Siri ya kutoogopa kifo

Siri ya kutoogopa kifo

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,033
Habari wadau!
Kuna watu wengi ukiwaambia kuhusu kifo wanaogopa sana, wakati kuitoogopa kifo ni rahisi sana.

  1. Siri namba moja ya kutoogopa kifo ni, kutoogopa kufa.
  2. Siri namba mbili ni, kuishi kama utakufa leo au wakati wowote. Kumbuka kwa wakristo tunaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
Ujumbe wangu leo ni mfupi sana, kukutia moyo usiogope kifo.

TUKUTANE KILELENI.
 
Lakini kwanini wa kurisutu wanaogopa kifo kuliko wenzetu waislamu? Hata kwenye ibaada za mazishi wakuristu tuna mbwebwe nyingi zakuoogopesha waumini kifo, ukilinganisha na waislamu ambao wanahimiza waumini wao kwamba kufa ni wakati wowote na popote ulipo na uwe tayari kukutana na mola wako
 
Habari wadau!
Kuna watu wengi ukiwaambia kuhusu kifo wanaogopa sana, wakati kuitoogopa kifo ni rahisi sana.

  1. Siri namba moja ya kutoogopa kifo ni, kutoogopa kufa.
  2. Siri namba mbili ni, kuishi kama utakufa leo au wakati wowote. Kumbuka kwa wakristo tunaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
Ujumbe wangu leo ni mfupi sana, kukutia moyo usiogope kifo.

TUKUTANE KILELENI.
Wakristo mnaamini kila nafsi itaonja mauti? Umedanganya hapo labda ni imani yako binafsi
 
Mimi mmojawapo naogopa kifo mnooo, Mungu wangu naomba unipe mwisho mwema [emoji120][emoji120]
 
Habari wadau!
Kuna watu wengi ukiwaambia kuhusu kifo wanaogopa sana, wakati kuitoogopa kifo ni rahisi sana.

  1. Siri namba moja ya kutoogopa kifo ni, kutoogopa kufa.
  2. Siri namba mbili ni, kuishi kama utakufa leo au wakati wowote. Kumbuka kwa wakristo tunaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti.
Ujumbe wangu leo ni mfupi sana, kukutia moyo usiogope kifo.

TUKUTANE KILELENI.
Correction:Sidhani kama wakristo wanaamini kila nafsi itaonja umauti. Sijaona sehemu imeandikwa hiyo
 
Namba moja huwa naisimamia ipasavyo ila kuna wakati nawaza mno hasa nitakaowaacha nitawaachaje?
 
Wakristo mnaamini kila nafsi itaonja mauti? Umedanganya hapo labda ni imani yako binafsi
Ni kweli Nimekosea.
Ila Zab. 89:48 Inasema, "Ni mwanaume gani atakayeishi asione mauti,
Atakayejiokoa nafsi yake na mkono wa kuzimu?
 
Mimi mmojawapo naogopa kifo mnooo,
Usiogope Shunie.
Mungu wangu naomba unipe mwisho mwema
emoji120.png
emoji120.png
Mungu akufanyie kama ulivyo muomba 🙏🙏
 
Back
Top Bottom