Siri ya Lowassa yavuja

Haki ya nani hii nchi hatutakaa tuendelee kama mibunge inayochaguliwa ndo aina ya Msukuma saa ngapi tutapata maendeleo? Yaani mbunge mzima hajui hata utaratibu wa kumpata waziri Mkuu? Aibu yenu wana Geita kama mtapeleka Bomu bungeni, hili litamzidi hata Prof. MAJI Marefu!
 
Huyu jamaa ana akili ndogo, kikatiba waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Sasa sumaye anagombea jimbo gani? Ni bahati mbaya tuna wanasiasa wasiojitambua hata kidogo!

Halafu anasema eti ni mwaka wa 'kanda ya ziwa kutoa rais'! Kumbe uraisi tunapokezana kikanda? Haya maneno yanaonekana kama mepesi, lakini tuna-inject sumu mbaya kwa wananchi!
 

Mimi ni msukuma wa mwanza lakn kura yangu ni ya UKAWA tuuu! Sina uadui na Mh. Magufuli bali adui yangu ni CCM. Kwani CCM amenifanya niwe katka hali hii ya UMASKINI kwa kunitengenezea mazingira ya kiunyonyaji katka mchakato mzima wa upangaji na uhalalishaji wa bei ya Pamba(ambalo ndilo zao kuu la biashara kwetu) . Bei ya Pamba ni sh. 600 hadi 800 kwa kilo mpaka sasa hv, wakati bei ya bidhaa kama bati, mfuko wa simenti , baiskeli, nguo,.... n.k zinazidi kupanda kila siku na kila mwaka. Ni mwaka 2010 tu ndo bei ilipanda hadi kufikia sh. 1200 kwa kilo baada ya hapo bei ikashuka tena hadi leo ni 600 au sh. 720 kama una mikokoteni mitatu au zaidi iliyojaa Pamba.
Kama nitapigia Kura yangu CCM basi nitakuwa nimetoa uthibitisho tosha kabsa kuwa mm ni Lofa na mpumbavu wa kuibiwa Pamba kwa sh. 600 kwa kilo tangu mwaka 2005. Hapa hakuna cha kushabikia ukabila wala ukanda. Nahitaji mabadiliko ya Chama na siyo mtu. Hata kama Mh. Magufuli ni msukuma mwenzangu lakn mm nimeshachoka na CCM.... Hivyo kura yangu iko UKAWA na siyo CCM.

Nimeshachoka kudanganywa na CCM acha nione na uongo wa chama kingine ila siyo uongo wa CCM.
Mm ni MWALIMU pia MKULIMA wa zao la Pamba..... lakn kwa kada zangu hizi mbili hakuna hata kada moja ambayo serikali ya CCM imethamini JASHO langu (kweli mm nitakuwa lofa na mpumbavu kama nitaendelea kumpa kura yangu CCM kwa ngazi zote kuanzia umonita wa darasa hadi rais wa nchi )

Mkulima wa zao la Pamba kanda ya ziwa na mwalmu wa sekondari anayeathirika na mfumo wa kiunyonyaji wa chama cha CCM, kama ambavyo wengi tunadhulumiwa JASHO letu na CCM, chondechonde amka tupambane na huyu adui yetu CCM.... Ukabila na ukanda isiwe kisingizio au kigezo cha kumrudisha madarakani CCM. Kumbuka ndugu yetu magufuli hata kama tutampitisha hataruhusiwa na wazee wa chama kuufumua na kuupanga upya mfumo wa CCM. Tabia ya CCM kutuimbia mashairi mazuri ya ILANI yao kipindi cha kampeni lakn utekelezaji wake 34%, tuseme sasa basi imetosha (msukuma mwenzetu usitulaumu kwa hili) ....hapa TANZANIA KWANZA ukanda na ukabila baadae. Hatuchagui mtemi au chifu wa wasukuma bali tunachagua mtemi au chifu wa watanzania wote (bara na
zanzibar).

Chondechonde watanzania wenzangu (hasa wanaothirika na mfumo wa CCM) uchaguzi wa mwaka huu kwa pamoja na kwa sauti moja tuseme CCM basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Kufanikisha hili (kumuondoa CCM), kura yako pigia chama na siyo mtu (kwani watu ni walewale na mapungufu yao hayana tofauti kubwa sana).
 
Waziri mkuu tangu akawa hatokani na wabunge wa kuchaguliwa? Mmatufanya wajinga? Subirini hukumu yenu mamaye zenu maccm.
 
Huyu jamaa anasema Lowassa atamteua Sumaye kuwa Waziri Mkuu. Sumaye si mbunge na wala hagombei ubunge. Waziri Mkuu ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa, kwa mujibu wa katiba na definitions za Tume ya Uchaguzi.

Huyo Sumaye atakuwaje Waziri Mkuu bila ya kuwa na jimbo la uchaguzi aliloshinda?
 
Huyu Jose Msukuma pamoja na yule jaluo wa Rorya ni walanguzi na wafanya magendo wakubwa. Ndio siri ya utajiri wao. CCM ni kichaka chao cha kujificha
 
Sumaye waziri mkuu tena aaaaargh jamani. Tanzania yangu mbona hivyo? Mpiga madili Mbowe form 6 failure ndiyo waziri wa fedha? Poor Tanzania! Nakuombea sana kikombe hiki na kikupite!
 
Msukuma ana shida.... yaani hana la kumsema el.... anatafuta kukubalika ndani ya ccm asionekane msaliti....eti Sumaye awe waziri mkuu... kwa katiba ipi....
Umeonaa? Ccm ni wamechanyikiwa hawana pakushika miti yote inateleza
 
Sumaye waziri mkuu tena aaaaargh jamani. Tanzania yangu mbona hivyo? Mpiga madili Mbowe form 6 failure ndiyo waziri wa fedha? Poor Tanzania! Nakuombea sana kikombe hiki na kikupite!

Tumia akili yako kidogo kufanya utafiti , Sumaye atawezaje kuwa Waziri Mkuu kwa katiba iliyopo?
 

kwakuwa na wewe mlikuwa mkizunguka wote,na ww alikuahidi nini
 
​Usaliti ni kitu kibaya wewe Msukuma nilikusikia ukitamka Dodoma kuwa akikatwa patachimbika leo ni wewe wa kutuambia siri za Lawasa hakika usaliti ni kitu kibaya sana na nina hakika jibu lako utalipata hapahapa duniani!!
 
Lowasa ndiye.......

Huyo msukuma akajambe tu alale na ubunge atauskia kwenye bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…