Siri nzito kwa wanaojenga nyumba/vibanda vya biashara

Miezi 2 iliyopita nimeenda kununua Godoro la Dodoma pale mwenge stand ya zaman lakini nyuma ya soko kwa yale maduka yaliyoangalia barabara ya sam nujoma ukitoka pale kwa wauza mbao unasogea mbele kidogo kuna dada Mchaga ana duka na anaishi makongo juu. Anauza ferniture pale mwenge. Nimenunua godoro Dodoma kumbe ile nailoni ya juu na ule mkanda wa pembeni ndo inakua na alama ya godoro dodoma. Nilipofika hm kufungua kumbe nimepigwa changa la macho godoro laini kama sufi na lilishanyeshewa mvua za kutosha limebaki na ramani za kufa mtu. Rafiki yangu mfanyabiashara kulicheki akanambia wala sio godoro la Dodoma ila limechakachuliwa.
Mbona nilichoka na kubaki naililia 180000 yangu kuondoka bwelele.

Bongo ukikalia kuwalalamikia mafisadi wa kwenye siasa unakuwa hujatenda haki. Mfumo mzima wa maisha ya watu umeoza. Kila mtu mwizi sema tumezidiana urefu wa kamba.
 
mmm kwa kweli inasikitisha.....Jamii Forum elimu tosha,.......hadi kwenye mbao.....
 
Aisee hili ckulijua kabisa na najilaumu kutojua mapema naamini kwenye futi walipiga,aisee no way out,ila natamani niende nijifanye nanunua tena ili nilipize hasira zangu,lazima nimng'oe mtu meno we ngojea.
 
heheehhe soko la mbao Buguruni wanamichezo ya hatari sana nasikia kwa jamaa zangu tu.
 
Back
Top Bottom