Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Hutuambii kitu tukakusikiliza Sisi Tupo na professor wetu ambaye tumepigwa wote mabomu na virungu Sio Yule Katibu mkuu anatangaza Nchi haitatawalika kisha anaenda Omani Hajawahi pigwa wala kuvunjwa Hata mkono... Chama kimerudi kwenye misingi Kwa maana mwanzilishi wa ukawa bungeni ndio kimerudi kwake
Kwa taarifa yako maalim hakwenda Oman aliyeenda Oman ni mke wake sio Maalim. Unaandika usiyoyajua. Sio kama kitimbakwiri wenu lipumba aliyekimba wakati chama chake wako vitani halafu anatokea from no where anasema anataka aendelee na uenyekiti. Ni upumbavu/ ujinga wa kiwango cha juu.
 
Siasa ni kitu cha ajabu sana ,hakuna rafiki wala adui wa kudumu.Na ili ufanikiwe kwenye siasa lazima uwe mnafiki sana
 
Hizi fikira potofu ya kuzani Amerika, Uingereza na nchi zingine za ulaya ni sovereign zaidi ya nchi za Africa zitatutoka lini? Fikira za kuzani bado tunatawaliwa na wazungu. Mkigombana hata kidogo tu fikira zenu ni kwenda kushitakiana kwa mzungu. Kweli bado kuna waafrika wenye mgando wa akili namna hii? Mbona nchi za Asia na mabara mengine hayana watu wa fikira mgando kama hizi. Tanzania is a sovereign country like the USA, UK or any other European country. Our poverty does not make us less sovereign. In fact we are not poor in all aspects and even them are not rich in all aspects.

Mvurugano wa CUF kausababisha Maalimu Seif kwa kujifanya kuwa yeye ana madaraka makubwa kuliko Mwenyekiti wa chama chake. Yaani Mwenyekiti yuko chini yake. Hii ulishaiona kwenye chama kipi? Yaani Mbowe awe chini ya Mashilingi au Magufuli awe chini ya Kinana? Only in CUF it has existed and the Registra has ordered to stop such an unconstitutional affair. You free to appeal to our High court or you may again go to the wazungu to appeal.

Yaani Seif anamtimua kwenye chama mwenyekiti wake. Na hii si mara yake ya kwanza. Alimtimua Mapalala sasa kwa Lipumba amekwaa kisiki na atatimuliwa yeye hivi karibuni. Yaani just imagine Mashilingi amtimue Mbowe halafu ikubalike? Mrema alipokuwa mwenyekiti wa NCCR alitimuliwa na wakina Mabere, halikukubalika na Mrema aliwageuzia kibao akawatimua wakina Mabere. Huu mfano wa Mrema si sawa kabisa na huu wa Lipumba. Kaeni mkao wa kula.

Dr kifuu / akili mbovu nafikiri uwezo wako wa kufikiri ni sawa na nzi. Chuki zako dhidi ya maalim zimepita mpaka. jaribu kusema ukweli ni nani anayeleta mvurugano kama si huyo baradhuli lipumba mnayemtumia kuharibu CUF na /UKAWA? Jifunze kuwa na mawazo chanya na usiandike upupu kama huna hoja zenye mashiko. Jitu Zima linajuzulu mwenyewe hlfu eti anarudi na kutia mkono puani kamaaa...... eti nataka kurudi ktk nafasi yange ya uenyeketi bila ya kufuata utaratibu.
 
Back
Top Bottom