utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
...Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Naona mmerukwa hatua 800.Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano,upumbavu wake hautamtokaZitto anasema
"matendo ya mtu mmoja yasiguzwe taasisi"
Na kwa emotions nyingi sana...big up Mr Zitto must be singing this
Motherland cradle meClose my eyesLullaby me to sleepKeep me safeLie with meStay beside meDon't go, don't you go
Mara nyingi sana hapa jukwaani ben amekuwa akimsakama zitto kwa tuhuma za kuhujumu chama lakini zitto kwa busara zake hataki kabisa kulumbana na ben.. Hii ndio sifa ya kiongozi na tofauti kubwa iliyopo kati ya zitto na ben