OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,882
Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote.
(Picha kutoka mtandaoni
Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺
Unajijuta umehamaki hasira, jazba na uchungu unakushika unaanza kurusha ngumi hovyo kumpiga adui yako na matusi juu tena bila kufuata yale maarifa ya karate ulofundishwa yote yameyeyuka ghafla umeyasahau
Lakini kuna hawa majamaa
Wao wanapopigana huwq ktk utulivu wa hali ya juu akili na macho huangalia movements za mpinzani ikiwemo ngumi atakazo rusha na kuzipangua
Ikitokea mmoja kapigwa konde hawa majamaa huendelea kuwa na utulivu mkubwa licha ya kuwa na maumivu.
Unaweza ona kapigwa konde la pua anatokwa damu lakini akirudi ulingoni huwa ktk normal state hawanaga kabisa mihemko
Yeyeto mwenye focus, concentration na utulivu wa akili kati ya hao wawili kwenye pambano ndiye anayeshinda pambano
Nguvu sio kipaumbele ni ziada
Bondia mzuri ni yule mwenye utulivu wa akili, concentration na focus ya hali ya juu ulingoni
Tunajifunza nini hapa?
Maarifa peke yake au digrii nyingi sio silaha ya mafanikio
Tunajifunza kuwa unapokuwa ktk harakati za maisha iwe kazini, biashara au harakati zozote za utafutaji likitokea janga au changamoto tuwe na utulivu mkubwa, tusipaniki tu focus na hilo jambo tusiyaruhusu maumivu au mihemko itutoe mchezoni
Ukiruhusu mihemko au maumivu yakutoe mchezoni akili na maarifa hukaa kisogoni vitakusariti
Control your nerves build your own empire
Nawasilisha