Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Ni kukosa akili na maadili mwislam kwenda kuishitaki Tanzania kwa nchi za magharibi!!wanasahau hao hao walifanyia nini Libya ,irak na mataifa mengine!!! halafu mleta maada wewe ni mxhochezi sana !!unaposema muungano uchwara una maanisha nini? huyo mwamerika unaomsujudia kW kumshitaki mwenzio ni wanafiki .wao wanaumoja na muungano qa zaidi ya miaka hamsini hawajawahi kuomba kutengano !!huyo Mwalimu wenu yeye ninkuhubiri tu nikishinda urais nitavunja muungano!!common !!!
 
Alikaa pembeni baada ya figisufigisu za Seif kumkinai hasa alipompokea Lowassa bila kumshirikisha Mwenyekiti wala kikao cho chote cha chama.

Hakujiuzuru kwani utaratibu wa kujiuzuru haukukamilika kwa mjibu wa taratibu, kanuni na sheria husika. Ndiyo maana Msajili kamurudisha. Hukubali nenda mahakamani.
Duh!badili Id yako mkuu,huitendei haki
 
Hizi fikira potofu ya kuzani Amerika, Uingereza na nchi zingine za ulaya ni sovereign zaidi ya nchi za Africa zitatutoka lini? Fikira za kuzani bado tunatawaliwa na wazungu. Mkigombana hata kidogo tu fikira zenu ni kwenda kushitakiana kwa mzungu. Kweli bado kuna waafrika wenye mgando wa akili namna hii? Mbona nchi za Asia na mabara mengine hayana watu wa fikira mgando kama hizi. Tanzania is a sovereign country like the USA, UK or any other European country. Our poverty does not make us less sovereign. In fact we are not poor in all aspects and even them are not rich in all aspects.

Mvurugano wa CUF kausababisha Maalimu Seif kwa kujifanya kuwa yeye ana madaraka makubwa kuliko Mwenyekiti wa chama chake. Yaani Mwenyekiti yuko chini yake. Hii ulishaiona kwenye chama kipi? Yaani Mbowe awe chini ya Mashilingi au Magufuli awe chini ya Kinana? Only in CUF it has existed and the Registra has ordered to stop such an unconstitutional affair. You free to appeal to our High court or you may again go to the wazungu to appeal.

Yaani Seif anamtimua kwenye chama mwenyekiti wake. Na hii si mara yake ya kwanza. Alimtimua Mapalala sasa kwa Lipumba amekwaa kisiki na atatimuliwa yeye hivi karibuni. Yaani just imagine Mashilingi amtimue Mbowe halafu ikubalike? Mrema alipokuwa mwenyekiti wa NCCR alitimuliwa na wakina Mabere, halikukubalika na Mrema aliwageuzia kibao akawatimua wakina Mabere. Huu mfano wa Mrema si sawa kabisa na huu wa Lipumba. Kaeni mkao wa kula.
Naona unakuja na propaganda. Kurudi kwa Lipumba kunahisiana vipi na Sovereignty ya Tanzania kama nchi. Au kuna interference gani na Mataifa ya hao Wazungu zaidi home made problems!?

Lipumba alijiuzulu tena kwa kulitangazia taifa kupitia Mkutano na Vyombo vya Habari. Alitoa sababu zake wengi walimuelewa na wengi hawakumuelewa. But the bottom line alikiacha chama katika wakati mgumu.

Sababu ya kujiuzulu ilikuwa ni Lowasa. Vile vile yeye ndiye aliyeitangazia dunia kukaribishwa kwa Lowasa Ukawa. Seriously, huyu ni Profesa .... he should have known better!!
 
kwa hili 2020 itakuwa hali mbaya sana maana wazee wa magumashi watatumia pesa zao kwa sababu kila kukicha hali mbaya kwao
 
Mbona kwenye bajeti hausemi hivyo wakiwa wanachangia mnashangilia
 
Kwa kuisingizia ccm huku ndio mana upinzani tz haukui.
Tunashindwa ku solve matatizo yetu na njia pekee tunayoiona ni kuibebesha lawama ccm.
Mbona wao wakipata matatizo hawamtupii lawama cdm au CUF?
 
Yote yasemwe......ila Lipumba ni kikwazo cha Lowassa kuprosper
 
Hizi fikira potofu ya kuzani Amerika, Uingereza na nchi zingine za ulaya ni sovereign zaidi ya nchi za Africa zitatutoka lini? Fikira za kuzani bado tunatawaliwa na wazungu. Mkigombana hata kidogo tu fikira zenu ni kwenda kushitakiana kwa mzungu. Kweli bado kuna waafrika wenye mgando wa akili namna hii? Mbona nchi za Asia na mabara mengine hayana watu wa fikira mgando kama hizi. Tanzania is a sovereign country like the USA, UK or any other European country. Our poverty does not make us less sovereign. In fact we are not poor in all aspects and even them are not rich in all aspects.

Mvurugano wa CUF kausababisha Maalimu Seif kwa kujifanya kuwa yeye ana madaraka makubwa kuliko Mwenyekiti wa chama chake. Yaani Mwenyekiti yuko chini yake. Hii ulishaiona kwenye chama kipi? Yaani Mbowe awe chini ya Mashilingi au Magufuli awe chini ya Kinana? Only in CUF it has existed and the Registra has ordered to stop such an unconstitutional affair. You free to appeal to our High court or you may again go to the wazungu to appeal.

Yaani Seif anamtimua kwenye chama mwenyekiti wake. Na hii si mara yake ya kwanza. Alimtimua Mapalala sasa kwa Lipumba amekwaa kisiki na atatimuliwa yeye hivi karibuni. Yaani just imagine Mashilingi amtimue Mbowe halafu ikubalike? Mrema alipokuwa mwenyekiti wa NCCR alitimuliwa na wakina Mabere, halikukubalika na Mrema aliwageuzia kibao akawatimua wakina Mabere. Huu mfano wa Mrema si sawa kabisa na huu wa Lipumba. Kaeni mkao wa kula.
Well said mkuu?
Respect
 
ulitaka tuwaone ni wenzetu wakati wa kuchangia bajeti yetu tu? mdomo huo huo unawakashifu wazungu,mdomo huo huo unabugia misaada yao. mwe!
Katufute vitabu vya bajeti mwaka huu halafu tuambie utegemezi ni asilia ngapi kwa bajeti ya serikali, pia katika hizo hela mmarekani anachangia shilingi ngapi.
 
Kila mtu anayechukia ukoloni wa CCM, anafahamu fika kwamba Lipumba ana ‘issue’ kibindoni tayari alizopangiwa na CCM, anakujanazo ndani ya CUF kwa kuzitekeleza.

(l) Kutaka kuzima au kubabaisha mataifa katika madai yaliyopo juu ya meza ya wazanzibari kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015.

(ll) Atataka kuitambua au niseme atajaribu kusema kwamba uchaguzi wa marudio wa Machi 20 ulistahili kisheria na kikatiba kufanywa, hivyo ulikuwa halali. Atasema, baada ya kutafakari vya kutosha CUF, imebadilisha uamuzi wake na sasa inaitambua serikali ya Dk Shein.

(lll) Pia, ana mkakati mzito aliyopangiwa na CCM, kufumfukuza Maalim Seif na viongozi wengine (kundi lake) ndani ya CUF (this is very serious issue), kwa sababu ya kutaka kuwachanganya kimawazo au kuwababaisha wazanzibari, wanachama na wafuwasi wa CUF, juu ya mwelekeo wa Zanzibar.

Itakumbukwa mkutano wa Kiembe Samaki wa CCM, Balozi Seif Ali Iddi (Nduli) alisema nini kuhusu CUF kuwa, mwaka huu ndiyo mwisho wake. Uchambuzi wa kitaalamu wa kauli ile ndiyo haya matokeo ya sasa.

Kuna mambo mengi ya ubaya dhidi ya wazanzibari waliyoikataa CCM, Lipumba anakuja nayo kapewa kuyatekeleza. Ndiyo sababu ‘speed’ au niseme kasi ya kumrejesha imekuwa kubwa.

CCM, wanahofu na hatua zinazochukuliwa na CUF chini ya Maalim Seif kuhusu Zanzibar na Tanzania, ambayo nayo inaathirika zaidi.
Ingawa kwa sasa tunaweza tukasema kwamba, kwa hatua iliyofikiwa kuhusu masuala ya Zanzibar, CCM wananafasi finyu na ndogo mno kunusurika na mkono wa dunia. Ndiyo maana wanajaripu kupapatua kwa njia za kijasusi, kupitia uhuni wa Lipumba na gengi lake.
Inafaa tujiulize, tena tujiulize sana tangu CUF kuasisiwa, sasa ni miaka 24 kwa hesabu, lini imetokea Mwenyekiti wake, kuanzia Mapalala kupelekwa ofisini kwa vikosi vya polisi, geti la ofisi kuvunjwa, walinzi kupigwa mabomu na uhalifu mwingine kama kweli kuna nia njema huko mbele.

Kwa Wazanzibari, haya si mageni labda kwa wenzetu upande wa bara ambao wao kwao yanaweza kuwa mageni, hawaifahamu CCM hulka yake kwa undani. Ingawa sasa kidogo kidogo wameanza kupata picha. Wazanzibari chini ya CUF, wamewazoea CCM wala hawawababaishi tena.

CCM, wanaamini kuwa dunia yote ni kama vile serikali yao ilivyo, viongozi kutembea kwa ving’ora na misururu ya gari za ulinzi kuelekea katika mikutano ya kinafiki ya hadhara na kurudi majumbani, wakisubiri siku inayofuta kwenda mashamba Unguja na Pemba, kudanganya watu.

Dunia haiku hivyo tena sasa, imebadilika. Sindano ikianguka mto-pepo, dakika hiyo hiyo wanaisikia waliyoko Toronto.
Umoja wa ulaya (EU) imesema kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, Jumuiya ya Madola (Commonwealth), Marekani na Uingereza na kadhalika wote wamesema na kutokuitambua Serikali ya Zanzibar, Lipumba anarejeshwa CUF kwa mabavu na ajenda ya kigaidi. Nani atamkubali kumpokea gaidi mkuu wa wazanzibari?.

Mwaka wa kwanza Julius Nyerere, kufanya ziara Pemba, ilikuwa mwaka 1965 hapa ilikuwa ni mwaka mmoja tangu kuunda Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Mzee mmoja mwenye asili ya Tanganyika, Ibrahim Mkumba alitunga na kughani utenzi kwa ajili ya Nyerere.

“Kila ajaye kwa shari – Aijuwa yake siri – Ivunde yake dhamiri – Asiweze kusimama.”
Maneno hayo ya ushairi yalikuwamo ndani ya utenzi uliyokuwa na zaidi ya beti 110 uliyoghaniwa na Mzee Ibrahim Mkumba aliyekuwa akiishi Chanjamjawiri, pale kwenye njia inayoelekea Skuli ya Kidongo (sasa Skuli ya Chanjamjawiri).

Kwa fumbo la kishairi la Mzee Mkumba, hatunashaka kwamba, dhamira aliyonayo ndani ya nafsi yake Ibrahim Lipumba, itamsuta na hataweza kusimama. Mwenyezi Mungu Jala Jalal, hatasimama naye, hatampa nguvu za kuweza kuwafanyia ugaidi wanzanzibari. – amin.
Wazanzibari, mjini na mashamba, Pemba na Unguja ni waelewa wa mambo yote kuhusu nchi yao. Miaka zaidi ya 50 ya Muungano ‘uchwara’ wamekumbana na mengi na sasa wamechoka kuishi katika hali ngumu ya umasikini na ufukara, hawatatetereka tena na mbinu ovu za CCM. Wazanzibari wako makni sana.

Asante sana ndugu yangu, Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa.
Nikiongezea tu kati ya haya uliobainisha ni natujiulize ile hatua ya polisi ya kuruhusu mikutano ya ndani juzi....lengo ilikuwa ni kumuachia huyu Lipumba kufanya yake au ....
 
Good question
 
Hapa lazima kuna jambo nyuma ya pazia...hata wanaoonyesha kupingana na hili kama akili zao ni tamu wanajua hill sema tu wana ugonjwa wa kiitikadi
 
Kila mtu anayechukia ukoloni wa CCM, anafahamu fika kwamba Lipumba ana ‘issue’ kibindoni tayari alizopangiwa na CCM, anakujanazo ndani ya CUF kwa kuzitekeleza.

(l) Kutaka kuzima au kubabaisha mataifa katika madai yaliyopo juu ya meza ya wazanzibari kuhusiana na matokeo ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2015.

(ll) Atataka kuitambua au niseme atajaribu kusema kwamba uchaguzi wa marudio wa Machi 20 ulistahili kisheria na kikatiba kufanywa, hivyo ulikuwa halali. Atasema, baada ya kutafakari vya kutosha CUF, imebadilisha uamuzi wake na sasa inaitambua serikali ya Dk Shein.

(lll) Pia, ana mkakati mzito aliyopangiwa na CCM, kufumfukuza Maalim Seif na viongozi wengine (kundi lake) ndani ya CUF (this is very serious issue), kwa sababu ya kutaka kuwachanganya kimawazo au kuwababaisha wazanzibari, wanachama na wafuwasi wa CUF, juu ya mwelekeo wa Zanzibar.

Itakumbukwa mkutano wa Kiembe Samaki wa CCM, Balozi Seif Ali Iddi (Nduli) alisema nini kuhusu CUF kuwa, mwaka huu ndiyo mwisho wake. Uchambuzi wa kitaalamu wa kauli ile ndiyo haya matokeo ya sasa.

Kuna mambo mengi ya ubaya dhidi ya wazanzibari waliyoikataa CCM, Lipumba anakuja nayo kapewa kuyatekeleza. Ndiyo sababu ‘speed’ au niseme kasi ya kumrejesha imekuwa kubwa.

CCM, wanahofu na hatua zinazochukuliwa na CUF chini ya Maalim Seif kuhusu Zanzibar na Tanzania, ambayo nayo inaathirika zaidi.
Ingawa kwa sasa tunaweza tukasema kwamba, kwa hatua iliyofikiwa kuhusu masuala ya Zanzibar, CCM wananafasi finyu na ndogo mno kunusurika na mkono wa dunia. Ndiyo maana wanajaripu kupapatua kwa njia za kijasusi, kupitia uhuni wa Lipumba na gengi lake.
Inafaa tujiulize, tena tujiulize sana tangu CUF kuasisiwa, sasa ni miaka 24 kwa hesabu, lini imetokea Mwenyekiti wake, kuanzia Mapalala kupelekwa ofisini kwa vikosi vya polisi, geti la ofisi kuvunjwa, walinzi kupigwa mabomu na uhalifu mwingine kama kweli kuna nia njema huko mbele.

Kwa Wazanzibari, haya si mageni labda kwa wenzetu upande wa bara ambao wao kwao yanaweza kuwa mageni, hawaifahamu CCM hulka yake kwa undani. Ingawa sasa kidogo kidogo wameanza kupata picha. Wazanzibari chini ya CUF, wamewazoea CCM wala hawawababaishi tena.

CCM, wanaamini kuwa dunia yote ni kama vile serikali yao ilivyo, viongozi kutembea kwa ving’ora na misururu ya gari za ulinzi kuelekea katika mikutano ya kinafiki ya hadhara na kurudi majumbani, wakisubiri siku inayofuta kwenda mashamba Unguja na Pemba, kudanganya watu.

Dunia haiku hivyo tena sasa, imebadilika. Sindano ikianguka mto-pepo, dakika hiyo hiyo wanaisikia waliyoko Toronto.
Umoja wa ulaya (EU) imesema kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, Jumuiya ya Madola (Commonwealth), Marekani na Uingereza na kadhalika wote wamesema na kutokuitambua Serikali ya Zanzibar, Lipumba anarejeshwa CUF kwa mabavu na ajenda ya kigaidi. Nani atamkubali kumpokea gaidi mkuu wa wazanzibari?.

Mwaka wa kwanza Julius Nyerere, kufanya ziara Pemba, ilikuwa mwaka 1965 hapa ilikuwa ni mwaka mmoja tangu kuunda Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Mzee mmoja mwenye asili ya Tanganyika, Ibrahim Mkumba alitunga na kughani utenzi kwa ajili ya Nyerere.

“Kila ajaye kwa shari – Aijuwa yake siri – Ivunde yake dhamiri – Asiweze kusimama.”
Maneno hayo ya ushairi yalikuwamo ndani ya utenzi uliyokuwa na zaidi ya beti 110 uliyoghaniwa na Mzee Ibrahim Mkumba aliyekuwa akiishi Chanjamjawiri, pale kwenye njia inayoelekea Skuli ya Kidongo (sasa Skuli ya Chanjamjawiri).

Kwa fumbo la kishairi la Mzee Mkumba, hatunashaka kwamba, dhamira aliyonayo ndani ya nafsi yake Ibrahim Lipumba, itamsuta na hataweza kusimama. Mwenyezi Mungu Jala Jalal, hatasimama naye, hatampa nguvu za kuweza kuwafanyia ugaidi wanzanzibari. – amin.
Wazanzibari, mjini na mashamba, Pemba na Unguja ni waelewa wa mambo yote kuhusu nchi yao. Miaka zaidi ya 50 ya Muungano ‘uchwara’ wamekumbana na mengi na sasa wamechoka kuishi katika hali ngumu ya umasikini na ufukara, hawatatetereka tena na mbinu ovu za CCM. Wazanzibari wako makni sana.
Upuuzi mtupu! lini mtakaa chini na kukili kuwa mnavulugana wenyewe tu. na kwa sababu hamtaki kukili kila mara mnapofanya makosa basi mjue hamuezi kujinasua kwenye matatizo hayo
 
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kuwa Tanzania ni sawa na Marekani au Uingereza au Simiyu ni sawa na Dar eti kwa sababu yote ni mikoa.

Mwalimu Nyerere kila alipokuwa akiwaongelea Wamarekani au Uingereza alikuwa akisema, '.... wakubwa hawa ..' Mkapa na Kikwete alikuwa akisema, 'mataifa makubwa haya'. Leo kuna wenzetu wa bora kumekucha wanataka kutudanganya kuwa sisi ni sawa na USA, Germany, UK, n.k. Hivi tunalingana nao katika nini? Au kwa sababu wote tuna ardhi?

Hata kalaptop kako au hata hako kasimu kako Wamarekani wakiamua usipate hata internet tu, hupati. Wakitaka kaTV kako kasioneshe chochote, huoni, halafu kwa uwendawazimu wetu, tunaamini kuwa tupo sawa! Ukiwa mjinga halafu ukashindwa hata kujua tu wewe ni mjinga, lazima utakuwa ********.
mwambie Hugo kama marekani walifanikiwa kudukua simu ya chancellor angel Merkel wa ujerumani sembuse huyu mchunga ng'ombe wa chato
 
Naona unakuja na propaganda. Kurudi kwa Lipumba kunahisiana vipi na Sovereignty ya Tanzania kama nchi. Au kuna interference gani na Mataifa ya hao Wazungu zaidi home made problems!?

Lipumba alijiuzulu tena kwa kulitangazia taifa kupitia Mkutano na Vyombo vya Habari. Alitoa sababu zake wengi walimuelewa na wengi hawakumuelewa. But the bottom line alikiacha chama katika wakati mgumu.

Sababu ya kujiuzulu ilikuwa ni Lowasa. Vile vile yeye ndiye aliyeitangazia dunia kukaribishwa kwa Lowasa Ukawa. Seriously, huyu ni Profesa .... he should have known better!!
Soma vizuri content ya mleta thread ndipo utaelewa hicho nilichomjibu.
 
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kuwa Tanzania ni sawa na Marekani au Uingereza au Simiyu ni sawa na Dar eti kwa sababu yote ni mikoa.

Mwalimu Nyerere kila alipokuwa akiwaongelea Wamarekani au Uingereza alikuwa akisema, '.... wakubwa hawa ..' Mkapa na Kikwete alikuwa akisema, 'mataifa makubwa haya'. Leo kuna wenzetu wa bora kumekucha wanataka kutudanganya kuwa sisi ni sawa na USA, Germany, UK, n.k. Hivi tunalingana nao katika nini? Au kwa sababu wote tuna ardhi?

Hata kalaptop kako au hata hako kasimu kako Wamarekani wakiamua usipate hata internet tu, hupati. Wakitaka kaTV kako kasioneshe chochote, huoni, halafu kwa uwendawazimu wetu, tunaamini kuwa tupo sawa! Ukiwa mjinga halafu ukashindwa hata kujua tu wewe ni mjinga, lazima utakuwa ********.
Kumbe na wewe bado una hizo fikira mgando. Ndalichako ana kazi kuboresha elimu Tamzania.
 
Usijitie upofu , wakati lowasa anakaribishwa lipumba alikuwa na taarifa, picha zilituonesha hivyo.

Yaani Mwenyekiti ni wa kupewa tu taarifa ya kile wakina Seif walichoamua? That is insurbodination of the highest order done to Lipumba by Seif!
 
Back
Top Bottom