Huyu alikula hela ya SANDA tu...... tunataka wale waliokimbia na COFFIN ikiwa na maiti yake!
Huyu alikula hela ya SANDA tu...... tunataka wale waliokimbia na COFFIN ikiwa na maiti yake!
Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?Hii sentensi si kweli:"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Umeusemea moyo wangu mkuu. Nimeshasema repeatedly kuwa JPJM ana sifa za watu waoga na wenye kutafuta kupendwa kwa nguvu kama vile anajaribu kuthibitisha kuwa hata kama hakujiandaa kuwa raisi lakini anaiweza kazi. Matokeo yake lazima aonekane kuwa anaweza na atafanya hivyo kwa kufanya mambo madogo (kukuna vipelee na kutumbua vijipu vidogo vidogo; tena hadharani) ili aonekane kuwa anafikia matarajio ya wengi ambao hawakumpigia kura huku akizuia mijadala bungeni isionekane kwa wananchi.
Mtu mwoga hawezi kuigusa skendo ya escrow na nyingine kama hizo. JPJM hataigusa skendo ya escrow isipokuwa kama atapata presha toka kwa wawakilishi wa wananchi walioko bungeni.
Kumbuka kuwa mara nyingi mtu mwoga ndiye ambaye huwa anakazana kuonekana jasiri.
Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!
Aidha, kupatikana kwa taarifa kuwa Rugemalira alikuwa na mawasiliano ya karibu na βkindunguβ na mkuu wa TAKUKURU, kumekuja wakati ambapo taasisi hiyo imeshindwa kuanika orodha ya watu walionufaika na mgawo wa fedha hizo kutoka benki ya Stanbic.
Je huu mfupa JP atauweza?
Kama yuko Serious hiyo list ya waliondoka na Pesa kwenye viroba/lumbesa sijui ndiyo aiweke hadharani na kuwashughulikia !
Kifungo na kurudisha NDIO ADHABU KUBWAANAKAMUA NYAMA NA SI "MAJIPU" Tibaijuka!/
I will truly trust this man if he would touch ESCROW,LUGUMI.
TUSIWAFUNGE BALI WARUDISHE HIZO FEDHA.
kuzirudisha ni adhabu kubwa kuliko kifungo.
Madhehebu mengine hasa la kwako walipata zile za kwenye sandarusi ambazo ni nyingi kuliko hizo za Wakatoliki.....BTW hata Lugumi kapeleka watu Khijja na zile zingine? Vipi wewe hukupata?
weevipi katika kiswahili hamna kitu DHEHEBU kuna MADHEHEBU hata kama ni moja. Uwez ukasema dhehebu la kikatoliki ama dhehebu la shia iyo hamna kwenye kiswahili. Kiswahili swafi ni madhehebu ya kikatoliki madhehebu ya shia madhehebu ya kilokole madhehebu ya sunni n.k lakini siyo DHEHEBU hamna kitu kama hicho kwenye kiswahili.Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?
Cc BAK
Usione haya.
Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?Hii sentensi si kweli:"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
weevipi katika kiswahili hamna kitu DHEHEBU kuna MADHEHEBU hata kama ni moja. Uwez ukasema dhehebu la kikatoliki ama dhehebu la shia iyo hamna kwenye kiswahili. Kiswahili swafi ni madhehebu ya kikatoliki madhehebu ya shia madhehebu ya kilokole madhehebu ya sunni n.k lakini siyo DHEHEBU hamna kitu kama hicho kwenye kiswahili.
Cheseya mbeba boksi wewee kwenye kiswahili. Unepatikana Leo ajuza. Salam zangu kwa kitukuu chako cha mwisho 47yearsππππ
Nijibu na miye basi wale waliobeba zile za kwenye sandarusi walikuwa dhehebu gani?
Ni viongozi 2 wa kidini kutoka kanisa katoliki ambao ni kabila 1 na ruge.Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!