Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 597
Duh
Noma sana!Wame maliza ibada zao ni utelezaji tu
Waislam na ushirikina![]()
uzi ulienda hadi season ya mwishoKuna Uzi Mmoja hapa, naona umefutwa ule ndio ulikuwa unaeleza kila kitu kwa uwazi kabisa! nadhani baadhi ya wafanyabiashara wamempa rushwa mtoa post asiendelee na uzi ule! na baada ya Siku chache tu ukafutwa Ulisomeka ' The Dark side of business'
Tanzanian Dream
Kacheki wazungu na mambo ya Bohemia godKwenye kuamini huo upuuzi ndipo tunapo fail
mm kwangu hukufika mwisho nilipo ishia jamaa alipo enda kwa mganga tena afu madogo zake wakampigia wakasema wameota bro anataka awatoe kafara kwhy ckujua kiliendelea nini?uzi ulienda hadi season ya mwisho