Wilson Joseph
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 312
- 279
Mwanangu kazaliwa tar 7/7/2016 saa 7
Kama hujui bora ukauliza uambiwa.Leo ni siku ya kwanza...JUMAMOSI!!!
Mosi means moja.
Mbona namba 1 ndo maarufu zaidi ya namba zote?Zitaje wewe na si kupinga tu!
...kuna namba 3, 40, e.t.cTaja na wewe zako yeye
Ameona 7
Zifafanue acha kua kichwa panzi...kuna namba 3, 40, e.t.c
Atakuwa mkulima mzuri!My Son kazaliwa tarehe 7 mwezi wa 7.
Wananiambia atakuwa na mafanikio makubwa sa sijui mafanikio gani hayo
...sina huo muda, nifafanue Ili iweje, mi sio muumini wa hizo mamboZifafanue acha kua kichwa panzi
na mtoto anaweza kuzaliwa akiwa na miezi 7Jamani kuna siri gani kwenye namba: 7.!?, mbigu ziko 7,ardhi ziko 7, wiki inasiku 7 Tawaf"7 safa na marwa 7, jamarat mawe 7, Maajabu ya dunia 7, milango ya moto 7, shahada herufi 7, Takbira ya idd huwa ni 7, idadi ya bahari ni 7, mabara yapo 7, surat fatiha ina aya 7, viungo vikuu vinavyo sujudu viko 7, na nyota za majina ni 7, watoto wamtume walizaliwa 7, watoto waanze kusali wakiwa na umri wa miaka 7 ,niambie kwa nini halafu tuma kwa watu 7..
hapo ndo umemaliza kabisa mzee.mbona hata 5 ina maajabu? Vidole 5,milango ya fahamu 5,kitanda ni 5,kwa 6, tuko awamu ya 5 rais, nipe 5 salamu, maajabu meng tu
Hakuna maajabu yoyote hivyo vitabu vimeadikwa na watu ndo maana unaona namba zinafanana...stuka mzeeJamani kuna siri gani kwenye namba: 7.!?, mbigu ziko 7,ardhi ziko 7, wiki inasiku 7 Tawaf"7 safa na marwa 7, jamarat mawe 7, Maajabu ya dunia 7, milango ya moto 7, shahada herufi 7, Takbira ya idd huwa ni 7, idadi ya bahari ni 7, mabara yapo 7, surat fatiha ina aya 7, viungo vikuu vinavyo sujudu viko 7, na nyota za majina ni 7, watoto wamtume walizaliwa 7, watoto waanze kusali wakiwa na umri wa miaka 7 ,niambie kwa nini halafu tuma kwa watu 7..