Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Inashangaza sana kuona kumbe kuna mtanzania mwenye akili fupi kama huyu mleta maada hii.. [emoji115] pole sana wee kiumbe
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.
Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya Huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu.. Nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais....

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe...

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais seriksli yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote..

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida.
Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.
Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wakwanza as anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.
Kuna Kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wiah sote tujuwe thaman ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umsikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tuspo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake alie mpenda.
Ewe Mtanzania sema Asante Mungu kwa Rais Magufuli
Naona umeamua kujivisha majukumu ya MUNGU. Sasa subiri uone uakatayojiri huko mbeleni wewe pamoja na hilo "karandinga" lako.
 
una laana Mungu peke yake wa kupigiwa magoti kampigie wewe usilete ujinga wako vkushawishi binadamu amwache Mungu
 
Na bado , watanyooka tu we subir miaka miwili tu wanalia kinyama akipaga mitano?😀😀
 
Hivi watanzania hamuwezi kuchangia hoja hata kama humpendi mtu bila kutoa lugha ya matusi sasa wewe una mkataba na mungu kuwa by 2020 mungu atakuwa ameishamshushia kipigo ila wewe utakuwa mzima watch out your tongue mungu ni wa kila mtu including huyo unayemchukia
Kizazi cha Freemason hiko kaka..kina shida kweli
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.

Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu, nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais.

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe.

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais serikali yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote.

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida. Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.

Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wa kwanza sasa anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.

Kuna kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wish sote tujuwe thamani ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umasikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tusipo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake aliempenda.

Ewe Mtanzania sema asante Mungu kwa Rais Magufuli
Hivi moderators vitu kama hivi si mngekuwa mnavifuta kuokoa nafasi jamani?!
 
Umeandika utumbo mtupu hapa.
 
Back
Top Bottom