Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,492
- 8,537
Kama hujaona kiongozi mmoja akitawazwa kuongoza malaika basi jitahidi urudi kwenye hali yako ya utulivu... Bado maono yanaendelea...!!Hapana kwakweli. Kama kuna mtu mwenye utaalamu wa kutafsiri ndoto naomba msaada ndugu.
Usikimbilie conclusion.