Kila mtu na fact yake.Nilisikia hilo jina la JOTI limetokana na Kikombe cha kahawa,
kikombe cha kahawa kinaitwa JOTI , so kutokana na ufupi wa Lucas, watu wakawa wanamuita ni mfupi kama kikombe cha kahawa (JOTI)
Ukweli anaujua mwenyeweKila mtu na fact yake.
Ni kweli.Ukweli anaujua mwenyewe