuyu na makabila mengine madogo madogo. nature na Wakikuyu ni wafanyabiashara mashuhuri ukanda huu wa afrika Mashariki, pia ni wathubutu, si waoga na hawanaga kujipendekeza pendekeza kwa namna yoyote ile.
Wakati Wakikuyu wakipigana vita hii, Wajaluo wao ndio walikuwa maofisini wamefunga tai, Wajaluo by nature ni watanashati, hawataki shida shida na ni wasomi wabobezi. Walitumia usomi wao kuwachongea wakikuyu - walitoa siri za vita ili Wakikuyu washindwe.
Sasa leo, ati Wakikuyu wawakabidhi dola yao kwa Wajaluo ni ndoto, hilo halipo kabisa - wameapa kwa ncha ya upanga. kwa hiyo yanayoendelea Kenya ni muendelezo tu wa hii tamthiliya kwamba Wajaluo hawawezi kupewa nchi kwani kwani wakati wa vita MAUMAU wao walikuwa ofisini wakati Wakikuyu wakipukutika kama kuku vitani. Pole Mh. Raira - Historia imekukataa kuingia State Hse.
Kwa walio soma Kenya wataungana na mimi kwamba huwezi kumkuta kijana wa Kijaluo ana date Mkikuyu na kama ikitokea basi ni kwa nadra sana. Nilipata shida sana kuchagua marafiki by the time, hata nikienda lunch ilikuwa ngumu sana kwenda na rafiki zangu wa Kijaluo na Kikuyu at the same time - ni lazima nichague leo ntatoka na rafiki wa kabila lipi. Nikitoka na Mkikuyu kwa mfano ni lazima ataniambia siri mbaya za ndani za kabila lla Wajaluo, vivyo hivyo kwa Wajaluo watatoa siri za ndani za Wakikuyu. Hata hotel's na Bar zipo za Wakikuyu na Wajaluo, na ukienda Bar za wakikuyu kwa mo utakuta wanapiga nyimbo za kwao tu.
Pole Raila, mfumo wa siasa za kwenu zimekuondoa wewe kuingia IKULU, sababu kuu ni kwamba kabila lako halikushiriki wakati wa vita ya MAUMAU.