Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

Rugemalira alishika kila mmoja. Kuanzia Ikulu ya Jakaya Kikwete, TAKUKURU, mahakama, BoT, hazina, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, viongozi wa madhehebu ya kidini na hata baadhi ya mawaziri wa zamani wenye ushawishi serikalini,” ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi kutoka Ikulu.


Hahahhahaha!!! Badala kusema Maaskofu na Benki ya Kanisa Katoliki Mkombozi, mnajifanya kuandika viongozi wa madhehebu ya dini.

Wagalatia bana....
 
Cc:MOTOCHINI
Cc:lizaboni
 
Reactions: BAK
Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!
Tanzania kumejaa wanafiki sana unataka kuitoa Kanisa Katoliki na kwenye ufisadi wa Escrow?

Maaskofu pamoja na benki ya Kanisa wameshiriki kufanya ufisadi.

Tuwe wakweli.
 
Ndio maana mswahili hataki kukaa uswahilini na badala yake anaishi kwa wafadhili
 
Reactions: BAK
Tunamuomba ngosha aanzie hapo na kutumia zile fagio za makonda alizokuwa nazo uwanja wa taifa awafagie hao majizi bila kujali ni cheo gani wanacho kisiasa au ki imani
 
Reactions: BAK
Hata wapambe wanaomuimbia mapambio , habari kama hizi hawataki kuzisikia Magufuli anatafuta cheap popularity hawezi na hana ubavu wa kudeal na rushwa kubwa kubwa
Wacha aendelee kufumbia macho huo uoza wote lkn wapinzani /wana timiza wajibu wao na wananchi wanaona
 
nasema hakuna asie mwizi afrika hii sbb imejaa kubebana km tanzania hii nchi ina wenyewe nyie mmekaa kupiga kelele mnapigia mbuzi gitaa na kupiga mark time tuuu.nchi imejaa ushkaji ukikaa serikalini hujaiba unaonekana bwege.kama unaona gere watu wanafaidi rasilimali kwa kupiga dili hama tanzania nenda china au korea kuna hakuna ufisadi km huku
 

Sikusomi kabisa! vipi Dr.Faizafoxy unamasilahi binafsi ?. Kuna watu walichukua pesa kwenye mifuko hao Bunge liliagiza uchunguzi ufanyike na ibainike ni akina nani iliikionekana kuna jinai wamefanya basi hatua ichukuliwe lakini mpaka leo kimya!
 
we ndio umeongea pwenti aisee
 
Ni kashfa kubwa sana iliyowahusisha baadhi ya viongozi wa kidini, mahakama, kisiasa na taasisi za serikali. Kama itabainika ukweli na kesi ikafunguliwa Kesi yake inaweza kuwa ni ngumu kuiendesha kutokana na mfumo wetu wa kimahakama, itakuwa ni kipimo kwa mahakama zetu kutenda haki.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Tanzania kumejaa wanafiki sana unataka kuitoa Kanisa Katoliki na kwenye ufisadi wa Escrow?

Maaskofu pamoja na benki ya Kanisa wameshiriki kufanya ufisadi.

Tuwe wakweli.
Kwa mtizamo wako na wenzako, wakristo na waislamu, wenye kulichukulia kila jambo kwa udini nakubaliana na wewe. Itakuwa vigumu watu kusema nani mjinga kati yetu kwa kupingana na wewe katika hili.
 
Hapa JPM hagusi.Na akifunika uso kufukunyua scandal hii,mfumo wote wa utawala utakua uchi.
 
Nilishasema kama magufuli amezaliwa mwanaume,akamate hawa wa escrow. Otherwise anaonea watu.
Kwa mujibu wa utafiti wangu feki nilioufanya hakuna mwanasiasa yeyote aliyeshughulikiwa kuhusiana na ufisadi mpaka dk hii , wanaokiona cha moto ni watumishi wa umma , kama masamaki na kitilya .
 
Kwa mujibu wa utafiti wangu feki nilioufanya hakuna mwanasiasa yeyote aliyeshughulikiwa kuhusiana na ufisadi mpaka dk hii , wanaokiona cha moto ni watumishi wa umma , kama masamaki na kitilya .
wanasiasa hawagusiki mkuu maana hapa ukigusa tu unaweza kata tawi ulilokalia....acha vipele vionje joto ya jiwe majipu yametulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…