Siri ya kumridhisha mpenzi wako ni Acai berry .

Hili ni tunda nafikiri alilokula Adam .naongelea tunda Usije ukanunua juice.ukila tunda hili kweli utagundua power of mchochomeo .100 percent mwanaume utamridhisha hato angalia kulia wala kushoto.mshahara wote atakukabidhi

mwaJ leo sijamuelewa
Natalia unaonaje zile dollar utununulie sie wanawake wenzio wa humu hizo sijui acai zitusaidie
mie najitolea kuwa mgawaji kwa msaada wa Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Mie nilimuuliza kama hayo matunda yanapatikana bongo hakunijibu. Itabidi atume mzigo.

af wewe na King'asti mnapenda sana kutembelea nyota yangu!haya matunda mtu fudenge alishaniambia mi ataniletea na tulishakubaliana kuwa atanitumia ya mwaka mzima!ameniambia huwa yanadumu sana! chezeya ACAI BERRY weye!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah nimepitwa ,ila akiwatumieni msinisahau kwenye ugawaji
af wewe na King'asti mnapenda sana kutembelea nyota yangu!haya matunda mtu fudenge alishaniambia mi ataniletea na tulishakubaliana kuwa atanitumia ya mwaka mzima!ameniambia huwa yanadumu sana! chezeya ACAI BERRY weye!
 
Last edited by a moderator:
af wewe na King'asti mnapenda sana kutembelea nyota yangu!haya matunda mtu fudenge alishaniambia mi ataniletea na tulishakubaliana kuwa atanitumia ya mwaka mzima!ameniambia huwa yanadumu sana! chezeya ACAI BERRY weye!

Kama alishakuahidi kukutumia mie sina neno. Usinisahau tu kwenye mgao. Ila best naomba unifafanulie "power of mchochomeo" maana yake nini?
 
with natalia nimejifunza kuelewa kila kitu hata nisichokielewa!mi twende tu!manake nilipojaribu kumwelewa nilianza kutokujielewa mimi kwanini simwelewi natalia!
 
Back
Top Bottom