CHADEMA sasa ni zaidi ya chama kikuu cha upinzani nchini. Bungeni ikiwa na Wabunge 48 ambao ni sawa na asilimia 13.445 ya Wabunge wote 357,inafanya mambo makubwa. Inabuni,inahoji,inajenga hoja na kuomba miongozo ya Spika mambo yanapokwenda mrama. Nje ya Bunge ndio usiseme. Mikutano ya kueleza ukweli na ya kujadili mstakabali wa taifa inafanyika kwa ubunifu,ufanisi na mafanikio makubwa. Sasa imejijengea heshima na uaminifu mkubwa kwa wananchi. Inasubiriwa kutwaa dola. Siri ya mambo haya ni tatu. Kwanza,imesimama yenyewe. Inapambana na yeyote anayeweza kupambana nayo kisiasa. Haiogopi. Pili,inatumia kila nafasi ijitokezayo ipasavyo. Si nje wala ndani ya Bunge. Pia,ina uongozi bora uliojaa ubunifu,busara na uwezo.Natamani na kutumai kujiunga nayo nikijiunga siasani...
Msigwa ni kama prof feki kahigi tu. hakuna ajuavyo. Anawaaibisha bure wafuasi wake. Ya kaisari..........
Kama rais anachaguliwa kupitia jf tu sawa.
Mkuu, kama wewe upo kimaslahi zaidi, wenzako wanatumwa na uzalendo zaidi
Mmekaliwa kooni
mungu gani anabariki vurugu, fujo na kung'oa watu kucha? Labla mungu wa CHADEMA huyo sio mungu wa mbingu na ardhi.
Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM.
we unamsema mungu wa CHADEMA? Utaona watakavyokushambulia.
Tushukuru CDM wapo.wasingekuwepo dowans,epa,kinana tembo,richmond,radar,nchi nzima kufeli 4m 4.ongezea list.Tungejuaje yote haya?tafakari mh masaburiHakiwezi kushika dola kwa mwenendo huu kwakweli tusidanganyane tuliowengi ni mashabiki na sio wanachama wala sio wapiga kura!!!
Hakiwezi kushika dola kwa mwenendo huu kwakweli tusidanganyane tuliowengi ni mashabiki na sio wanachama wala sio wapiga kura!!!
Lissu pekee anawabeba 120 wa chama chetu.
Mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM.