Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Nahisi waliompinga ndani ya chama, wasijaribu kuchukua fomu za kugombea nafasi yoyote katika uchaguzi unaondelea ndani ya chama.
Hii awamu ipo kivingine, maana viongozi wa chama kwa ngazi ya Wilaya na Mkoa,walikuwa wakiunga mkono upande ule ulionyesha kutumia fedha katika kupata udhamini kwa nafasi ya ugombea urais.
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.

Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu, nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais.

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe.

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais serikali yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote.

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida. Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.

Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wa kwanza sasa anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.

Kuna kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wish sote tujuwe thamani ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umasikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tusipo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake aliempenda.

Ewe Mtanzania sema asante Mungu kwa Rais Magufuli

Ukiona Mtu mpaka GENTAMYCINE anampenda na anamkubali jua hata Mwenyezi Mungu nae ameshampitisha na kumkubali. Huwa simkubali Mtu wa hovyo hovyo. Huyu ndiyo Rais ambaye Watanzania tulimuhitaji tokea muda mrefu na nina uhakika hadi atakapomaliza vipindi vyake viwili vya Uongozi Tanzania itakuwa imeshapiga hatua kubwa sana ya Kimaendeleo hasa ya Kiuchumi, Kijamii na Miundombinu. Kikubwa tumuamini, tumpende na tumpe ushirikiano badala ya kumkatisha tamaa. Mapungufu kila Mwanadamu anayo ila Rais Dkt. Magufuli anaonyesha ameletwa kweli na Mwenyezi Mungu kuja kutukomboa Watanzania na hakika ameshaanza Kutukomboa kwa mambo kadhaa. Nina imani nae tena kubwa tu na wala sijutii kumpigania na kumkapenia humu Jamvini mwaka 2015 na ama hakika hata ile Kura yangu niliyompa haijapotea na najiandaa tena kumpa Kura yangu nyingine ifikapo 2020 na kuzidi kumpigia Kampeni ya Kufa Mtu utakapofika huo mwaka na Kampeni zikianza.

Mwenyezi Mungu mbariki sana na mlinde mno Mpendwa Rais wangu Kipenzi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Eti malaika, nyooooooo!!

Ana power ee uoni anavyo lindwa na askari 1000 kidogo!!

Nakweli tutapiga goti maana si kwa vitisho na ugumu huu wa maisha!! Na kuwatumia askari kutisha watu!!!

Mnamtukuza kama vile mungu!! Nakweli uombe 2020 uwepo ili uje utonyeshe viwanda vingapi kavijenga au kasababisha viwepo na tuone pato la mtz limekua!!!

Mtu mwenyewe anakiri kaja kwabahati mbaya!
 
maneno mazuri, yanatia moyo ila ni ya uongo
 
Hata nisipo jiamini mimi kwani nina tija gani?
 
Hata nisipo jiamini mimi kwani nina tija gani?
 
Magufuli ana Mungu
Ikumbukwe alisoma Seminary na most of his class mate ni mapadre na pia kama Rais wa nchi ana ulinzi wa Mungu! So bwana asipo ulinda mji waulindao wanafanya kazi bure!
Ni Mungu tu ndie atakaemlinda yeye alie mteua
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.

Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu, nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais.

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe.

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais serikali yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote.

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida. Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.

Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wa kwanza sasa anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.

Kuna kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wish sote tujuwe thamani ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umasikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tusipo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake aliempenda.

Ewe Mtanzania sema asante Mungu kwa Rais Magufuli
Amefail anzia kwenye wengine hata huwa hatusikilizi anasema nin maana hatuelewi anafanya nini
 
Kujipendekeza kubaya sana hakuwezi kumwacha mtu salaama utapiga magoti mpka upate kilema mimi nasubiri zile mil 50 huku kijijini zisipofika ndio nitajua katumwa au kakutuma
 
Utakwenda wewe na familia yako yote (kama sio ukoo) kumpigia Magoti....
Angekuwa anaamini yeye hajaribiwi, angefunga safari kwenda kwa Wazee wa Makinikia (Ng'ambo) tuone kweli atarudi salama...!!
Ama Mshauri basi apunguze Utitiri wa wapambe kwenye msafara wake, kwani yeye ni Raisi kipenzi cha watu na chaguo la Mungu wa Malaika (sio Mashatani)
Watu wako "uliowatayarisha kuonesha upendo kwangu" wako wapi? -JPM

Ushahidi umepatikana kwamba watu wanatayarishwa ili kujenga sura na mazingira kuwa "mtumbuaji majipu na mnyongaji wa wanyonge anapendwa kweri kweri.

Link1. Video: Hasira za Rais Magufuli kwa "watu wazembe"

Link2. Ukweli ni kwamba pamoja na nia nzuri ya Rais Magufuli, sasa hivi Tanzania ni kama uwanja wa fujo
 
Nilikuwa nanogewa kusoma
Mara paap ikaisha

Nimeipenda

Mungu azidi kumlinda

Magufuli oyeeeeee
 
Huyo mungu wenu ni wa ajabu anawatuma mkanyage kila kilicho mbele yenu katiba bunge mahakama binadamu poleni sana na mungu wenu kipofu[emoji20] [emoji20]
 
Tangu ulivyotemwa kwenye kile kikosi chenu uko hoi ni kama umepata delirium .

Ben hayupo tena na maboss zako hawapo tena unajitahidi kurudi kwenye reality.
 
Back
Top Bottom