Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

This is too sad and painful!

Yaani watu wanakwepa kulipa mabilioni ya kodi lakini mtu hasa watumishi wenye mshahara wa Tshs. 500,000 au 1,000,000 kila mwezi analipia/katwa kodi ya kati ya Tshs. 60,000 na 200,000 kila mwezi eti kwa sbb tu hana namna ya kukimbia na kukwepa!!
 
sio kutetea mkuu...kama nilivyosema sie kuna mengi tusiyoyajua....kuna watu walikuwa na dhamana hiyo.
ila kumbuka kuwa yule jamaa aliingia kwa kagoda...kwahyo ilimpasa kuondoa u boyz 2men kumpata magufuli....hawawez kumchafua maguful kwa maana kaingia kwa kura za watz ka utakumbuka mafisadi walienda muunga mwenzao na kuangukia pua
Nikukumbushe tu "Magufuli alichaguliwa kuwa mgombea wa CCM kwa bahati mbaya"

Haikuwa kwenye Calculations zao kabisa kumleta Magufuli na alikua "mtu mdogo mno", CCM walikua wanamuandaa Soft Boi Membe
 
Maisha bora yalikuwa ni kwake
na wapambe wake...
wengi wao wageni (sio RAIA)
Nduli IDD Amin kamzdi ubora.
 
...kama ni kweli basi tunazidi kukusanya ubovu wa utawala ulioondoka TZ...maana ni JK ndie aliwasamehe wezi wa EPA badala ya kuwaadhibu...pia tumeshuhudia mbele ya tv akiwaonea haya wapiga dili wa escrow...tena wengine amewapa vyeo baada ya scandal ya escrow....

....kama tulivyowahi kusema kabla.....ubovu wa utawala wa JK (na JK mwenyewe)utatamalaki pale atakapokuja rais makini TZ....na sasa tunaona...mengi yatafichuliwa....maana sasa kila mambo ya hovyo yanayofichuliwa yanaunganishwa na utawala ulioondoka....hawasemwi awamu ya kwanza, ya pili au ya tatu bali watasemwa utawala wa nne....maana wamekaa madarakani miaka 10....na kwa muda huo ilitosha wamalize mambo yote ya hovyo waliyoyakuta(ambayo sidhani kama ni mengi kama ya utawala wa awamu ya nne)......

Ni kweli nderingosha, miaka yote 10??????????????? kwellia kuna wliokula balaa wakiongozwa na mkwere, inabidi watapishwe ila wengine wajua kuna nyakati na nyakati. Uko wap aisee nkugee fegi!!!!!!!!
 
Kama Kikwete alikuwa hafai kwa nini wana CCM walikuwa wanampamba kwa nyimbo kama vile ni malaika aliyekuwa ametumwa kukomboa Tanzania.

1. Mostly ccm niwanafiki type ya
-Bulembo
-Nape
-Mangula
-kinana
nk

2. Most of ccn hawajitambuwi

-Bungen kila ujinga ukiletwa under ccm utayasikia yakiitikia diyooooo bila haya wala aibu

-Mikowan na wilayan ni uchizi na ushenzi kusifiana tuu bila weledi wala utendaji akina mwantum mahiza, magesa mulongo nk

3. Wachache waadilifu wakichomoza walikuwa wanashughulikiwa
-Kolimba
-Imlan kombe
-Mrema
-prof Mwandosya
-Aboud Jumbe
-Dr Mgimwa
nk

kifupi mwanasisiem kazi yake kuitikia ndiyoooo nakusifia kama

lusinde
nkamia
umi mwalim
nkumba
kawambwa nk

Ukipinga umekwisha


Sasa Maguful anafulkuta kuondoa unafiki wakupongezana kishenzi .....mtu anaharibu mfano kawambwa kwenye Elimu, ameharibuuu bado akawa anasifiwa tuuuuuu ushenzi kabisa.

Tumuombe Mungu amlinde bwana Pombe aitokomeze kasumba ya kishenzi mioyon mwa ccm kupeana sifa za kinafiki nchi/taifa likiteketea.
 
Mnanikumbusha wakati mkapa anaingia madarakani Mwinyi alichafuliwa hadi kunuka ... Mkapa alipotoka madarakani ikawa kimya huku akiwa ameuza nchi !!! Leo ametoka Kikwete Madarakani lazima anuke .... Chezea Roman Empire wewe ...
 
Ni aibu ya mwaka!!
Inapoteza Imani ya wananchi kwa watawala waliokuwepo.
Ingewezakanaje madudu haya?
 
Mnanikumbusha wakati mkapa anaingia madarakani Mwinyi alichafuliwa hadi kunuka ... Mkapa alipotoka madarakani ikawa kimya huku akiwa ameuza nchi !!! Leo ametoka Kikwete Madarakani lazima anuke .... Chezea Roman Empire wewe ...

-mkwere ameshusha ubora wa elimu kiasi kwamba nibora liende hii sio siri

-mkwere ameshusha na kuharibu kabisa huduma za afya na matibabu ( yeye kende likampeleka usa je baba,babu na kaka zetu wangapi wamekufa Kwa makende?)

-mkwere ndo kama hivo watu wamejizolea kodi zetu, wamekwepa kulipa nk

-mkwere kama vasco da gama. Amesafiri zaidi ya 500 times nje ya nchi.... kwa wastan wa siku nne, 500 x 4 = siku 2000

Mwaka unasiku 365.25 au 366 kwa makisio

2000?365= miaka 5 yupo safarin

Nusu ya utawala wa mkwere hewan kama popo kwenye nchi za wenzake....very interesting.

Huyu ni bonge la mtalii mzuri kuliko Mbulamatali(Henry stainley) na ni zaid ya dr Living stone
 
Hivi kwanini Rais Magufuli asiwasilishe muswada wa kuiondoa kinga ya Rais ktk bunge lijalo ili huyu Mkwere akaviseme hivyo jembe vyake kule mahakamani?
 
angezurula saa ngapi?......vitu vingine huwa havihitaji hata sekunde moja ya mjadala.
 
JK alikuwa busy na Wakuu wa wilaya mademu wenye ma.kalio mazuri.. na kuponda raha sanaaaaa.. kila siku alikuwa Ulaya, U.S.A, Austarlia, Dubai, China... yuko hewani tu...!!

👉🚶🚶🚶
 
Huwa namkumbuka sana Prof Lipumba pamoja na mapungufu yake kama binadamu hasa hapa karibuni, wakati wa kampeni 2005 alikuwa anasema, 'tatizo wa TZ wengi hawamjui Kikwete, Tanzania haiwezi kusonga mbele kwa lolote Kikwete akiwa Rais, ni mtu wa MIZAHA/MZAHA zaidi'.
Mkuu huyu prof hata mie nilihudhuria mkutano wake mmoja 2005 alikua akimchana mkwere live kuwa kama tunataka Rais mcheza disco na mambo kibao ya ajabu basi tumchague, ajabu Wadanyika wakafanya yao hv ss wanamlaumu.Kuna watu wenye akili zao waliliona mapema. NASHUKURU SIJAWAHI NA SINTAWAHI KUMPIGIA KURA MWANA CCM YOYOTE.
 
wachaga ndio zaid wanamchukia kikwet nani anabisha?fanya utafiti hata kwa wachaga watano tu
 
Back
Top Bottom