Relay
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,770
- 1,160
Labda kaona hayo tu!mbona hata 5 ina maajabu? Vidole 5,milango ya fahamu 5,kitanda ni 5,kwa 6, tuko awamu ya 5 rais, nipe 5 salamu, maajabu meng tu
Labda kaona hayo tu!mbona hata 5 ina maajabu? Vidole 5,milango ya fahamu 5,kitanda ni 5,kwa 6, tuko awamu ya 5 rais, nipe 5 salamu, maajabu meng tu
Madrasa wanafundisha kumuabudu Mungu mwenye sifa ya kuwaumba kina Ibrahim,Yohana,Musa,Daudi,Bikira Maria mchungaji wako Gwajima,malaika na shetani uliyemtaja.Tuambie Mungu wako ana sifa gani?Wee mtoa uzi umelishwa matango pori huko madrassa, halafu unataka kutupotosha tusioabudu shetani la kiarabu.
JIWE halinaga uwezo wa kuumba.Madrasa wanafundisha kumuabudu Mungu mwenye sifa ya kuwaumba kina Ibrahim,Yohana,Musa,Daudi,Bikira Maria mchungaji wako Gwajima,malaika na shetani uliyemtaja.Tuambie Mungu wako ana sifa gani?
..............na mtoto akiwa na miezi 7 tumboni anaweza kuishi akizaliwa (njiti) kuliko wa miezi 8 au hata tisa kasoroWanasemaga na mimba nayo huweza kutambulika na madaktar siku ya saba baada ya tendo
Ugumu unakuja kwenye kuthibitisha hayo mengine ambayo yamo kwenye imani yako na wengine hatujawahi kuyaona.Jamani kuna siri gani kwenye namba: 7.!?, mbigu ziko 7,ardhi ziko 7, wiki inasiku 7 Tawaf"7 safa na marwa 7, jamarat mawe 7, Maajabu ya dunia 7, milango ya moto 7, shahada herufi 7, Takbira ya idd huwa ni 7, idadi ya bahari ni 7, mabara yapo 7, surat fatiha ina aya 7, viungo vikuu vinavyo sujudu viko 7, na nyota za majina ni 7, watoto wamtume walizaliwa 7, watoto waanze kusali wakiwa na umri wa miaka 7 ,niambie kwa nini halafu tuma kwa watu 7..