Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

Siri ya Kikwete TRA yaanikwa

wanasubiri aondoke ndio wanze kutupiana mpira, ni sawa na kuanza kumlaumu marehemu,
 
Ndio maana jana alikuwa bizi na kujiongelea nilijua atayaona mengi leo amechokonoa tumjue au alifikiri ataogopwa

Kazi ipo
 
Huyu jamaa haeleweki, mi nafikiri tuachane nae maana hata tukimtafuta kwa sasa katiba hahiruhusu, we are wasting our time, let us move forward for our future generations! tukizubaa wazungu watamaliza madini yetu.
 
"Wengine wanasema JK hachomoi, kwani nilichomeka nini? Wamebaki kuzoza tu"- JK
 
Hata mm ananiboa kwa mizaha huyu jamaa. Mfano jana alipokuwa akiongea baada ya usafi akasema "kuna waandishi wanasema hapa JK hachomoi....kwani nimechomeka mini??"
Mambo ya kiswahili kwenye issue serious. Waandishi walitaka kujua kama amewahi kutoa makontena pale bandarini kwa vimemo ama kumsaidia mfanyabiashara yeyote kukwepa kodi akaanza kuchekacheka na kufanya mizaha kama hiyo.
Nchi yetu hakika ilikuwa kwenye likizo ya kiuongozi.

IQ yake ilivyo JK yeye anaona poa tu.
Level na uwezo wake kiakili ndiyo ilivyo but tumsamehe tu na tusonge mbele kwa umakini
 
Kama Kikwete alikuwa hafai kwa nini wana CCM walikuwa wanampamba kwa nyimbo kama vile ni malaika aliyekuwa ametumwa kukomboa Tanzania.
 
Jana nilisema jk angetulia aachane na vyombo vya habari,amekanusha sasa leo wamempa makavu,angetulia japo alinde kile kiheshima kidogo kilichobaki,
 
Bavicha mtahangaika sana na jk hadi mtachoka, naona mnapoza uchungu wa kushindwa lile kupe lenu, jp will never do anything to jk jisumbueni tu
 
Kikwete ni bure bure kabisa, ni kiongozi aliyekuwa hapendi taifa la tanzania na ni dhaifu of all time in the history of Tanzania. Kwa sasa angelikaa kimya aache kuingilia magufuli kwa kazi iliyomshinda, aache issue zake za kwanza uchunguzi ufanyanyike then sijui ujiridhishe ndo mtu achukuliwe hatua, huu ni upotezaji muda, report ikiwepo wezi wote wakamatwe na wakajitetete mahakamani kule, kwa nini umpatie muda fisadi wa kupanga mashambulizi na hatimae kutoweka nchini? .
 
sio kutetea mkuu...kama nilivyosema sie kuna mengi tusiyoyajua....kuna watu walikuwa na dhamana hiyo.
ila kumbuka kuwa yule jamaa aliingia kwa kagoda...kwahyo ilimpasa kuondoa u boyz 2men kumpata magufuli....hawawez kumchafua maguful kwa maana kaingia kwa kura za watz ka utakumbuka mafisadi walienda muunga mwenzao na kuangukia pua
Umesahau ESCROW wewe acha hizo. Huwezi kumtofautisha Rais aliye madarakani na Ukwepaji kodi au ufisadi. Tunyamaze tu tusichimbue makaburi ili inchi (kama asemavyo mzee wa kiraracha) yetu isonge mbele maana hata tukikamatana uchawi fedha haitarudi. Kunyamaza ni dawa na uking'atuka ng'atuka kweli pumzika achana na vyombo vya habari!!!!!!
 
Yeye mipasho tu kwa sana.... jana sikuona umuhim wa kushambulia wapinzani kuhusu ukwepaji wa kodi kana kwamba watz wengine hawana macho na masikio.....
 
Huwa namkumbuka sana Prof Lipumba pamoja na mapungufu yake kama binadamu hasa hapa karibuni, wakati wa kampeni 2005 alikuwa anasema, 'tatizo wa TZ wengi hawamjui Kikwete, Tanzania haiwezi kusonga mbele kwa lolote Kikwete akiwa Rais, ni mtu wa MIZAHA/MZAHA zaidi'.
 
...kama ni kweli basi tunazidi kukusanya ubovu wa utawala ulioondoka TZ...maana ni JK ndie aliwasamehe wezi wa EPA badala ya kuwaadhibu...pia tumeshuhudia mbele ya tv akiwaonea haya wapiga dili wa escrow...tena wengine amewapa vyeo baada ya scandal ya escrow....

....kama tulivyowahi kusema kabla.....ubovu wa utawala wa JK (na JK mwenyewe)utatamalaki pale atakapokuja rais makini TZ....na sasa tunaona...mengi yatafichuliwa....maana sasa kila mambo ya hovyo yanayofichuliwa yanaunganishwa na utawala ulioondoka....hawasemwi awamu ya kwanza, ya pili au ya tatu bali watasemwa utawala wa nne....maana wamekaa madarakani miaka 10....na kwa muda huo ilitosha wamalize mambo yote ya hovyo waliyoyakuta(ambayo sidhani kama ni mengi kama ya utawala wa awamu ya nne)......
 
Lambalamba walikuwa wakiambiwa humu kuwa JK ni msanii wanatoka mapovu!

TENAKIKUNDI CHAKE CHA SANAA KITAKUAKIMENUFAIKA SANA, miaka 10??????? kweli KATIBA SI MSAAFU WALA BIBLIA, ni muda muafaka wa kuibadili sasa ili ikibidi warudishe japo kiasi cha walichoiba. Stimu imekata gafla, naomba japo jero ya kiroba best.
 
Back
Top Bottom