Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?
Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.
Source Nipashe
Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.
Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.
Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais
My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
Kikwete SI dikteta hata kidogo!
Tatizo la Kikwete ni indecision; he is undecisive.
na managemet ya watu ni decision-making,
acurate, timely, decision-making.
Unapewa sources of intelligence kukuwezesha kuamua
at the snap of a finger.
He is undecisive. Why?
na hili ndilo limeharibu sifa yake.
na nina hakika ataingia katika historia ya Tanzania
vibaya kwa sababu hii tu!
management = acureate, timely, decision making
bad(inaccurate, late) decision making = bad management
Futa kabisa neno dictatorship. Ungesema he is too soft, labda hapo...
Source Nipashe
Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.
Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.
Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais
My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
Source Nipashe
Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.
Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.
Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais
My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
Source Nipashe
Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.
Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.
Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais
My take
Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
Nawashangaa wanaoshindwa mpaka sasa kuelewa kuwa hizo ripoti zote zilizotumika ni mazao na ubunifu wa Kikwete. Kabla ya Kikwete hatujaona ripoti za CAG zikijadiliwa bungeni, isitoshe, ripoti za CAG zilikuwa zinaletwa miaka mitano baadae. Jitihada binafsi za Kikwete ndio leo hii tunaona ripoti zinaletwa baada ya mwaka tu na pia tunaona zinaweza kujadiliwa bungeni na kuzaa haya matunda ya kufichuwa madudu.
Leo huyo huyo aliyeleta yoote hayo kuna wachache wanaweza kunyanyua midomo wakamshutumu?. Hivi alipoamua kuyafanya hayo alikuwa hajui kuwa kuna watendaji wabovu? alikuwa anajuwa sana lakini Kikwete si mtu wa papara ni mtu anaefata sheria na haki na huwacha sheria ifate mkondo kwa ubunifu mdogo tu.
Kikwete anastahili kila sifa kwa hili, labda ni mapunguani wachache wasiokuwa na fikra ndio leo hii wamesahau kuwa Kikwete ndiye aliyeyaleta haya mabadiliko na sheria mpya ya CAG mwaka 2008.
Sasa kazi ni kwenu, kila mwenye macho haambiwi tazama, ni wakati muafaka sasa, polisi akamate mwizi, mwanasheria mkuu afunguwe kesi akishindwa awajibike na vyama vya upinzani wakishindwa kufunguwa kesi basi na wao wawajibike, vyama vya upinzani vina kila nyenzo za kufunguwa kesi mahakamani za kuanzia wizi mpaka ubadhirifu kwa wahusika na CAG anabaki kuwa shahidi mkuu.
Kama hamjui namna ya kufunguwa kesi muulizeni Mtikila.
Wacheni kelele, Kikwete kawaonesha njia, sasa ni wajibu wenu kuifata na si kukaa kumlaumu aliyewaletea yote hayo. Ukisikia shukurani ya punda ndio hii.
Faiza Foxy on duty
Sijaona koments zako kwenye kila thread za JK Mchina.. najua unakipenda chama (GAMBA) lakini soon as Mungu atakipenda zaidi..Na ukiona gharama za matibabu zinaongezeka ujue ni dalili tosha Mungu anataka kuonyesha upendo wake...Mie mbona naenda kwenye thread zote tu wewe nitafute utanipata au takuwa naku-tag
ni kweli,hata ukirudia mara mia moja,kwa ukilaza wa kimagamba ulionao huwezi kuiona hiyo siri
Inamaana hujui kama baba yako ni Dicteta, embu mwulize mama atakwambia vizuri tuHivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?

Source please