Siri ya Makonda na Magufuli

Siri ya Makonda na Magufuli

Baraka za MUNGU mpaka kuita waandishi wa habari? Hii ndio ile hadithi ya Mafarisayo!
 
Hata hivyo bado ni ngumu sana. Walijiandaa akina Membe Na bado wakakosa.
Angalia utendaji wa Paul hakuna Minister anayemfikia although he's just a RC. Ana viubunifu fulani hivi amazing. Don't you see?
 
Mzee Bob,

US walienda Iraq, kwa sababu siku moja yule mwendawazimu mwingine aliropoka kuwa ana bomu, na nitalitumia wakati wowote over Israel tena ninaikumbuka vizuri sana siku aliposema nilikuwa bado US ninasoma bro! Toka siku ile US hawakulala mpaka walipomvamia,

Leo mwenda wazimu mwingine tena anasema kuwa antengeneza bomu na yuko karibu kuwa nalo, na ikibidi atalitumia kuifuta Israel kwenye ramani, US tayari imeshaanza kukosa usingizi,

Now India na Pakistani wana hilo hilo bomu na US haijawafanya kitu au kuwatisha, WHY? ni kwa sababu hawajamtishia mtu au nchi yoyote duniani kuwa wataifuta kwenye ramani kwa kutumia bomu hilo,

Je rais wa Iran alimaanisha kuwa ataibadili jina Israeli kama Rodhesia, Congo Kinshasa, au Ivory Coast, kwa kutumia bomu? Sidhani kama tungekuwa na hii debate au amerika ingekuwa inahangaika nao,

I refuse kumuweka huyu mu-Iran katika itikadi zozote za siasa duniani kwani he does not fit in anywhere, US siku zote wana agenda zao za kisiri siri ndio maana walipopigwa bomu tu Sept/11 baada ya siku tatu tu Congress ikaja na sheria za Patriotic Act za kurasa 300! I mean it is simple and clear kuwa walikuwa nazo hizo page 300 somewhere ila walikuwa wanasubiri tu siku itokee!,

Sasa whether we like it or not, US wana beef na Iran toka Shah alipotolewa na kina Khomein, sasa leo anatokea mwenda wazimu wa kusema ataitoa Israel kwenye ramani, hivi hufikiri kuwa US siku hiyo walifanya party!, kule White House kuwa finally, wana probable cause ya kuishambulia Iran, it is only a matter of time sasa hivi,

I mean two wrongs do not make it right, na regardless of the politics za unafiki za West na the rest, hapa kuna ma-bully wawili mmoja mdogo Iran na mwingine mkubwa US, at the end atakayepigwa ni bully mdogo kwa sababu ours ni dunia ya the fittest! Halafu bully mkubwa atamkamata huyu mu-Iran na kumpeleka the Hague kwenye tribunal ambayo yeye sio mwanachama,

In the perfect world, it wrong lakini in the World we live now ni possible kutokea Iran itengeneze bomu bila kelele, at this point ninaamini kuwa hawana hilo bomu kwani Israel wangeshalichukua siku nyingi na ninaamini kuwa US wanajua kuwa hana hilo bomu, lakini kwa sababu ameingia mwenyewe kwenye agenda yao hawatamuacha, that is my thinking kutokana na the experience ya Us na Panama, Grenada, Iraq, Vietnam, na Afaghanstan, I could be wrong sio a perfect world!
@%-+#-
 
Angalia utendaji wa Paul hakuna Minister anayemfikia although he's just a RC. Ana viubunifu fulani hivi amazing. Don't you see?
Acha utani bana Minister unamlinganisha na RC katika utendaji? Mbona lile sakata la cocobeach alikaa kimya ikabinafsishwa? Angekuwa na ubavu angekemea kipindikile akiwa DC
 
kichinjio hujaona tofauti ya Paul na wenzake? Ebu angalia kwa jicho la tatu
Ndo maana nakwambia acha uchokozi.
Ila kwa FISIEM, kila anayeteuliwa kuwa mgombea urais lazima apite.
Ngoja dogo achange karata zake.... who knows, he might became PAUL MAKONDA THE 6TH PRESIDENT OF THE URT
 
Siri ipi sasa mbona hio kawaida maana that's According to the Catholic Indoctrinations au wee huna Dini nn Acha mambo Ya kijinga nn cha kushangaa hapo, let them worship their Dieux (Chineke,Nyamuhanga,) God.
 
Acha utani bana Minister unamlinganisha na RC katika utendaji? Mbona lile sakata la cocobeach alikaa kimya ikabinafsishwa? Angekuwa na ubavu angekemea kipindikile akiwa DC
Mkuu katika mazingira fulani unashawishika kuwalinganisha
 
Naona unafanya mada switching, ukileta issue za udini utafeli. Waislamu ni akina nani wao waamue Rais wa nchi hii awe nani?
Achana na udini angalia performance.
 
Mkuu katika mazingira fulani unashawishika kuwalinganisha
Kivyeo wote wako sawa lakini kiutendaji Waziri anaongoza secta yake ambayo ipo nchi nzima lakini RC hawezi akatoa amri ikatekelezwa na mkoa mwingine ie hawezi kutoa amri ikatekelezwa nchi nzima
 
Hata hivyo bado ni ngumu sana. Walijiandaa akina Membe Na bado wakakosa.

Wengine mpaka wakahama vyama pamoja na kutengeneza Mafuriko bado wakakosa. Rais wa Nchi hupatikana kwa idhini yake Rabbana sio wingi wa harambee wala wapambe!
 
umeangalia ubaya tu na utaishi
Ubaya uko wapi hapo nkafikiri bonge la fununu ....
muda mrefu hivyo nakutakia maisha marefu.........ungeangalia uzuri ungegundua kwamba hawa watu nyota yao imepaa haraka sana hivyo siri kubwa ni kumtumaini Mungu
 
Back
Top Bottom