Kuliko January?Mkuu ndio hivyo labda atokee mwingine before 2020 otherwise Paul anang'aa
Huwa hakuna bahati Mbaya succession plan ilishagoma tangu JKN angekuwa hai ungeenda kumuuliza au mzee ruksa mwaka 1995 kilichotokeawala si ajabu hata JK alimwandaa mrithi wake ikawa bahati mbaya tu
Huyo siku zake zinahesabika soon atakuwa DesembaKuliko January?
Mkuu kwani wewe mgeni?Ni nani anayemwandaa?
Bila shaka atakuwa Mkatoliki.Naye Makonda ni Mkatoliki??