Siri kubwa ya mafanikio ni hii hapa

Siri kubwa ya mafanikio ni hii hapa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Umeshawahi kujiuliza una feli wapi kwenye maisha yako?
Wazo la kuwa tajiri unalo
Mipango unayo
Lakini kutimiza sasa ndo shida
Basi Usijali nitakuongezea kitu katika akili yako ili utimize kila mpango wako

Kwanza una takiwa ujue kila kitu unacho kiona katika ulimwengu huu wa mwili
Kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho

Ulimwengu wa roho ni ulimwengu ambao upo invisible kwenye macho yetu ya kibinadamu lakini upo visible kwenye akili yetu

Akili zetu zinaona mambo ya ulimwengu wa roho lakini macho yetu hayaoni mambo ambayo yapo katika ulimwengu wa roho

Hata ukisikia wachawi wana sema tulimchezea huyu bwana kwenye ulimwengu wa roho ndio maana yupo zezete. yaani kwa mantiki nyingine wamechezea akili yako isiwaze au kuona mambo ya mbali

Kwa hiyo ulimwengu wa roho upo katika akili zetu sisi wanadamu

Ukiona akili yako inafikiria kitu ambacho huna basi tambuwa kitu icho una uwezo wakukifanya hata kama kwenye macho yako wewe ya nyama ukicheki unaona ni impossible kukitimiza

Sasa ukitaka kufanikiwa kwenye jambo lolote unalo fikiria katika akili yako

Unatakiwa ujue how to connect Akili yako na tamaduni zako ili mwili wako uwe tayari kufanya kile ambacho akili yako inafikiria

Ukienda out na tamaduni zako hata kama una akili ya kufanya jambo lolote kubwa utaishia kusema wamekuroga

Kwenye tamaduni ya mtu ndo kuna ufunguo wa mafanikio ya mtu
Ukiheshimu tamaduni yako mlango wa baraka utakuwa juu yako

Ipo siku nitawapa faida za mtu kuheshimu saana tamaduni yake
 
Pia usitoe siri zako juu ya chochote utakacho fanya hadi angalau kifikie angalau asilimia 90 kufanikiwa ndipo unaweza waambia watu. Ukiwambia mipango yako kabla ujafanikiwa chance ya kutofanikiwa ni kubwa
 
Ushuhuda
Mimi ni baharia,,nipo melini Saud Arabia,
Kipindi fulani nyuma,,mambo yangu yalikuwa hayaendi,,
nilikaa nyumbani kama mwaka mzima bila kazi,

Kila nikijitahidi kuomba kurudi kazini ikawa ni ngumu Sana,,
Emails hazijibiwi wala watsap hazijibiwi ,
Nilihuzunika Sana.,,

Siku nipo kitandani kabla ya kulala,,
nilikaa na mawazo sana,,
nilikuwa kwenye deep feelings.
Sina hata cent ya kula,,njaa kali sana,

Nikawa naongea mwenyewe Kwa uchungu,,Ee mwenyeziMungu.
--Mimi nimekosa nn?
--Hivi Mimi nimefanya dhambi ipi kubwa hata leo naadhirika hivi?
--Mbona Mimi sio mlevi,,,
--Sina mambo ya kichawi,,
-- Nafanya ibada japo mara 1 Kwa week.

--Ila mimi nina nini haswa kwann siitwi kazini?
--Ee Mungu najuwa upo,,
--najuwa unanisikia ,
--Naomba nipelele kazini.
_Naomba unisitiri na dhiki

Niliongea maneno hayo nipo peke yangu ,,chumbani.
niliongea Kwa uchungu hata kutokwa na machozi na kulia Kwa kwikwi nikiwa peke yangu kitandani.

Baada ya muda nikapitiwa na usingizi,,
Nikashtuka saa 05;30 Am mlio wa simu yangu inaita whtsp call.
Kupokea kumbe ni coordinator wangu wa company yetu,,, ananiomba niingie kwenye email,, nijibu email nirudi kazini..

Haikupita week 2 nikaletewa viza Ili nirudi Saudi Arabia.

Ikiwa bado nasubiri ticket nikapata email tena kwamba nimekuwa rejected na company kujiunga nao sababu sina vigezo.

Nilishangaa sana,,iweje Mimi ni x crew nimepigiwa simu nijiunge na ofisi,
halafu wanitumie kila kitu ila ticket iwe shida,
mwishowe waseme nimekuwa rejected?
yaani Sina sifa za kuwa onboard.
Nilikata tamaa ya kurudi tena kazini..

Miezi 2 imepita nikiwa bado nahangaika ,,Sina matumaini tena kurudi kazini.

Siku Moja usiku kabla ya kulala,,
niliomba Mungu nikasema kwamba --ewe Mungu,,
--Najuwa unajuwa yaliyo wazi na yaliyo fichika.
--Naomba unionyeshe nimekosea wapi?
--Nionyeshe hatma ya safari yangu,,

--Naomba nipeleke kazini,,hakika kwako hakuna kubwa.,
--Wewe ndy mmiliki wa Ardhi na mbingu.
--Usemalo kuwa linakuwa,,Basi iwe Leo nirudi kazini..
Nikapitiwa na usingizi,,

Usiku huo nliota ndoto nipo melini na nimevaa coverall za company yangu.
Nilipoamka asubuhi 07Am,. niliitafakari Ile ndoto lakini nikaipuuza..

11Am napokea whtsp call kutoka office kwamba nimetumiwa ticket nirudi kazini,,
nahitaji ni confirm date of travel..
Nifunguwe email nijibu nataka kuondoka ln?

Hakika baada ya week nikarudi kazini..

Mtoa mada upo sahihi sometimes inapaswa uongee na Muumba wako utapata majibu yote yanayokusumbuwa..

Dunia imejaa kila aina ya uovu,, sometimes kuna watu waovu wanavuruga mipango ya watu kiroho,, kichawi bila kujuwa..
Utahangaika Kwa waganga wote bila mafanikio..

True story
 
Ushuhuda

Mimi ni baharia,,nipo melini Saud Arabia,
Kipindi fulani nyuma,,mambo yangu yalikuwa hayaendi,,
nilikaa nyumbani kama mwaka mzima bila kazi,

Kila nikijitahidi kuomba kurudi kazini ikawa ni ngumu Sana,,
Emails hazijibiwi wala watsap hazijibiwi ,
Nilihuzunika Sana.,,

Siku nipo kitandani kabla ya kulala,,
nilikaa na mawazo sana,,
nilikuwa kwenye deep feelings.
Sina hata sent ya kula,,njaa kali sana,

Nikawa naongea mwenyewe Kwa uchungu,,Ee mwenyeziMungu.
--Mimi nimekosa nn?
--Hivi Mimi nimefanya dhambi ipi kubwa hata leo naadhirika hivi?
--Mbona Mimi sio mlevi,,,
--Sina mambo ya kichawi,,
-- Nafanya ibada japo mara 1 Kwa week.

--Ila mimi nina nini haswa kwann siitwi kazini?
--Ee Mungu najuwa upo,,
--najuwa unanisikia ,
--Naomba nipelele kazini.
_Naomba unisitiri na dhiki

Naongea maneno hayo nipo peke yangu ,,
niliongea Kwa uchungu hata kutokwa na machozi na kulia Kwa kwikwi nikiwa peke yangu kitandani.

Baada ya muda nikapitiwa na usingizi,,
Nikashtuka saa 05;30 am mlio wa simu yangu inaita whtsp call.
Kupokea kumbe ni coordinator wangu wa company yetu,,, ananiomba niingie kwenye email,, nijibu email nirudi kazini..

Haikupita week 2 nikaletewa viza Ili nirudi Saudi Arabia.

Ikiwa bado nasubiri ticket nikapata email tena kwamba nimekuwa rejected na company kujiunga nao sababu sina vigezo.

Nilishangaa sana,,iweje Mimi ni x crew nimepigiwa simu nijiunge na ofisi,
halafu wanitumie kila kitu ila ticket iwe shida, mwishowe waseme nimekuwa rejected?
yaani Sina sifa za kuwa onboard.
Nilikata tamaa ya kurudi tena kazini..

Miezi 2 imepita nikiwa bado nahangaika ,,Sina matumaini tena kurudi kazini.

Siku Moja usiku kabla ya kulala,,
niliomba Mungu nikasema kwamba --ewe Mungu,,
--Najuwa unajuwa yaliyo wazi na yaliyo fichika.
--Naomba unionyeshe nimekosea wapi?
--Nionyeshe hatma ya safari yangu,,

--Naomba nipeleke kazini,,hakika kwako hakuna kubwa.,
--Wewe ndy mmiliki wa Ardhi na mbingu.
--Usemalo kuwa linakuwa,,Basi iwe Leo nirudi kazini..
Nikapitiwa na usingizi,,

Usiku huo nliota ndoto nipo melini na nimevaa coverall za company yangu.
Nilipoamka asubuhi 07am, niliitafakari Ile ndoto lakini nikaipuuza..

11am napokea whtsp call kutoka office kwamba nimetumiwa ticket nirudi kazini,,nahitaji ni confirm date of travel..

Hakika baada ya week nimerudi kazini.

Mungu atusaidie mkuu
 
Hapo kuna nguvu cio za kawaida yan unaitwa af wanakureject af wanakuita tena.Mungu atusaidie
 
Umeshawahi kujiuliza una feli wapi kwenye maisha yako?
Wazo la kuwa tajiri unalo
Mipango unayo
Lakini kutimiza sasa ndo shida
Basi Usijali nitakuongezea kitu katika akili yako ili utimize kila mpango wako

Kwanza una takiwa ujue kila kitu unacho kiona katika ulimwengu huu wa mwili
Kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho
Ulimwengu wa roho ni ulimwengu ambao upo invisible kwenye macho yetu ya kibinadamu lakini upo visible kwenye akili yetu
Akili zetu zinaona mambo ya ulimwengu wa roho lakini macho yetu hayaoni mambo ambayo yapo katika ulimwengu wa roho

Hata ukisikia wachawi wana sema tulimchezea huyu bwana kwenye ulimwengu wa roho ndio maana yupo zezete. yaani kwa mantiki nyingine wamechezea akili yako isiwaze au kuona mambo ya mbali

Kwa hiyo ulimwengu wa roho upo katika akili zetu sisi wanadamu
Ukiona akili yako inafikiria kitu ambacho huna basi tambuwa kitu icho una uwezo wakukifanya hata kama kwenye macho yako wewe ya nyama ukicheki unaona ni impossible kukitimiza

Sasa ukitaka kufanikiwa kwenye jambo lolote unalo fikiria katika akili yako
Unatakiwa ujue how to connect Akili yako na tamaduni zako ili mwili wako uwe tayari kufanya kile ambacho akili yako inafikiria
Ukienda out na tamaduni zako hata kama una akili ya kufanya jambo lolote kubwa utaishia kusema wamekuroga

Kwenye tamaduni ya mtu ndo kuna ufunguo wa mafanikio ya mtu
Ukiheshimu tamaduni yako mlango wa baraka utakuwa juu yako

Ipo siku nitawapa faida za mtu kuheshimu saana tamaduni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mila zinausisha mambo ya mizimu,kuna tamaduni za kuacha
 
Ushuhuda

Mimi ni baharia,,nipo melini Saud Arabia,
Kipindi fulani nyuma,,mambo yangu yalikuwa hayaendi,,
nilikaa nyumbani kama mwaka mzima bila kazi,

Kila nikijitahidi kuomba kurudi kazini ikawa ni ngumu Sana,,
Emails hazijibiwi wala watsap hazijibiwi ,
Nilihuzunika Sana.,,

Siku nipo kitandani kabla ya kulala,,
nilikaa na mawazo sana,,
nilikuwa kwenye deep feelings.
Sina hata cent ya kula,,njaa kali sana,

Nikawa naongea mwenyewe Kwa uchungu,,Ee mwenyeziMungu.
--Mimi nimekosa nn?
--Hivi Mimi nimefanya dhambi ipi kubwa hata leo naadhirika hivi?
--Mbona Mimi sio mlevi,,,
--Sina mambo ya kichawi,,
-- Nafanya ibada japo mara 1 Kwa week.

--Ila mimi nina nini haswa kwann siitwi kazini?
--Ee Mungu najuwa upo,,
--najuwa unanisikia ,
--Naomba nipelele kazini.
_Naomba unisitiri na dhiki

Naongea maneno hayo nipo peke yangu ,,
niliongea Kwa uchungu hata kutokwa na machozi na kulia Kwa kwikwi nikiwa peke yangu kitandani.

Baada ya muda nikapitiwa na usingizi,,
Nikashtuka saa 05;30 am mlio wa simu yangu inaita whtsp call.
Kupokea kumbe ni coordinator wangu wa company yetu,,, ananiomba niingie kwenye email,, nijibu email nirudi kazini..

Haikupita week 2 nikaletewa viza Ili nirudi Saudi Arabia.

Ikiwa bado nasubiri ticket nikapata email tena kwamba nimekuwa rejected na company kujiunga nao sababu sina vigezo.

Nilishangaa sana,,iweje Mimi ni x crew nimepigiwa simu nijiunge na ofisi,
halafu wanitumie kila kitu ila ticket iwe shida, mwishowe waseme nimekuwa rejected?
yaani Sina sifa za kuwa onboard.
Nilikata tamaa ya kurudi tena kazini..

Miezi 2 imepita nikiwa bado nahangaika ,,Sina matumaini tena kurudi kazini.

Siku Moja usiku kabla ya kulala,,
niliomba Mungu nikasema kwamba --ewe Mungu,,
--Najuwa unajuwa yaliyo wazi na yaliyo fichika.
--Naomba unionyeshe nimekosea wapi?
--Nionyeshe hatma ya safari yangu,,

--Naomba nipeleke kazini,,hakika kwako hakuna kubwa.,
--Wewe ndy mmiliki wa Ardhi na mbingu.
--Usemalo kuwa linakuwa,,Basi iwe Leo nirudi kazini..
Nikapitiwa na usingizi,,

Usiku huo nliota ndoto nipo melini na nimevaa coverall za company yangu.
Nilipoamka asubuhi 07am, niliitafakari Ile ndoto lakini nikaipuuza..

11am napokea whtsp call kutoka office kwamba nimetumiwa ticket nirudi kazini,,nahitaji ni confirm date of travel..

Hakika baada ya week nimerudi kazini.

Mtoa mada upo sahihi sometimes inapaswa uongee na Muumba wako utapata majibu yote yanayokusumbuwa..

Dunia imejaa kila aina ya uovu,, sometimes kuna watu waovu wanavuruga mipango ya watu kiroho,, kichawi bila kujuwa..
Utahangaika Kwa waganga wote bila mafanikio..

True story
Kuongea namuumba kupo aisee nikitu really
 
Ila ukisema hapa wanaharibu hata hapa Wanga wapo humu some times unatakiwa ukiwa na jambo lako zuri Kaa nalo tu
 
Ushuhuda
Mimi ni baharia,,nipo melini Saud Arabia,
Kipindi fulani nyuma,,mambo yangu yalikuwa hayaendi,,
nilikaa nyumbani kama mwaka mzima bila kazi,

Kila nikijitahidi kuomba kurudi kazini ikawa ni ngumu Sana,,
Emails hazijibiwi wala watsap hazijibiwi ,
Nilihuzunika Sana.,,

Siku nipo kitandani kabla ya kulala,,
nilikaa na mawazo sana,,
nilikuwa kwenye deep feelings.
Sina hata cent ya kula,,njaa kali sana,

Nikawa naongea mwenyewe Kwa uchungu,,Ee mwenyeziMungu.
--Mimi nimekosa nn?
--Hivi Mimi nimefanya dhambi ipi kubwa hata leo naadhirika hivi?
--Mbona Mimi sio mlevi,,,
--Sina mambo ya kichawi,,
-- Nafanya ibada japo mara 1 Kwa week.

--Ila mimi nina nini haswa kwann siitwi kazini?
--Ee Mungu najuwa upo,,
--najuwa unanisikia ,
--Naomba nipelele kazini.
_Naomba unisitiri na dhiki

Niliongea maneno hayo nipo peke yangu ,,chumbani.
niliongea Kwa uchungu hata kutokwa na machozi na kulia Kwa kwikwi nikiwa peke yangu kitandani.

Baada ya muda nikapitiwa na usingizi,,
Nikashtuka saa 05;30 Am mlio wa simu yangu inaita whtsp call.
Kupokea kumbe ni coordinator wangu wa company yetu,,, ananiomba niingie kwenye email,, nijibu email nirudi kazini..

Haikupita week 2 nikaletewa viza Ili nirudi Saudi Arabia.

Ikiwa bado nasubiri ticket nikapata email tena kwamba nimekuwa rejected na company kujiunga nao sababu sina vigezo.

Nilishangaa sana,,iweje Mimi ni x crew nimepigiwa simu nijiunge na ofisi,
halafu wanitumie kila kitu ila ticket iwe shida,
mwishowe waseme nimekuwa rejected?
yaani Sina sifa za kuwa onboard.
Nilikata tamaa ya kurudi tena kazini..

Miezi 2 imepita nikiwa bado nahangaika ,,Sina matumaini tena kurudi kazini.

Siku Moja usiku kabla ya kulala,,
niliomba Mungu nikasema kwamba --ewe Mungu,,
--Najuwa unajuwa yaliyo wazi na yaliyo fichika.
--Naomba unionyeshe nimekosea wapi?
--Nionyeshe hatma ya safari yangu,,

--Naomba nipeleke kazini,,hakika kwako hakuna kubwa.,
--Wewe ndy mmiliki wa Ardhi na mbingu.
--Usemalo kuwa linakuwa,,Basi iwe Leo nirudi kazini..
Nikapitiwa na usingizi,,

Usiku huo nliota ndoto nipo melini na nimevaa coverall za company yangu.
Nilipoamka asubuhi 07Am,. niliitafakari Ile ndoto lakini nikaipuuza..

11Am napokea whtsp call kutoka office kwamba nimetumiwa ticket nirudi kazini,,
nahitaji ni confirm date of travel..

Hakika baada ya week nimerudi kazini.

Mtoa mada upo sahihi sometimes inapaswa uongee na Muumba wako utapata majibu yote yanayokusumbuwa..

Dunia imejaa kila aina ya uovu,, sometimes kuna watu waovu wanavuruga mipango ya watu kiroho,, kichawi bila kujuwa..
Utahangaika Kwa waganga wote bila mafanikio..

True story
So inspiring

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Noma sana!
 
Back
Top Bottom