Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

umuntu huno nyakwabho atubire
 
Mkuu hata angetawala akiwa ana lala nje bado anaongozwa na hao weupe, hujamsikia Kangi akikuambiaa masoga wako salama? Hujui bajeti ya taifa kuna hela ngapi za hao wazungu? Msimdanganye maana mnapo mdanganya anazidi kuharibu.
 

Mzee! Hapana Bwana! Wakati Mwingine baki na mawazo yako usiwashirikishe wengine! Samahani lakini!
Kwanza Vatican Haijawahi kutawala koloni lolote Ulimwenguni!
Hati ya waingereza ikakae vatican kwa papa!?
Assets zao? Majengo haya bado wanayamiliki mpaka leo?
Haya ndugu!
 

Mkuu kumbuka Nyerere alilielewa hilo vema! Ndio Maana baada tu ya Uhuru JK alifanya Nationalization! Hapo ikawa ndio ukomo wa umiliki wa majengo,taasisi na mali mbalimbali za mashirika ya kigeni na ya watu binafsi.(ALITAIFISHA KILA KITU).
Labda wafungue kesi!😀
 
Uingereza na vatican wapi na wapi?Crap
 
Wewe ni mpubavu sana. Mazengo, Forodhani, Msalato, Rugambwa, na shule nyingi zilikuwa mali ya makanisa. Nyerere alizitaifisha baada ya Azimio la Arusha kama alivyotaifisha majumba mengi ya wahindi nchi nzima.

Mkapa ndiye aliyerudisha zile shule ingawa si zote. Hospitali kama KCMC na Bugando zilitaifishwa ila kwa sasa makanisa yana umiliki. Mambo ya kusimuliwa na wanywa gongo msiwe mnayaleta humu kuanzisha nyuzi kwa vitu msivyovifahamu. Huko Dodoma jengo la Waziri mkuu lilijengwa na wajerumani na kuna uhusiano gani kati ya Mwingereza na Papa wakati Mwingereza ana dhehebu lake la Anglican. Wewe ni maskini wa kusoma na kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…