Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Siri: Lipumba aja na agendas mfukoni

Prof.Lipumba mfukuze katibu mkuu wako anakuhujumu!
 
We kipofu, Lipumba hakutimuliwa ameondoka kwa kujiuzulu nafasi yake kwa maandishi. Wake up
Alikaa pembeni baada ya figisufigisu za Seif kumkinai hasa alipompokea Lowassa bila kumshirikisha Mwenyekiti wala kikao cho chote cha chama.

Hakujiuzuru kwani utaratibu wa kujiuzuru haukukamilika kwa mjibu wa taratibu, kanuni na sheria husika. Ndiyo maana Msajili kamurudisha. Hukubali nenda mahakamani.
 
Lipumba ameweka akili zake rehani. Hapo alipo yupoyupo tu!
Hajitambui ndio maana maccm yameweza kumnunua akakubali kuweka taaluma yake Peaheni kwa vipande vya fedha!
Kwa sababu huyu hakufukuzwa, aliacha kwa mapenzi yake mwenyewe!
Sasa anachogombea nini???
 
Alikaa pembeni baada ya figisufigisu za Seif kumkinai hasa alipompokea Lowassa bila kumshirikisha Mwenyekiti wala kikao cho chote cha chama.

Hakujiuzuru kwani utaratibu wa kujiuzuru haukukamilika kwa mjibu wa taratibu, kanuni na sheria husika. Ndiyo maana Msajili kamurudisha. Hukubali nenda mahakamani.
Usijitie upofu , wakati lowasa anakaribishwa lipumba alikuwa na taarifa, picha zilituonesha hivyo.
 
Hivi CUF wanaakili kweli kwenda kuishtaki Tanzania Jumuiya za Kimataifa??
 
Profesa Uchwara Angekua baba sema hana uwezo wa kunizaa ningejtokeza kweny vyombo vya habar na kumkana live kweupe kua sitambui kama kuna mtu au any Object ndani ya sayar ya tatu inaitwa Lipumba.

Hakika from today stak kuskia mtoto wang au mtu kutoka ndani ya familia yetu anandoto za kua profesa ni dhahil sas kua ukiwa prof. kuna mawili either upoteze akili zote na kua Chizi au uwe na maarifa. Na from today Lipumba anavyet vya Informal education na sdhan kama anamwabudu Mwenyez mungu OVER
 
Mbona unasahau mapema?umesahau issue ya uchaguzi oct mwaka jana???acha hizo

Leo nimekutana na Vijana wa ukawa wanafuraha kuwa Tanzania itawekewa vikwazo na Jumuiya za Kimataifa

Nikawauliza, Unafikiri Tanzania ikiwekewa vikwazo nani ataathirika?... Je Zanzibar ikiwekewa vikwazo Shein ataathirika?

Hawakuwa na majibu ya kueleweka.. Nikajua kuwa vijana wengi wa ukawa akili zao zipo kwenye makalio
 
mzee usiwe kama Samaki umesahau uchaguzi wa Oct kilichotokea?kidogokidogo tutaelewa tu.
 
Hizi fikira potofu ya kuzani Amerika, Uingereza na nchi zingine za ulaya ni sovereign zaidi ya nchi za Africa zitatutoka lini? Fikira za kuzani bado tunatawaliwa na wazungu. Mkigombana hata kidogo tu fikira zenu ni kwenda kushitakiana kwa mzungu. Kweli bado kuna waafrika wenye mgando wa akili namna hii? Mbona nchi za Asia na mabara mengine hayana watu wa fikira mgando kama hizi. Tanzania is a sovereign country like the USA, UK or any other European country. Our poverty does not make us less sovereign. In fact we are not poor in all aspects and even them are not rich in all aspects.

Mvurugano wa CUF kausababisha Maalimu Seif kwa kujifanya kuwa yeye ana madaraka makubwa kuliko Mwenyekiti wa chama chake. Yaani Mwenyekiti yuko chini yake. Hii ulishaiona kwenye chama kipi? Yaani Mbowe awe chini ya Mashilingi au Magufuli awe chini ya Kinana? Only in CUF it has existed and the Registra has ordered to stop such an unconstitutional affair. You free to appeal to our High court or you may again go to the wazungu to appeal.

Yaani Seif anamtimua kwenye chama mwenyekiti wake. Na hii si mara yake ya kwanza. Alimtimua Mapalala sasa kwa Lipumba amekwaa kisiki na atatimuliwa yeye hivi karibuni. Yaani just imagine Mashilingi amtimue Mbowe halafu ikubalike? Mrema alipokuwa mwenyekiti wa NCCR alitimuliwa na wakina Mabere, halikukubalika na Mrema aliwageuzia kibao akawatimua wakina Mabere. Huu mfano wa Mrema si sawa kabisa na huu wa Lipumba. Kaeni mkao wa kula.
Lazima uwe mwendawazimu kuamini kuwa Tanzania ni sawa na Marekani au Uingereza au Simiyu ni sawa na Dar eti kwa sababu yote ni mikoa.

Mwalimu Nyerere kila alipokuwa akiwaongelea Wamarekani au Uingereza alikuwa akisema, '.... wakubwa hawa ..' Mkapa na Kikwete alikuwa akisema, 'mataifa makubwa haya'. Leo kuna wenzetu wa bora kumekucha wanataka kutudanganya kuwa sisi ni sawa na USA, Germany, UK, n.k. Hivi tunalingana nao katika nini? Au kwa sababu wote tuna ardhi?

Hata kalaptop kako au hata hako kasimu kako Wamarekani wakiamua usipate hata internet tu, hupati. Wakitaka kaTV kako kasioneshe chochote, huoni, halafu kwa uwendawazimu wetu, tunaamini kuwa tupo sawa! Ukiwa mjinga halafu ukashindwa hata kujua tu wewe ni mjinga, lazima utakuwa mpumbavu.
 
Hizi fikira potofu ya kuzani Amerika, Uingereza na nchi zingine za ulaya ni sovereign zaidi ya nchi za Africa zitatutoka lini? Fikira za kuzani bado tunatawaliwa na wazungu. Mkigombana hata kidogo tu fikira zenu ni kwenda kushitakiana kwa mzungu. Kweli bado kuna waafrika wenye mgando wa akili namna hii? Mbona nchi za Asia na mabara mengine hayana watu wa fikira mgando kama hizi. Tanzania is a sovereign country like the USA, UK or any other European country. Our poverty does not make us less sovereign. In fact we are not poor in all aspects and even them are not rich in all aspects.

Mvurugano wa CUF kausababisha Maalimu Seif kwa kujifanya kuwa yeye ana madaraka makubwa kuliko Mwenyekiti wa chama chake. Yaani Mwenyekiti yuko chini yake. Hii ulishaiona kwenye chama kipi? Yaani Mbowe awe chini ya Mashilingi au Magufuli awe chini ya Kinana? Only in CUF it has existed and the Registra has ordered to stop such an unconstitutional affair. You free to appeal to our High court or you may again go to the wazungu to appeal.

Yaani Seif anamtimua kwenye chama mwenyekiti wake. Na hii si mara yake ya kwanza. Alimtimua Mapalala sasa kwa Lipumba amekwaa kisiki na atatimuliwa yeye hivi karibuni. Yaani just imagine Mashilingi amtimue Mbowe halafu ikubalike? Mrema alipokuwa mwenyekiti wa NCCR alitimuliwa na wakina Mabere, halikukubalika na Mrema aliwageuzia kibao akawatimua wakina Mabere. Huu mfano wa Mrema si sawa kabisa na huu wa Lipumba. Kaeni mkao wa kula.
We bwana we! Lipumba alitimuliwa au alijiuzuru mwenyewe uenyekiti, sasa kulikoni karudi?!??
 
Back
Top Bottom