Siri ya Kuchapiwa hii hapa

Siri ya Kuchapiwa hii hapa

mtoa mada ni vyema ukaelewa kuwa dini ni imani hiyo sababu yako ya kushika amri za mungu ni kwa imani yako ww ndio itafanya mwanamke asitoke nje ya ndio sio sahihi kuna wake wa wachungaji wengi na watu wengi wana shika amri za mungu na bado wake zao wanatoka nje ya ndoa.
na kuhusu kuoa mwanamke bikra-nayo haina mashiko na ingekuwa na mashiko basi karibu ndoa zote duniani z ingekuwa zimisha vunjika maana katika watu 1000 wanaoa kwa mwaka basi anayeoa bikra labda ni moja au hakuna kabisa.
 
si kila bikra ukimtoa bikra atatulia mwingine inakuwa kama kuku aliyekatwa kichwa, suala la kutulia ni kimtazamo zaidi.
 
Sijazungumzia wachungaji Mkuu. hapa nazungumzia watu wanoshika amri na maagizo ya Mungu.
Wewe unazungumzia taaluma ya uchungaji. Kuwa mchungaji haimaanishi unashika sheria na amri za Mungu. Hujui Uchungaji ni Taaluma mpaka usomee?

Pia sijazungumzia kuvunjika kwa ndoa, bali mada inasema kuchapiwa. Uwe makini usomapo vitu vyepesi kama hivi. Je ungeandikiwa mada ngumu ungeelewa?
Hivi hujiulizi kwa nini ndoa za siku hizi watu wanalalamika sana, mara ndoa mateso, mara kibamia, mara hanifikishi. Hujiulizi tuu.

Waliooa ndio wanaelewa hii mada zaidi kuliko watu ambao hawajaoa
 
si kila bikra ukimtoa bikra atatulia mwingine inakuwa kama kuku aliyekatwa kichwa, suala la kutulia ni kimtazamo zaidi.

Elimu ndivyo inavyowasaidia vijana wetu kwa namna hii
 
Ni matumizi mabaya ya fikra kudhani kuwa waweza mridhisha mwanamke maisha yake yote, hata kama ni bikira, mwanamke huwa hajui ni nini anahitaji, hata vitabu vitukufu vimesema tuishi nao kwa akili.

NB: Hata walio katika uchangudoa kwa sasa wengi wao walikuwa na bikra, na wengine walitoka kwenye familia zenye heshima sana.

Mwanamke haeleweki, ukijaribu kumridhisha unapoteza muelekeo.
 
Wapi nimesema umridhishe mwanamke?
Mkuu mbona mada ipo wazi lakini unapuyanga tuu.
Nimesema ili usichapiwe kitu cha kwanza, shika amri na maagizo ya Mungu. Cha pili, Oa Bikra.
Sasa sijui hayo maneno umeyatoa wapi.
 
Back
Top Bottom