Siri ya namba saba (7)

Siri ya namba saba (7)

Mwili wa binadamu una matundu saba
Mdoma tundu 1
Maskio tundu 2
Pua tundu. 2
Sehemu Haja ndogo
Na haja kubwa tundu 2
JUMLA 7......!
 
Saba ni namba ya ukamilifu kibiblia. Mungu aliumba mbingu na nchi kwa siku 6 na siku ya 7 alipumzika.Hali kadhalika Yesu aliwaagiza wanafunzi wake kusamehe saba mara sabini. Naaman aliambiwa azame mara 7 mto Yordani na ukoma wake ukaisha. Hivyo namba saba ni ukamilifu kwa Mungu.Nawatakia tafakari njema ya namba 7 Pamoja na sabato ya siku ya saba iliyotakaswa na Bwana Mungu na akatuagize tuikumbuke kuitakasa.
Kumbe hata leo ndo siku ya saba! Wol
 
Jamani kuna siri gani kwenye namba: 7.!?, mbigu ziko 7,ardhi ziko 7, wiki inasiku 7 Tawaf"7 safa na marwa 7, jamarat mawe 7, Maajabu ya dunia 7, milango ya moto 7, shahada herufi 7, Takbira ya idd huwa ni 7, idadi ya bahari ni 7, mabara yapo 7, surat fatiha ina aya 7, viungo vikuu vinavyo sujudu viko 7, na nyota za majina ni 7, watoto wamtume walizaliwa 7, watoto waanze kusali wakiwa na umri wa miaka 7 ,niambie kwa nini halafu tuma kwa watu 7..
Ni mawazo yako Tu yamewaza hivyo, duniani Kuna vitu vingi vinajirudia Mara nyingi zaidi ya ulivyovitaja, tatizo Ni kuwa wewe akili yako umeielekeza kwenye 7,
Embu jaribu kufikiri Na kwenye namba nyingine
 
Hizo zote Ni primitive mythologies, pole sana
 
Ni mawazo yako Tu yamewaza hivyo, duniani Kuna vitu vingi vinajirudia Mara nyingi zaidi ya ulivyovitaja, tatizo Ni kuwa wewe akili yako umeielekeza kwenye 7,
Embu jaribu kufikiri Na kwenye namba nyingine
Taja na wewe zako yeye
Ameona 7
 
Back
Top Bottom