...Sidhani kama CCM wamewahi mhofia Zitto. Bali hilo husemwa sana na CCM wenyewe (ZeMacopolo, Ritz nk) ili kumpa kichwa Zitto aikoroge CDM
Matendo ya Lwakatare yasifanywe ni malengo ya taasisi.
Namwamini Zitto juu ya hili. Hakuna hata picha moja inayoonyesha Saanane amewahi kukutana na Zitto.
Mwambampa na Shonza pia waliandika Saanane alitaka kukutana na Zitto ila Zitto alikwepa.
Kwahayo nafikiri Zitto hajawahi kuonana uso kwa uso na Saanane.
Kikwete ndio kwanza ana 6% ya ahadi zake leo ni mwaka wa nane....je huyu utamwitaje???Ben: 'Nimeshawahi kuonana na Zitto'
Zitto: 'Sijawahi kuonana na Ben'
Integrity: Sifa kuu ya kiongozi
Ukweli ndio msingi wa uaminifu kwa kiongozi. Kiongozi ni Yule anayesema ukweli siku zote na sehemu yoyote.
Nimegundua kitu kimoja ndani ya CHADEMA: Baadhi ya viongozi si wa kweli.
Ni nani mkweli kati ya Zitto na Ben Saanane?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?
Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?
Ikiwa mmeanza
kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Hapana mkuu,nimeitumia kauli ile kama changamoto,kwasababu kuna wanaotaka kuihusisha tape ya Lwakatare na taasisi ya chadema.Mkuu wangu JMUsh1 hebu acha kuchochea kuni mbichi, Zitto azoeleke kwa mkanganyo wa kauli zake kwani ndiyo njia aliyoichagua yeye, Sisi tumpongoze kwa mema aliyoyafanya kama hili la kutoa tamko na mengine tubakishe ya kesho kwani naona vijana wa lumumba wapo stand by kueneza fitina na propaganda ili mladi kukifitinisha chama chetu CHADEMA ambacho ndicho mkombozi wetu.
Mkuu nimekupata pamoja na kwamba una muhukumu Ludovick mapema kwa sababu ukiangalia mashitaka mahakamani, wote wana mashitaka sawa lakini wanasheria wanaowatetea ni tofauti isipokuwa moja tu ndilo tofauti na mengine, halafu lina muhusu Lwakatare. Hata hivyo mpaka pale kesi itakapoanza kusikilizwa, ndiyo tutafahamu zaidi.
Kikwete ndio kwanza ana 6% ya ahadi zake leo ni mwaka wa nane....je huyu utamwitaje???
Ben: 'Nimeshawahi kuonana na Zitto'
Zitto: 'Sijawahi kuonana na Ben'
Integrity: Sifa kuu ya kiongozi
Ukweli ndio msingi wa uaminifu kwa kiongozi. Kiongozi ni Yule anayesema ukweli siku zote na sehemu yoyote.
Nimegundua kitu kimoja ndani ya CHADEMA: Baadhi ya viongozi si wa kweli.
Ni nani mkweli kati ya Zitto na Ben Saanane?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?
Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Kwa vile wote hawawezi kuwa wakweli, what is the future of politics in our country and CHADEMA in particular?
Ikiwa mmeanza kuwa waongo ndani ya chama chenu, mtakuwa wakweli kwa taifa?
Vizuri sana Zitto kwa ufafanuzi mzuri.Gazeti la Mtanzania siku hizi limekuwa kama gagulo la kuandika uchochezi,chuki,fitina,majungu na uzandiki dhidi ya Chadema hasa likimuandama Dr Slaa.
Sijui kwanini Hussein Bashe anaruhusu gazeti hili kuandika upuuzi kama huu.
Again Thankyou Zitto you have made my day.
Hata hivyo aliwahi kusema pia atakayemuuwa huko alikotoka hakutabaki hata panya.
Ndo siasa za wanasiasa...
However sisiti kumpongeza Zitto kwa kuwakemea masalia.
Ushahidi upo mwingi sana ila ukiwa na complex mind huwezi kuuona.Sidhani kama zitto alishawahi kutaka kuivuruga chadema,nadhani ni mpishano wa mitizamo tu ambao unaweza ukatafriwa vibaya na simple minds...
Wewe unaweza ukawa zaidi ya muongo. How did you calculate your 6%, I thought it is 0%?
Halafu turudi hapa:
Viongozi wa CHADEMA si wa kweli?
Kama Zitto ni mkweli Ben Saanane lazima awe muongo.
Kama hivyo ndivyo: CHADEMA inawambia nini watanzania ili tuwaamini?
Hapana mkuu,nimeitumia kauli ile kama changamoto,kwasababu kuna wanaotaka kuihusisha tape ya Lwakatare na taasisi ya chadema.
No ill-intentions...