Siri ya Serikali kuhamia Dodoma

sasa we machinga juzi mpango kasema umeshindwa kuchangia pato la taifa halafu bado unaunguza bando hapa na mawazo yako ya kizamani
 
Story za Kwenye vijiwe vya kahawa
 
ulikua unatafuta namna ya kusema "viva magufuli" zingine mbwembwe tu. btw asante kwa chai
 
tpaul
 
Wee mtu ni Muongo sana bila Shaka itakuwa ni mwalimu wa History wewe ....naomba niishie hapo tu!!
 
Upuuzi huu umekupa like moja tu !!!
 
Fikra finyu zilizobabwa na wakoroni, unadhani ni kipi bora,
Kujitangazia uhuru, wakati bado mnatawaliwa na kufanywa watumwa wa fikra, huku bado mliyo yakataa au mliyo wakataa wakiendelea kufanya yele yele mliyo yakataa nanyi huku mkijiita nchi huru?
Au
Kutumia gharama nyingi, lakini kuwa na uhuru wenu kamili huku mkifaidi matunda yenu ya uhuru bila bugudha wala karaha Hata kama machache!?
 
Sababu ziko mbili 1.Dodoma ni katikati 2.Kiulinzi-Ni vigumu kushambuliwa na adui huu ullikuwa mtizamo wa Nyerere
 
Si kwamba mkulu ameona akikaa Daslam naye ataitwa 'mwanaume wa Dar'??
 
Mali za Waingereza,......Hati zake zinatunzwa na Papa huko Vatican! Are you serious?

Bora angesena Anglican huyu naona ni mtu asiyejua mambo kashindwa kutudanganya. Halafu ukute ni graduate asiye na ajira kada wa ccm. Ndio tatizo linaongezeka zaidi
 

Mkuu usimalize nguvu zako bure kwenye huu upuuzi.
 

Mods huyu apigwe ban...ametumalizia bando na kutupotezea muda....
 
Haaaa hakuna cha maana ulichoandika kwa kweliii ni porojo tu za watoto
 
Hata hivyo umejaribu.


Sababu moja wapo ya kitaalamu ni kupunguza gharama na kurahisifa utendaji wa serikari kwa maaana itakuwa karibu na mikoa yote.

Vile cile Dar es salaam sio salama sana. kwa maana ya msongamano wa magari watu na nyumba kuna ucheleweshwaji wa shughuli za serikali.

Nk.
 
sasa we machinga juzi mpango kasema umeshindwa kuchangia pato la taifa halafu bado unaunguza bando hapa na mawazo yako ya kizamani
Tamotepia Tata. Omonto ono noomkangi pokong'u na ni ilitune. Kwanini nchi masikini kama Tanzania iamue kuhamia Dodoma kwa sababu za karne ya 19? Kwani makao makuu kuwa katikati ndipo maisha ya watu yatakuwa mazuri au uchumi kukua? Sijawahi kuona viongozi wenye akili za kipimbi kama hawa wa Tanzania.

CC MWALLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…