yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,905
Lambalamba walikuwa wakiambiwa humu kuwa JK ni msanii wanatoka mapovu!
Bora msanii ana akili alikuwa. .......
Lambalamba walikuwa wakiambiwa humu kuwa JK ni msanii wanatoka mapovu!
Ndio maana huwa nawaita CCM misukule......wanafanya wasiyoyataka,ili mradi bwana mkubwa afurahi.Kama Kikwete alikuwa hafai kwa nini wana CCM walikuwa wanampamba kwa nyimbo kama vile ni malaika aliyekuwa ametumwa kukomboa Tanzania.
Mawazo kama haya ni balaa......hata wasio Roman wenye imani kama yako wanaona kabisa Tanzania ilikuwa inadidimia chini ya huyo unayejaribu kumtetea, pole kama umeguswa na speed ya Magufuli ila ndio hakuna jinsi.......hapa hatujali uroma wala nini, cha msingi Nchi inyooke.Mnanikumbusha wakati mkapa anaingia madarakani Mwinyi alichafuliwa hadi kunuka ... Mkapa alipotoka madarakani ikawa kimya huku akiwa ameuza nchi !!! Leo ametoka Kikwete Madarakani lazima anuke .... Chezea Roman Empire wewe ...
Nikukumbushe tu "Magufuli alichaguliwa kuwa mgombea wa CCM kwa bahati mbaya"
Haikuwa kwenye Calculations zao kabisa kumleta Magufuli na alikua "mtu mdogo mno", CCM walikua wanamuandaa Soft Boi Membe