Siri ya kumridhisha mpenzi wako ni Acai berry .

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,879
Hili ni tunda nafikiri alilokula Adam .naongelea tunda Usije ukanunua juice.ukila tunda hili kweli utagundua power of mchochomeo .100 percent mwanaume utamridhisha hato angalia kulia wala kushoto.mshahara wote atakukabidhi
 
Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,906
1,338
Unaweza kuwa more specific?Maana sijakuelewa bado nini una try kusema hapo....
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
Sijui ni kwa mujibu wa maandiko ya dini gani inasemwa kuwa kosa la Adam lilikua ni ngono.
"
Jamani kwanini tusioneshe heshima angalau hata kidogo kwenye vitabu vyetu vitakatifu?
"
Hata kama huamini katika dini ni vyema ukajifunza kuheshimu vya wenzio.
"
Inaelezwa wazi kuwa Adam alikula tunda kama tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
"
Sasa kama ni ngono,inahusiana vipi na ujuzi wa mema na mabaya?
"
Pia,Mungu aliwaambia "Mzaane mkaijaze nchi".
"
Kama alizuia ngono,wangezaana vipi?
"
Ni vyema tukajifunza tusichokijua ili tuepuke upotoshaji!
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,936
5,972
Napita tu... Sijaelewa chochote, sasa sina uhakika kama dunia imenipitia kushoto au mtoa mada ndo alikuwa ametoka kuamka!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
punainen-red

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,731
446
Sijui ni kwa mujibu wa maandiko ya dini gani inasemwa kuwa kosa la Adam lilikua ni ngono.
"
Jamani kwanini tusioneshe heshima angalau hata kidogo kwenye vitabu vyetu vitakatifu?
"
Hata kama huamini katika dini ni vyema ukajifunza kuheshimu vya wenzio.
"
Inaelezwa wazi kuwa Adam alikula tunda kama tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
"
Sasa kama ni ngono,inahusiana vipi na ujuzi wa mema na mabaya?
"
Pia,Mungu aliwaambia "Mzaane mkaijaze nchi".
"
Kama alizuia ngono,wangezaana vipi?
"
Ni vyema tukajifunza tusichokijua ili tuepuke upotoshaji!
Mkuu Eiyer, umenisababisha niwaze sana... Hebu nisaidie, hivi yule kiumbe aliyetumika kumdanganga Eva alikuwa na umbo gani na alikuwa anatembeaje kabla ya kuadhibiwa kutembea kwa tumbo?!
 
mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
2,939
ahahahhahahhahhahahhaha haya haya weale wanaoendelea na darasa la mwalimu natalia
kuna topic mupya mupya mujhini hapa
CC kwa King'asti, Ciello mwaJ, cacico MKATA KIU, Kongosho watu8, @FP Ruttashobolwa, naomba nimwalike Mtambuzi akitoka hapa aniandalie uzi!

Leo teacher ndio kaniacha solemba kabisaaaaa! Ha ha ha haa haaaaaa! snowhite usije ukajisifia kuwa umeshasikia yote toka kwa Natalia! Utashangaa! Hivi mtu anajisikiaje "mchochomeo"? Ha ha ha ha haa ha haaaa!

Natalia naomba kujua kama hilo tunda linapatikana bongo. Kabla mwaka huu haujaisha nataka nifanye practicals zote. Tena nimefungua na maabara kabisa. amu upo? Lol!
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,771
23,037
BADILI TABIA ukiona huelewi "the power of mchochomeo" we kumbuka tu unatakiwa ununue tunda sio juice. Yaani hapo lengo ni kufanikiwa kukabidhiwa mshahara wote! Ila somo la leo hata kipanga atapata below average. Lol!

mwaJ hiki somo gumu sana......

Kwanza mchochomeo sijui ni kitu gani, au ndo dudu?

Halafu ina maana siku zingine mwanaume haridhiki hadi ule tunda?

Walahi hili somo mie nishafeli

Last edited by a moderator:

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
Mkuu Eiyer, umenisababisha niwaze sana... Hebu nisaidie, hivi yule kiumbe aliyetumika kumdanganga Eva alikuwa na umbo gani na alikuwa anatembeaje kabla ya kuadhibiwa kutembea kwa tumbo?!

Jibu ni rahisi,kama aliadhibiwa kutembea kwa tumbo inamaana alikua na miguu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom