Think Again
Senior Member
- Mar 22, 2015
- 175
- 129
Ndo ushamwambia ivo.
Acha umbeya, utavunja ndoa ya watu bure!!!Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.
ADVICE DON JOKE
Tafuta lain ya simu nyingine kabsaa ambayo haijasajiliwa kwa jina lako then mmwagie ukweli woote hapo, full stop
Apo ndo umefikiria... ila sijui kwann umeileta humu