Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.
ADVICE DON JOKE
Utasutwa kwa umbea