Siri ya kuchomwa Tawi la CCM na kuchora Nyumba X Pemba yafichuka

Mtambwe

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
758
926
MI NILIJUA TU MAZOMBI PEMBA WATAAMBULIA ZIRO KATIKA SIFURI.

HAYA SIRI SI SIRI TENA.

...
Siri imefichuka...

Wiki iliyopita mazombi wamepelekwa pemba kufanya hujuma, ila walipofika kule ikaamuliwa watumie mbinu tofauti, kwa kushirikiana na CCM wakapita usiku na kuweka X nyumba za CCM mkoani ili wapate sababu ya kupiga kutesa na kuwafunga vijana wa CUF

Bahati nzuri habari za kutiwa X nyumba zikaenea kupitia ZBC na social media, na kwa vile wenyeji wa lilipotokea jambo hilo huishi kwa pamoja na kusaidiana, wapenzi wa CUF wameamua kukaa pamoja na kutaka kusoma halbadiri ya yoyote yule aliekuja usiku na kuweka X katika nyumba za CCM lazima ajulikane kwa kunuilia na kusoma kisomo na dua ya maapizo

Vijana wa CCM waliposikia hivyo wametoa Siri na kusema kuwa ni wao wenyewe ndio waliofanya kazi hiyo ya kutia X nyumba zao usiku ili ionekane kuwa ni mpango wa wana CUF kupinga uchaguzi wa marudio
 
Mmh hizi siasa za maji taka had karne hii ya 21 yafaa tuondokane nazo. Maridhiano toka pande zote ndiyo silaha ya amani na utulivu kwa mstakabali wa nchi yetu
 
bahati yao. tutawabadili jinsi zao wapumbavu kabisa hao. wanawake wangekuwa wanaume na kinyume chake ni kweli.
 
Mmh hizi siasa za maji taka had karne hii ya 21 yafaa tuondokane nazo. Maridhiano toka pande zote ndiyo silaha ya amani na utulivu kwa mstakabali wa nchi yetu
Mkuu Zanzibar kuna shida sana ila wale wa uroho wa madaraka wanajificha jangwani kama hawaoni
 
MI NILIJUA TU MAZOMBI PEMBA WATAAMBULIA ZIRO KATIKA SEFURI!!!

HAYA SIRI SI SIRI TENA!!!

...
Siri imefichuka...

Wiki iliyopita mazombi wamepelekwa pemba kufanya hujuma, ila walipofika kule ikaamuliwa watumie mbinu tofauti, kwa kushirikiana na ccm wakapita usiku na kuweka X nyumba za ccm mkoani ili wapate sababu ya kupiga kutesa na kuwafunga vijana wa cuf

Bahati nzuri habari za kutiwa X nyumba zikaenea kupitia ZBC na socisl media, na kwa vile wenyeji wa lilipotokea jambo hilo huishi kwa pamoja na kusaidiana, wapenzi wa cuf wameamua kukaa pamoja na kutaka kusoma halbadiri ya yoyote yule aliekuja usiku na kuweka X katika nyumba za ccm lazima ajulikane kwa kunuilia na kusoma kisomo na dua ya maapizo

Vijana wa ccm waliposikia hivyo wametoa Siri na kusema kuwa ni wao wenyewe ndio waliofanya kazi hiyo ya kutia X nyumba zao usiku ili ionekane kuwa ni mpango wa wana cuf kupinga uchaguzi wa marudio

Wewe wacha kuleta habari za uwongo kutoka mzalendo.net ambayo inajulikana wazi ni website ya CUF hiyo habari aliyeiandika mzalendo kuna dada anaitwa ZAMKO na yeye hayupo Zanzibar bali ni mkimbizi wa kiburundi na yuko Holland na anajulikana wazi kabisa kwa kuandika mzalendo zile habari za ubaguzi na chuki za wazi kwa watu wa unguja kwani habari zake zote ni upemba na uarabu.. sasa umetuletea habari hii hapa unafikiria hatutoijua. kwa hivyo nakuomba moderator hii habari iondoshe kwani haina ukweli wowote na imetetwa just kueneza chuki kwa watu wa unguja ambalo siyo kweli...
 
Kwa kweli ccm sasa wameishiwa mbinu,sasa wasubiri ifutike kabisa
 
Wewe wacha kuleta habari za uwongo kutoka mzalendo.net ambayo inajulikana wazi ni website ya CUF hiyo habari aliyeiandika mzalendo kuna dada anaitwa ZAMKO na yeye hayupo Zanzibar bali ni mkimbizi wa kiburundi na yuko Holland na anajulikana wazi kabisa kwa kuandika mzalendo zile habari za ubaguzi na chuki za wazi kwa watu wa unguja kwani habari zake zote ni upemba na uarabu.. sasa umetuletea habari hii hapa unafikiria hatutoijua. kwa hivyo nakuomba moderator hii habari iondoshe kwani haina ukweli wowote na imetetwa just kueneza chuki kwa watu wa unguja ambalo siyo kweli...
Mkuu mbona unatweta namna hiyo,hiyo chuki mbona ipo kipindi kirefu?wacha kuwa na akili za ki tbc kutunyima habari kwani ni haki yetu kikatiba kupata habari
 
hii ni habari ya kweli.

swissme
 
wito wangu kwa wana cuf , hiyo albadil isomwe tu , hakuna kurudi nyuma .
 
Mkuu mbona unatweta namna hiyo,hiyo chuki mbona ipo kipindi kirefu?wacha kuwa na akili za ki tbc kutunyima habari kwani ni haki yetu kikatiba kupata habari
Nakwambiaje hiyo conspiracy iko mzalendo net kwa Zaidi ya wiki hivi sasa ya kuwa mazombi wamepelekwa Pemba na huyo mtu aliyeandika habari hiyo anaishi Holland.. na kitendo cha kuchomwa tawi la CCM limetokea jana. sasa unganisha mwenyewe dots hapo..huyo jamaa aloileta hapa just ame copy na ku paste from mzalendo net
 
Ingekua Albadiri inabebesha Mimba lingekua jambo jema sana ,unawatia tu Mimba washenzi wa tabia kama hao
 
Nakwambiaje hiyo conspiracy iko mzalendo net kwa Zaidi ya wiki hivi sasa ya kuwa mazombi wamepelekwa Pemba na huyo mtu aliyeandika habari hiyo anaishi Holland.. na kitendo cha kuchomwa tawi la CCM limetokea jana. sasa unganisha mwenyewe dots hapo..huyo jamaa aloileta hapa just ame copy na ku paste from mzalendo net
Kwahiyo tukwamini wewe au tumwamini mleta uzi?hivi hao mazombi hawapo kweli?huo mgogoro haupo huko zenji?
 
Wewe wacha kuleta habari za uwongo kutoka mzalendo.net ambayo inajulikana wazi ni website ya CUF hiyo habari aliyeiandika mzalendo kuna dada anaitwa ZAMKO na yeye hayupo Zanzibar bali ni mkimbizi wa kiburundi na yuko Holland na anajulikana wazi kabisa kwa kuandika mzalendo zile habari za ubaguzi na chuki za wazi kwa watu wa unguja kwani habari zake zote ni upemba na uarabu.. sasa umetuletea habari hii hapa unafikiria hatutoijua. kwa hivyo nakuomba moderator hii habari iondoshe kwani haina ukweli wowote na imetetwa just kueneza chuki kwa watu wa unguja ambalo siyo kweli...
Wito wangu kwa wana cuf , Albadir isomwe haraka sana , ili wahusika wawe wehu tuwatambue , mmojawapo tayari kabainika.
 
hii ni habari ya kweli.

swissme
Nakwambiaje hiyo conspiracy iko mzalendo net kwa Zaidi ya wiki hivi sasa ya kuwa mazombi wamepelekwa Pemba na huyo mtu aliyeandika habari hiyo anaishi Holland.. na kitendo cha kuchomwa tawi la CCM limetokea jana. sasa unganisha mwenyewe dots hapo.. Hiyo habari ni uwongo waliochoma tawi la CCM si mazombi
Na kuna kitu kimoja watu hawafakifahamu au wanakifumbia macho Mratibu wa mazombi na Muanzilishi wake na kamanda wao mkuu Ni Eddy Riamy yeye ndiye aliunda na alikuwa anaratibu hujuma zote zinazofanywa na mazombi na kila mtu anajua hilo.. huyo mzee alikuwa kibaraka wa usalama wa taifa na lakini hivi sasa ni mpigaji propaganda mkubwa sana wa CUF.. sasa tujiulize je bado ana connection na group alilolianzisha au vp na vile vile kuna habari zinatapakaa Zanzibar ya kuwa kuna wanachama wa hili group bado wako loyal kwa eddy riyamy
 
Back
Top Bottom